Nalipiaje Poweramp Player Wakuu...?

Niache Nteseke

JF-Expert Member
Apr 29, 2020
1,959
2,177
Heshima kwenu wadau.

Naomba kuuliza kuhusu Poweramp Player kama kuna mtu ambaye amewahi kulipia hii Player anipe maelekezo kidogo. Naweza kulipia kutokea kwenye account yangu ya benki Moja kwa moja ? Hawawezi ku-hack account yangu wakafanya uhuni wowote...?

Na je, nikishalipia inakuwa ni monthly, year au ni for a lifetime...? Nimeingia Play store nimekuta kuna apps kama 3 hivi zinahusu Poweramp, kwenye kuzi-install naanza ipi kati ya hizo na malipo nalipa muda gani baada ya ku-install au inakuaje...?

Natanguliza shukran kwenu. Ahsante.
Screenshot_20240329-130733.jpg
 
Tengeneza master card kwenye Vodacom Mpesa menu kipengele cha huduma za kifedha. Kisha ukimaliza weka pesa kwenye akaunti ya Mpesa. Baada ya hapo unaweza kuhamisha kiasi kinachohitajika kwenda kwenye kadi. Kisha lipia huduma unatihitaji.
Natumia nmb mkuu.
 
Lipa kwa kutumia card yako ya nmb,utaingiza namba 12 za mbele kwenye card,date of of issue/expiry na namba 3 za nyumba kwenye card . Karibu poweramp.
 
Mkuu nikienda kwenye menu ya mpesa kisha huduma za kifedha inaniletea hiyo menu hapo chini kiongozi.
Screenshot_20240331-160222.jpg

Nikigusa hapo kwenye huduma za kidijitali inaniletea hiyo menu hapo chini mkuu.
Screenshot_20240331-160439.jpg
 
Lipa kwa kutumia card yako ya nmb,utaingiza namba 12 za mbele kwenye card,date of of issue/expiry na namba 3 za nyumba kwenye card . Karibu poweramp.
Hizi namba unamaanisha ni card namba sio account number right...? Date of issue sijaona kwenye card kuna date of expiry tu.
IMG_20240331_161622_980.jpg

Na namba 3 za nyuma unamaanisha hapo juu kiongozi....?
 
Mimi nililipia kama miaka 3 iliyopita, nililipia kwa kutumia Vodacom Airtime kama means ya kufanyia malipo Playstore..
Natumia hii njia pia kulipia Apple Music kila mwezi.
Vodacom Mastercard iligoma.
 
Tumia Vodacom app.

Chap tu unakuwa na kadi yako.
Nime-download app ya mpesa nimepata visa card na nimeweka hela elfu 20 still nikilipa Play Store inataka password ya email nikiweka password inaniambia password not correct kiongozi.

Screenshot_20240331-164842.jpg

Screenshot_20240331-164909.jpg

Sasa sijui nakosea wapi wakuu...?
 
Mimi nililipia kama miaka 3 iliyopita, nililipia kwa kutumia Vodacom Airtime kama means ya kufanyia malipo Playstore..
Natumia hii njia pia kulipia Apple Music kila mwezi.
Vodacom Mastercard iligoma.
Hata mimi inanigomea mkuu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom