Kama ilivyo humu jamii forum kuna Matajiri Sasa mimi kama dalali mzoefu
Kuna ndinga mpya imeingia Jana aina ya Tesla inauzwa nafikiri mnajua hii gari sio Kwa ajili ya masikini
Nimetoa tahadhari mapema usije ukajua IST narudia tena ni Tesla ya tajiri Elon mask sio Kwa ajili ya watu njaa njaa
Naombeni mnitajie app ha kudownload music naona Vidmate inanizingua Kila nikidownload nyimbo inaishia nusu naona kama app hii imeshakua mizinguo inakera
Wadau hamjamboni nyote?
Kichwa cha habari chahusika
Karibuni tupeane
Raila Odinga:
"Young people now begin the day checking the phone battery and data bundles. Something to wear, something to eat and a place to sleep come much later. Battery, bundles and the phone are the new basic needs"...
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amekutana na kufanya mazungumzo na Wakuu wa Taasisi zilizo chini ya Wizara ya Ujenzi katika Ofisi ndogo za Wakala ya Barabara (TANROADS), leo tarehe 11 Disemba, 2024 Dar es Salaam.
Kikao hicho kimehudhuriwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Balozi Eng. Aisha...
Nahitaji present research yangu katika kampuni flani hapa Tanzania mainly nahitaji gusia maswala ya microfinance kama hizi mikopo ya simu, kausha damu, mikopo ya mitandaoni nk.
Naomba mawazo yenu, changamoto, faida nk gusia chochote kuhusu mada nahitaji andaa kitu bora.
Asanteni Wasomi...
WAZIRI ULEGA AKUTANA NA WAKUU WA TAASISI WIZARA YA UJENZI.
Waziri wa Ujenzi, Mhe. Abdallah Ulega amekutana na kufanya mazungumzo na Wakuu wa Taasisi zilizo chini ya Wizara ya Ujenzi katika Ofisi ndogo za Wakala ya Barabara (TANROADS), leo tarehe 11 Disemba, 2024 Dar es Salaam.
Kikao hicho...
Mhe Waziri Mkuu, juzi nilikusikia ukisema maadhimisho ya sherehe za miaka 63 ya uhuru wa Tanzania Bara zitaadhimishwa ngazi ya mkoa na Wilaya.
Hata hivyo leo nimemsikia mkuu wa Wilaya ya Moshi akilalamika kuwa wakuu wa idara na taasisi za umma hawakushiriki kwenye mdahalo wa uhuru huko Moshi...
nimeona hili tangazo la ajira za jeshi la uhamiaji, naombeni kujua kwamba, kwa fresh graduates ambao hawajapata vyeti toka vyuoni wanaombaje hizi nafas? maana nimeona vyeti vihakikiwe, inakuwaje kwa fresh graduates ambao hawajapata vyeti?.
mwenye anaweza kunijibu/kutoa mwongozo kuhusu hili...
Heshima yenu wakuu!
Kwanza kabisa nipo Tayari kuambiwa Mimi ni mshamba Nisawa kabisa.
Lakini sijawahi vutiwa Wala kufurahishwa na matumizi ya choo Cha kukaa.
Huenda kuishi kwangu Kwa zaidi ya miaka 20 bila kutumia choo Cha namna hii huenda ndio sababu kuu ya kunifanya Mimi nisipende matumizi...
Ushauri tu
Kwenu
Maaskofu wakuu
Wapendwa wasaidizi wa maaskofu
Anzeni vikao vya kuambiana
Kuzikana sio lazima wawe wah ama wafanyabiashara ama wanaotoa sana kanisanii
Mnaposikia misiba ya waumini jifunzeni kuhudhuriq msisubiri kusikia tajwa hapo juu ndio tunakuja kuwaonq
Flan
Kuna baadhi ya...
Jumuiya ya Wahasibu Wakuu wa nchi za Afrika wametakiwa kuandaa mapendekezo yanayohusu umuhimu wa mifumo madhubuti ya usimamizi wa fedha za umma inayoweza kukabiliana na changamoto zinazojitokeza duniani ikiwa ni pamoja na athari za mabadiliko ya tabianchi, mabadiliko ya kiteknolojia na...
Habari zenu wakuu.
Nipo katika nyakati ambazo hazielezeki wala kusimulika , nimekuwa nafatilia kazi huu mwezi sasa wa tatu.
Mpaka nikasema ngoja nijaribu kutembelea na JF the home of great thinkers kuona Kama kuna MTU atakuwa na opportunity anipatie ili niwe busy and productive.
Sifa zangu ni...
Tunajua akili za TAHOSSA zinakuwa kama zimewaruka, mwezi huu wakuu WA shule wa msingi na sekondary watakwenda dodoma wana ajenda zao zilezile hawana jipya Ila ninawapa tu tahadhari Waache kutumika na mbogamboga
Watumie hiyo siku kuleta mapinduzi ya kiuchumi kwa walimu, wajenge hoja kuendana na...
Kuna chama cha Siasa katika Nchi moja mashariki mwa Afrika kimeamua kuwa Demokrasia itaishia kwenye Viongozi wa Chama chao tu.
Wameamua kabisa kuwa sasa haitatokea Wananchi wa nchi yao inayoanzia na jina T watakuja kupata kiongozi wanayemtaka kwa njia ya sanduku la kura.
Wameamua kabisa...
Wakuu habari za wakati, ni matumaini yangu wote ni wazima wa afya.
Naomba kufahamu utaratibu wa kuonana na watu au ofisi ya watu wa usalama wa taifa katika ngazi ya mkoa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.