wakuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Msaada wa mawazo wakuu

    Hivi mabroo huku jukwaani naombeni mnipe msaada kwa sababu jamii forum ni kisima cha maarifa hivi mwanamke anakuambia mimi nipo tayari au muda wake sahihi wa kufunga ndoa ni mwishoni mwa mwaka kama mwezi wa kumi anamaanisha nini? Kwamba yeye mwanamke ndiyo anapanga kuolewa mwezi wa kumi na...
  2. issac77

    JamiiForums Tanzania Wakuu ukamalia sio kazi, Kila siku nawaambia, acheni kubeti!

    Huu uraibu nilidumbukia rasmi mwaka 2016 nikapigwa wee akili ikaja kunikaa sawa mwaka 2021 Niko nyang'anyang'a. Nikasema basi sirudi Tena huko. Hamna tim ambayo siijui, ligi zote zipo kichwani, option zote zipo kichwani lakini vichapo kwenda mbele... Nawashangaa sana vijana wanashupaza shingo...
  3. Leejay49

    JamiiForums Tanzania Ila kutapeliwa kunauma wakuu

    Huu mwaka umekua wa hovyo mapema mnoo aisee, Habari zenu kwanza wakuu Mwenzenu jana nimetapeliwa, na nikiri tu kuwaambia uchawi upo wakuu, Ilikua jana kuna hela nilipatiwa nikamlipie dogo Ada, Nimeenda bank( NMB)nimelipa, ile wakati natoka nikawa naelekea ile njia ya sokoni ili nikapite vile...
  4. chiembe

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbowe: Lissu alikuwa Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA, na ndiye alitunga vifungu vya kuondoa ukomo wa uongozi kwa viongozi wakuu na wajumbe wa Kamati Kuu

    Mbowe ameyasema hayo wakati akihojiwa na Salim Kikeke katika kipindi cha Kasri kinachorushwa na CrownFM Mbowe amesema kwamba Lissu anashiriki vikao vyote vya chama lakini hajawahi kuwasilisha hoja katika vikao ya kuomba wajadili kuondoa ukomo wa uongozi
  5. Knock life

    JamiiForums Tanzania Karma ni hatari wakuu, hakikisha unakuwa makini hasa nyie wauaji

    Nafikiri mmejionea wenyewe karma ilichomfanyia mtu wenu ambae baadhi yenu mlifika hatua ya kumfananisha na Mungu.
  6. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Wakuu hii imekaaje darasa la kwanza masomo nane?

    Wakuu hawa watoto wetu si watavunjwa mabega dogo ameanza shule leo darasa la kwanza masomo nane. Yaani madafutari 8+ vitabu 8 jumla kumi na sita vyote anatakiwa avibebe kwenye bag, dogo ana miaka mitano tu aiseeh atameza haya masomo yote. Math English Kiswahili Drawing Reading Sport &art Heath...
  7. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Wakuu huu mwaka 2025 unapoenda sehemu iwe barber shop, restaurant etc, kabla yakupata huduma ni bora ukauliza kwanza bei yalinikuta

    Niliwahi kuingia barbershop moja humu ndani kuna full kiyoyozi huduma si mchezo masaa mawili kinyozi anakunyoa hana haraka. Nikanyoa si unajua tena wadada wa barber shop kaka uso wako una mafuta sana ngoja tukusafishe uso, nikatoka nimeg’aa ile mbaya, ikaja bill macho yalinitoka 45000. Uzuri...
  8. fundi bishoo

    JamiiForums Tanzania Msaada wakuu nachanganyikiwa, nimekuta Mijusi wakubwa geto

    wakuu kwema ..? jana nmerudi zangu magetoni usiku mwingi nikakuta hawa wajusi wajomba wako 2 sijui wametoka wapi msaada sijalal magetoni leo nmerudi nmewakuta chini wanacheza hawana hata habari halafu hawaogopi mtu nmeita majirani wanasema hawa n wajusj wajomba hawana shida inabdi niwazoee hapa...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Habari wakuu, Hivi salary scale PMGSS 11 ni kiasi gani?

    Habari wakuu, Hivi salary scale PMGSS 11 ni kiasi gani?
  10. issac77

    JamiiForums Tanzania Ukitupia mil 15 unavuna sh. Ngap kwa Kila miezi mitatu?

    NI NMB bonus account, mil 15 kama akiba ukatupia huko unavuna sh. Ngap kwa Kila miezi 3?
  11. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wanachama, Viongozi CHADEMA wagawanyika kambi tofauti, hofu ya mpasuko yaongezeka

    Wakuu, CHADEMA itasilimika kweli mpaka 2025? ==== Uamuzi wa Tundu Lissu kukusudia kuchuana na Freeman Mbowe katika kinyang'anyiro cha uenyekiti wa Chadema, umekigawa chama hicho pande tatu huku sababu za Lissu kuamua kuchukua hatua hizo zikibainika. Lissu ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa...
  12. 3

    JamiiForums Tanzania Hii biashara imekaaje wakuu?

    Habari za muda huu, Kwa munaelewa hii imekaa je wadau, yaani ipo hivi, kuna wakala anafanya shughuli za miamala yaanu nmb, crdb, nbc na nyrnginezo. Sasa ukiweka pesa mwanzo ni millioni moja, na kwa kila millioni kwa mwezi unapata 50k, hii ni kusema ukiweka millioni kumi kwa mwezi utapata laki...
  13. Faana

    JamiiForums Tanzania Hiki ni kitu gani wakuu?

    Naambatanisha picha, hivi vifaa naviona vingi huko highways, ni vitu gani kazi yake nini?
  14. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Wakuu najua mnapombeka, Mkesha wa Krismas, vichwani mnawaza ngono tu "Msisahau kupima ". Jamaa kaponea tundu la Sindano Gridi ya Taifa!

    Mwaka Fulan niliwah ishi sehem , Sasa pale nikafahamiana na Jamaa Mmoja darasa la Saba ila ana helaaa ( jamaa wa migodini). Hivo tumekua washikaji tu wa salaam na mastori ya Maisha. Muda fulan kanipigia Simu, Oyaaa kuna Manzi nmempima HIV Kwa kipimo Cha mdomo, Et kuna kamstari...
  15. Planet Data bundles

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nimepoteza barua ya ajira na inahitajika kwenye madai ya malimbikizo ya mshahara, nifanyeje?

    Wakuu nimepoteza barua ya ajira na inahitajika kwenye madai ya malimbikizo ya mshahara! Nishauri kama unajua kitu Wakuu msaada tafadhari.
  16. Bueno

    JamiiForums Tanzania Kwa ambae anafahamu Waziri wa Ajira kwa sasa ni nani Ndejembi, Ndalichako au Ridhiwani?

    Wakuu naomba kufahamu maana hizi pangua za hivi karibuni zimesababisha nivurugwe sielewi elewi naomba kwa anaefahamu anifahamishe vizuri. Hivi Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu kwa sasa ni nani? Naombeni kumfahamu wakuu Waziri anaeshughulikia masuala ya...
  17. Satirical Yet Awesome

    JamiiForums Tanzania Wakuu hivi mnawezaje kuishi na watu ambao hawajanyooka kwenye baadhi ya mambo

    Kwa ufupi mimi ni mtu ambaye nimenyooka, naheshimu sana watu, naheshimu muda wa watu, naheshimu mali za watu, naheshimu utu wa mtu, naheshimu uaminifu wa mtu kwangu. Na hii tabia nimerithi kwa baba angu, ambaye wakati nakua nilikiwa namwona anavyo interact na watu na nikaiga baadhi ya tabia...
  18. issac77

    JamiiForums Tanzania Wakuu hii maana yake nini? Na anayefanya hivi anafaidika na nani?

  19. Megfar2001

    JamiiForums Tanzania Wakuu waliotumia boom kutoboa kimaisha watupe uzoefu waliwezaje? Au it's impossible

    Habari zenu wakuu,wakubwa shikamoni Straight to the point,Niko mwaka wa tatu chuo x, niliingia na mipango mingi sana nilivyotoka advance ya kusave boom ili ikiwezekana nifungue biashara kwasababu home hali ndo hivyo maisha sio mazuri sana Tunapewa elimu tu mtaji utajua mwenyew na sababu...
  20. nipo online

    JamiiForums Tanzania Kukodisha akaunti ya linked kisha unalipwa kuna ukweli wowote?

    Aliyewahi kupata hii message, tafadhali aniambie kama kuna ukweli ya kuwa ukikodisha kwa kutoa username na password ya account yako ya linked ambayo ina muda kuanzia nusu mwaka yani miezi 6, lakini pia lazima iwe na connection ya watu kuanzia 100 na kuendelea kisha kila baada ya wiki unalipwa...
Back
Top Bottom