Wajuzi
T14 Armata
100 others
and 100 others
ILAN RAMON
Mtu asiyejulikana, anayeaminika kuwa mpelelezi kutoka nchi ya kigeni, anatuhumiwa kwa kuendesha operesheni ya upelelezi inayolenga kambi za jeshi na maeneo nyeti nchini Israel.
Operesheni hiyo ya upelelzi ilihusisha kutumia app ya Strava ili kukusanya taarifa kuhusu wanajeshi waliopo katika maeneo ya kambi za kijeshi za Israel.
Kwa kutumia akaunti bandia, mpelelzi huyi alitumia moja ya vipengele vya Strava kuiba na kutambua wanajeshi wa Israel, ikiwa ni pamoja na majina na anwani zao.
Tukio hili linaonesha udhaifu mkubwa wa kiusalama ambao Jeshi la Ulinzi la Israel (IDF) limekuwa likishughulikia kwa miaka kadhaa.
Kufuatia hili, Wizara ya Ulinzi ya Israel imeanzisha uchunguzi ili kujaribu kubaini mhusika mkuu na mbinu alizotumia.

i.