wakuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Suala la watu 87 kati ya 100 Tanzania kuwa tegemezi linavunja moyo sana wakuu

    Hii taarifa tangu nilipoiona, kama inaukweli basi nchi yetu ni masikini wa kutupwa. Inaonuesha uhalali wa kupigwa mizinga popote utakapopita. Inaonyesha vuguvugu la uchawa ni harakati za watu waliolemewa na utegemezi wa kifikra uliokithiri. Hali hii wenda ndio imepelekea ongezeko la ukahaba...
  2. ILAN RAMON

    JamiiForums Tanzania IDF wadai kumuua kamanda wa ngazi ya juu wa Hezbollah Abu Ali

    Taarifa iliyotolewa na jeshi hilo limesema, Abu Ali Rida, kamanda wa Hezbollah kwenye eneo la Baraachit, kusini mwa Lebanon "ameuawa" katika shambulizi la anga. Jeshi la Israel limesema Rida alikuwa akiongoza shughuli za kigaidi ikiwa ni pamoja na kupanga mashambulizi yaliyowalenga wanajeshi na...
  3. E

    JamiiForums Tanzania Wakuu mnaofanya kazi kwa vikundi tanesco mnatoboaje kimaisha??

    Habarini wana JF hizi kazi kwa vikundi tanesco mnaopata bahati ya kufanya kazi mnajikwamua vipi..kwani mikataba ni kandamizi sana..nyie mnawezaje??
  4. I

    JamiiForums Tanzania Msaada: Inachukua muda gani kuingiziwa pesa ya mkopo baada ya kuripoti chuoni?

    Habari wakuu, naombeni kuuliza; Hivi unapokwa umeripoti chuo inachukua muda gani hadi kupewa baadhi ya hela za mkopo, na unakuwa unapewaje? Mfano kama mimi nimepta 1,030,000 ada na chakula nimepewa 2,4000,000.
  5. Y

    JamiiForums Tanzania Ombi la Ushauri wa Kuongeza Mtaji kwa Biashara ya Vifaa vya Simu

    Wakuu, habari za kazi? Samahani kwa usumbufu. Nina biashara ndogo ya vifaa vya simu (phone accessories), lakini ninahitaji kuongeza mtaji ili niweze kuagiza mzigo mwenyewe kutoka China na kuuza kwa jumla. Naomba msaada kwa mwenye uzoefu katika hili tafadhali. Asante.
  6. ichumu lya

    JamiiForums Tanzania Ziwa Victoria limewahi kukauka maji yote mara tatu

    Hii ina ukweli gani wakuu? ZIWA VICTORIA LIMEWAHI KUKAUKA MAJI YOTE MARA TATU Ziwa Victoria ni ziwa la pili kwa ukubwa duniani baada ya Ziwa kuu la Kaskazini nchini Marekani. Ziwa hili ambalo lina kina cha mita 83 ni moja ya maziwa machanga katika historia ya dunia kwa maana hayana miaka...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Wizara ya ulinzi ya Israel yaanzisha uchunguzi baada ya app ya Strava kutumika kudukua na kuvujisha taarifa nyeti za Jeshi La Israel

    Wajuzi T14 Armata 100 others and 100 others ILAN RAMON Mtu asiyejulikana, anayeaminika kuwa mpelelezi kutoka nchi ya kigeni, anatuhumiwa kwa kuendesha operesheni ya upelelezi inayolenga kambi za jeshi na maeneo nyeti nchini Israel. Operesheni hiyo ya upelelzi ilihusisha kutumia app ya Strava...
  8. Q

    JamiiForums Tanzania Naumia sana wakuu

    Maisha tabu sana, kweli Mimi Leo mtoto wa kiume natembeza mbogamboga na nyanya mitaani, na degree yangu kweli aisee. Life is full of surprise.
  9. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Tupambane tuweze kujenga angalau vijumba kama hivi

    Tafuta uwanja mkubwa sasa: Chumba self Kasebure Vyakutafatana Bachelor anakupa pesa
  10. zyuho

    JamiiForums Tanzania Wakuu natafuta mbegu ya nguruwe nzuri (durec)

    Kama kichwa kinavojidadavua hapo juu, mimi ni kijana wa makamo naishi Dare es Salaam, Nafanya kazi kwenye government company hapahapa mjini kwa muda kidogo najihusisha na kilimo cha bustani (hortculture) Kijiji kimoja huko Kilosa Morogoro. Sasa kutokana na kazi za watu ,Imekua ngumu sana...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Leo nalala nyumbani kwa Ex wangu,nahitaji maombi yenu wakuu.

    She my ex girlfriend for last five years. Well katika hizi hustle za maisha nimejikuta leo niko mji anaoishi.ktk blah blah za chattings za hapa na pale leo natakiwa kulala kwake while her boy is currently huko new York kwenye mambo yao ya diplomatic mission cos the guy is working with one of...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Naombeni kazi, sijabobea kwenye kazi yoyote inayohusu vyeti 100%

    Nipo kibaha,mwanaume 27YRS Naombeni connection ya kazi yoyote niweze kuishi mjini wakuu,sijabobea kwenye kazi yoyote inayohusu vyeti 100% ila nina soft skills (driving,basic computer skills etc) na nina nguvu na akili timamu. Katika harakati za kutoka magetoni nimetoka mkoani kuja mjini...
  13. contask

    JamiiForums Tanzania Kimfaacho mtu chake

    Habari wakuu, Kama ilivyo kila mtu na starehe yake, wengine pombe, mpira, wanawake, uvutaji Muda si mrefu nilikua nipo kwenye PUBG MOBILE naplay na my teamates hadi saa saba usiku, tukiwa tunafurahia Unakutana na marafiki munabadirishana mawazo hadi #UZI TAYARI #JF STATUS #WAJINGA NDO WALIWAO
  14. Strong25

    JamiiForums Tanzania Karibuni sana kupata madirisha ya vioo na milango

    Natumai mko poa kabisa PENDEZESHA NYUMBA YAKO KWA ALLUMINIUM _natengeneza madirisha ya alluminiu _milango ya alluminium & viooo _partion za mahoficini & duka la dawa & hopitali _vioo vya saloon kike na kiume _kama uliweka madirisha tunafanya repair kama vioo havitembei vizuri ama wavu kuchanika...
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere angependa tuwe na Tamasha na Land Rover Arusha au tupambane zaidi na Maadui wakuu wa nchi aliowataja?

    Halafu wenye Akili Kubwa tukisema kuwa Tanzania ya sasa huenda ikawa na Viongozi Wehu zaidi mnaanza Kuchukia.
  16. Beesmom

    JamiiForums Tanzania Singlemom kurudi kwa ex na asiye na mtoto kurudi kwa ex tatizo nini hapa wakuu

    Japo mi binafsi nadhani inasababishwa na kuingia kwenye mahusiano bila upendo....kuingia kwenye mahusiano kusitirika na siyo upendo ..... Maoni yenu tafadhali...maana mapenzi yamepoteza maana sikuhizi...🚮
  17. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Wakuu ni kweli kisu ukikatia vitunguu kinakuwa butu au tunashikana tu masikio

    Mwenye kujua uhusiano uliopo wa kisayansi hasa kikemia ni kivipi kisu ukikikatia vitunguu ukali wake unaondoka, binafsi mimi sijapata muda wa kufanya hio tafiti nithibitishe kama ni kweli au chai kama chai nyingine.
  18. nipo online

    JamiiForums Tanzania Speaker za kuchongesha bei gani wakuu

    Tafadhali anaejua bei za speaker za kuchonga saizi ya kati inauzwaje aniambie bei au kama anajua wapi naweza pata, Kuna posho ya maji ya kunywa Asanteni.
  19. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya Gaddafi na Saadam waliokuwa wafadhili wakuu wa ugaidi kuuawa, ni vizuri Iran isambaratishwe ili Ugaidi uishe kabisa duniani

    Kwanza tuelewe , ugaidi na uislamu ni vitu viwili tofauti. Tujikumbushe nyuma kidogo kisa cha kuuawa kwa Gadaffi wa Libya na Saadam wa Iraq , pamoja na yote wale ndio walikua wafadhili wakubwa wa makundi ya kigaidi duniani. Walitumia mabilioni mengi kufadhili makundi hayo duniani kote, Baada...
  20. Wakuperuzi

    JamiiForums Tanzania Msaada wakuu kuhusu utaratibu wa kupata cheti cha ndoa Rita

    Naomba kufahamishwa kuhusu upatikanaji wa cheti cha ndoa cha Rita je! Kinaweza kupatikana hta kwa hawa viongozi wetu wa dini au ni Rita tu peke yake?
Back
Top Bottom