Niko uyole hapa napiga vyombo
Konyagi size ya kati bei 9,000/= wakati dar bei ni 11,000/=
Kitimoto kilo moja na ndizi mbili jumla 9,500/=
Lodge nzuri tu ina maji ya moto 15,000/=
Boda bei ni buku tu.
Kwa nini nisinenepe mwaka huu?
Wakuu bado sijapata mchongo kama kuna mchongo wowote au ajira me bado natafuta ni kijana wa miaka 22 nishafanya kazi sehem tofaut tofaut pia nnaufanis wa quality na marketing pia kwa sasa natafuta ajira yoyote kama kuna mchongo bandarin au sehem yoyote ya mauzo au kazi yoyote ila me niko tayar
kijana wa miaka 22 pia nnalesen ya udereva class d nimeish form 4 ila nahitaji kazi yoyote kwa sasa ya kujikimu kwa sasa .... natanguliza shukrani zangu za dhati.
Hamjamboni Wandugu...
Tashtwiti Yangu Ya Leo Ni Juu Ya Chadema Imara Zaidi. Chadema Ya Kipindi Cha Dr. Slaa Na Zito.
Ndugu Wananchi Kwa Mbinu Na Maarifa Waliyotumia Chadema Mwaka Huu Katika Kurudisha Attention Kwenye Jamii Iliyopotezwa Na Hayati Magufuli, Hakika Wanastahili Pongezi Kwa...
Habari za mda huu,.
Simu yangu ilikua nzito nikasema ni-restart ili ianze upya maana mtandao ulikuwa chini sana na sikuwa naweza kuongeza au kudownload picha wala chochote inaniambia space imejaa,. Kila kitu kimefutika icluding messages, contacts na kila kitu...
Nimeweza kurudisha contacts...
Wakuu za asubuh
Nilikuwa napenda kuwauliza kwa maeneo ya Kariakoo wapi naweza pata FENI kubwa la panga boi la kuliweka sebuleni kampuni ya Panasonic au asha care ikiwezekana hata high class.
Msaada wenu wakuu
🤣🤣😆 kichwa habari chajieleza yaan marafiki ndugu jamaa wananitenga toka niuze kaeneo kangu huko maeneo ya kibaha nimepata laki8 na nusu basi watu wananionea wivu ama kweli pata pesa matako hulia mbwata
Husasan wa Media za hapa Tanzania !!.
Maana ni aibu aibu aibu aibu aibuu narudia ni AIBUUUUU .
Hivi kuna vyuo binafundisha hii taaluma? Au ni ujanjaujanja tu wa MTU, anafika Clouds , ana sauti ya kutangaza, basi anaitwa mwandishi wa habari?.
Yaan tuseme, Zembwela akae kumuhoji LISSU?? Hapa...
Baada ya kukaa mda MREFU Sina mahusiano nikaamua ngoja nitest skills zangu wazee
Nikamtokea Binti mzuri mtoto wa 2000 akakubari ila nilipomsoma nikaja gundua ni mtu wa tamaa sana
He only check and call me akiwa na shinda na pesa na Mimi tu
Kuna siku tupo nae matembezi Kwa mguu alisema...
“Unawezaje kwenye meza kuu Mwenyekiti unakaa na manaibu Katibu wakuu wawili ambao wake zao ni sehemu ya wabunge 19 waliopo bungeni, halafu Msigwa akawa hatari, mimi niliongea Mtwara kuwa wanapaswa kujiuzulu msitupe ugumu wa Maisha, haiwezekani wawe wanaanda nyaraka za Ushahidi za Kwenda...
Naona kuna raia wanasema umpeleke kituo cha polisi Ili sheria ifanyike Sasa najiuliza Hawa wezi wanavyotuvamia unakuta wanatuua na pesa zetu wanabeba inamaana wao ni wanahaki ya kuua na kuiba pesa ya mtu naombeni maoni yenu wakuu maana wezi wameshatuulia ndugu zetu wezi wanatia watu umasikini...
Wakuu Salaam,
Leo asubuhi nikiwa jijini Dar es Salaam nimepanda gari (daladala) za kutoka Mbagala Charambe kwenda Mbezi Magufuli Bus Stand, ili nichukue Nyehunge ya Kurudi kwangu Nyamisati, na ndipo nikaona kitu cha kunishangaza kidogo, sio sana.
Nilijikuta ndani ya daladala tuliyopanda kwa...
WAkuu habari zenu. Naimba msaada wa link ya kunisaidia kudownload facebook contact nimehangaika sana nimeshindwa kama kuna mtu ana link naimba msaada wakuu
Wakuu Tanzania tunategemewa kuwa host wa Mkutano wa Wakuu wa Nchi unaenda kwa jina la Africa Heads of State Energy Summit utakaofanyika January 27 - 28, 2025 Dar es Salaam, Tanzania
Tungependa Kujua Utaratibu ambao Wizara ya Nishati inatumia Kuinvite delegates na stakeholders mbalimbali...
Hivi karibuni (takribani miezi mitatu sasa) nimeshuhudi baadhi ya watu huko mitaani wakijihusisha na uwekezaji katika jukwaa linalofahamika kama FIC (wenyewe wanawaita Football investment Charity) huku wakimwaga sifa kwamba mabwana hawa (FIC) wanalipa na ni mchongo legit kwa sasa.
Kutokana na...
2011 kulikuwa na Maandamano ya Machinga, Askari wa FFU baadhi waliuawa na mabomu ya machozi yaliisha, Muda huo Kikwete yupo njiani kuelekea Mbeya, Ilibidi watumwe JWTZ kutuliza hali (hakukuwa na majibishano yoyote na JWTZ)
Kwenye maandamano mengine ya Machinga, hali ilikuwa mbaya, Mkuu wa mkoa...
Huu ujumbe unamuhusu ye yote mwenye access ya kuingia kwenye mikusanyiko inayowakutanisha watawala wakuu wa Afrika!
Siku watakapokutana, naomba uwazamomee na kuwaambia wanalitia sana aibu bara la Afrika kwa kuendelea kulialia kuwa nchi za Magharibi zinaharibu amani barani Afrika. Waambie kuwa...
Sijui nisemaje lakini you people mmenishangaza sana,
Always humu huwa nahisigi kuna watu flani hivi sijui nisemaje lakini mnisamehe nilivyokuwa nawawazia sivyo,.
First of all mie ni mtu ambaye siwezagi kukaa na kitu rohoni kwakweli,. Ila sio muongeaji kwa watu wangu wanaonizunguka, so...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.