wakubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Tanzania Tatizo la ulawiti laongezeka wanaume wakitajwa kuwa wahanga wakubwa

    Ripoti ya jeshi la polisi nchini inaonesha ongezeko la asilimia 25.95 la ukatili dhidi ya watoto. Katika mwaka 2021 visa 7388 viliripotiwa kote nchini tofauti na mwaka 2015 ambapo matukio 5,803 yaliripotiwa. Tatizo la watoto wengi hasa wa kiume kulawitiwa limekua kubwa pasipo kutajwa sababu...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Machinga wanapotoa Somo, Makamanda tunakwama Wapi?

    Safari ya kudai haki haijawahi kuwa rahisi: Wenye ajira kudhani wasio na ajira ni wapuuzi hiyo si sahihi. Kwanini rais ang'ake kusikia tishio kwenye kuendelea na urais baada ya 2025? Kwanini Makalla asiwe tayari kuachia ngazi na kwenda kujiajiri? Kwanini yasipunguzwe maslahi serikalini...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Gari zuri kati ya Subaru Forester, Toyota rumion, Nissan x-trail

    Wakubwa habari za jioni? Poleni na majukumu pia hongereni kwa kazi. Kubwa zaidi Naomba anayejua anisidie hapa. Nauliza lipi ni gari zuri,bora na imara kati ya Subaru Forester, Toyota rumion, Nissan x-trail,. Upatikanaji wa spare, nakadhalika kwa matumizi binafsi Kama vile kwenda kazini. Pia...
  4. K

    JamiiForums Tanzania SoC01 Machinga Tanzania ni wafanyabiashara wakubwa walioumizwa na mfumo wa kodi

    Utangulizi Nimetembelea Kariakoo Mara nyingi ninapopata fursa ya kufika Dar es salaam. Nimefanya tafiti kwanini bidhaa inayouzwa na machinga iwe nafuu kuliko bidhaa hiyohiyo eneo like inayouzwa dukani? Ukweli ni kwamba Kariakoo na masoko makubwa nchini hakuna machinga Bali Kuna kundi la watu...
  5. Teleskopu

    JamiiForums Tanzania Malengo maovu ya wakubwa wa dunia

    Dunia hii ina watu wanaoongoza mambo yote makubwa, kama vile uchumi, elimu, majeshi, sayansi, nk. Kwa bahati mbaya sana, watu hawa wana malengo maovu mno, licha ya kuwa wao ni kikundi kidogo sana. Lakini baya zaidi asilimia zaidi ya 90 ya wanadamu hawana habari na kile kinachoendelea. Wakubwa...
  6. SOCIOLOGISTTZ

    JamiiForums Tanzania Jukwaa la Wakubwa liko wapi?

    Nimekaa muda bila kuingia huku JF, Nauliza lile jukwaa LA Wakubwa liko wapi??
  7. D

    JamiiForums Tanzania Nauza nguruwe watoto na wakubwa kwa wanaohitaji wa kufuga

    Habari wakuu, Mimi ni mfugaji wa nguruwe napatikana Mwanza, nauza nguruwe watoto na wakubwa kwa wanaohitaji nguruwe wa kufuga, mbegu bora kabisa. Karibuni sana 0719832015
  8. C

    JamiiForums Tanzania Maneno ya Askofu Gwajima yamepata nguvu, kitaa wanaamini wakubwa wamehongwa

    The come back of Rashid Gwajima siyo ya kitoto we mchukulie kama chizi au serious(mimi huwa namuona mwehu )ila nipo Tabata hapa ka grocery fulani tunabishana suala la chanjo reference ya hawa jamaa ni video ile ya Gwajima najaribu kuwaelewesha nimeshindwa,anyway nime stick kula beer tu huku...
  9. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Wasomi wengi wa Tanzania ni Opportunist wakubwa, Walaghai na Wabinafsi

    Hawa wasomi njaa hawa kipindi kile cha nyuma walitusababishia ikawa ukienda kula ndizi choma na mishkaki unawekewa kavu na ukitaka chachandu unatakiwa ulipie. Yaani Ghafla Chachandu ikawa dawa ya Corona. Kwa utafiti gani haijulikani. Yaani sisi watu wa hovyo sana. Wauzaji chips wakawa sasa...
  10. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania BBC News: Hivi ndivyo matajiri wakubwa hutumia pesa yao

    https://www.bbc.com/swahili/habari-57510899.amp Pesa ni kitu cha ajabu sana, mtu anazitafuta kwa udi na uvumba na anapozipata anazitumia kwa matumizi yake aliyojipangia au alichokipatia kipaumbele. Lakini kama wanadamu tunatofautiana katika matumizi. Jarida la Business Insider liliwahi...
  11. P

    JamiiForums Tanzania Wanaharakati wapingaji wa kazi na wafuasi wakubwa wa Magufuli, kazi nyingine ya kupinga kazi zake hii hapa

    Nawaonea huruma wanaharakati wa Tanzania ambao wamejitwika zigo la misumari vichwani mwao kuhakikisha kazi na sifa njema za aliyekuwa Raisi wetu JPM wanazipinga na kuwakwamisha wote waliokuwa wafuasi wake kama wanavyajaribu kwa mwanamziki wa kimataifa wa Kitanzania Maarufu kwa jina la Daimond...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Picha ya wachezaji wakubwa huko south africa wanaoomba kujiunga yanga sc

    Kitendo cha yanga sc kuwepo kwenye top 100 ya teams bora afrika ikishika nafasi ya 74 nyuma kidogo ya namungo iliyo namba 60 kimeipa umaarufu mkubwa huko south africa huku wadau wakisema ni kitendo kinachopaswa kujivunia haswa ukifikiria bara hili lina maelfu ya teams Sasa unaambiwa wachezaji...
  13. C

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri wakubwa zangu

    Mimi ni binti wa miaka 23 sasa. Nimekuwa kwenye mahusiano na kijana wa miaka 32. Mahusiano yetu ni ya mbali. Yeye yupo Dar ila mimi nipo mkoa wa mbali sana ambapo kukutatana kwetu ni pale tu inapotokea likizo toka chuo kurudi nyumbani. Hapo tunaweza kuonana. Tumeanza mahusiano huu ni mwaka wa...
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Naibu Spika Tulia: Musukuma usiaminishe wanafunzi kuwa elimu ya darasa la 7 ni bora kuliko elimu ya juu

    Naibu Spika Tulia Ackson amemkosoa Mbunge Wa Geita Vijijini Joseph Msukuma, kuacha kuaminisha wanafunzi kuwa elimu ya darasa la saba ni bora kuliko elimu ya juu kwa kuwa Serikali inajitahidi kuboresha shule kwa ajili yao na hivyo ni muhimu kuwahamasisha kusoma kuliko kuwakatisha tamaa. Naibu...
  15. Chomo

    JamiiForums Tanzania Orodha ya Wasanii wa Afrika wenye mkwanja mrefu, huyu wetu anayemiliki nyumba 126 imekuaje?

    Harmonize kasema hakuna msanii wa Tanzania alie mkubwa Afrika ila tunadanganyana tu, akabezwa. List ya wasanii wanaomiliki mkwanja mrefu imetoka na msanii wetu tunaemuita mkubwa ametoka kapa hata kwenye 15 hayupo. Hii ina maana vile vyanzo vya mapato vyote inavosemekana vyake havimuingizii...
  16. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kupokea mamluki alilizalisha Mbowe mwaka 2015. Huyu mwenyekiti hafai

    Mwaka 2015 Mbowe alifanya juu chini ili ampe nafasi Lowassa ya kugombea urais. Na ndipo hapo akakaribisha mamluki kibao toka CCM ambao walikuja kuharibu morali na nguvu tuliyokuwa nayo makamanda tuliotaka ukombozi wa kweli. Leo hii wanarudi CCM na kutuacha tena kwa dharau na kebehi. Mimi nasema...
  17. makwa

    JamiiForums Tanzania Dr. Festus Limbu, binafisi nimekuelewa saana kwa hili swala wafanyabiashara wakubwa

    Hii makala inapatikana katika gazeti la jamhuri la april 6,2021
  18. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania Wakuu wa nchi za Afrika waliofariki wakiwa madarakani kuanzia mwaka 1960 - 2021

    Mwaka 2021, Tanzania inaomboleza kifo cha kiongozi wake wa nchi aliyefariki akiwa madarakani, John Pombe Magufuli aliyefariki kwa ugonjwa wa moyo. Hii hapa orodha ya Wakuu wengine wa nchi za Afrika waliofariki wakiwa madarakani kuanzia mwaka 1960 hadi 2021. Mwaka Nchi Kiongozi Sababu 2021...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu kumshukuru kwa ishara mhudumu wa Air Tanzania ni ishara ya Utumishi unaoheshimu wadogo na wakubwa

    Wakati Mhe. Rais anaingia jijini Dar akitokea Dodoma ameonekana akitoa shukrani kwa muhudumu wa ndege Jambo ambalo viongozi wengi awafanyi kwa watumishi wa chini yao. Viongozi wengi wanapopata madaraka wamekuwa watu wa dharau na kufoka kwa walio chini yao. Wengi wamekuwa watu wakuona mapungufu...
  20. Dedan j Dedan

    JamiiForums Tanzania Nimehama chuo(transfer) nilikuwa na mkopo lakini ni pungufu ukilinganisha chuo nilichopo. Je, Mwakani itanibidi niombe tena?

    Nimehama chuo(transfer) nilikuwa na mkopo lakini ni pungufu ukilinganisha chuo nilichopo. Je, Mwakani itanibidi niombe tena? Naombeni mnisaidie wakubwa
Back
Top Bottom