Picha ya wachezaji wakubwa huko south africa wanaoomba kujiunga yanga sc

njaakalihatari

JF-Expert Member
Feb 12, 2019
1,510
2,000
Kitendo cha yanga sc kuwepo kwenye top 100 ya teams bora afrika ikishika nafasi ya 74 nyuma kidogo ya namungo iliyo namba 60 kimeipa umaarufu mkubwa huko south africa huku wadau wakisema ni kitendo kinachopaswa kujivunia haswa ukifikiria bara hili lina maelfu ya teams

Sasa unaambiwa wachezaji kadhaa wnaocheza ligi kuu na ligi daraja la kwanza huko kwa madiba walijitokeza katika hotel aliyofikia gwiji la usajili barani afrika Hersi said ili kujaribu kupata bahati ya kuchezea klabu hiyo kubwa inayoendeshwa kwa ufanisi mkubwa bila janjajanja

Ikumbukwe Injinia Hersi yupo huko akitafuta wachezaji was bei ghali kuanzia dollar laki tano kwenda juu ili kuitumia bajeti ya bilioni 12 za usajili zilizotengwa na GSM

Cha kushangaza wote walikuwa wameweka bleach kichwani ile style ya Fiston,kisinda na shaban djuma walipoulizwa walisema mawakala wamewaambia wafanye hivyo kwani itaongeza mvuto kwa wana jangwani haswa ile kamati nguli ya mapokezi
Mtoa habari anadai kuna wadogo zake wawili yule mserbia wa kaizer chiefs aitwaye Nurkovic wako kwenye hii picha nao wanataka kuja jangwani
utooo.jpg
 
chenjichenji

JF-Expert Member
Jul 18, 2013
1,579

View attachment 1816223
Hahahahaaaaa...
Eti gwiji la usajili barani Afirka!!.
 
njaakalihatari

JF-Expert Member
Feb 12, 2019
1,510
2,000
Hahahahaaaaa...
Eti gwiji la usajili barani Afirka!!.
ni gwiji lile huko congo limeacha billions 1.2 kwa as vita bado linamwaga mapesa mengi kushusha mitambo ya magoal,mashine iiitwayo kambole imecheza mechi 11 pale kaizer chiefs bahati mbaya haikufunga goal hata moja sema angalau ina assist moja nayo inatua hapa
kama Tff hawatamfanyia figisu kama alizofanyiwa sarpong basi mashine hiyo itafunga saaaanaaaa
 
HELA

Senior Member
May 10, 2015
192
250

Hahahahaa Tff ndiyo wabaya wetu. Karia atoke hahaha
 
Tate Mkuu

JF-Expert Member
Jan 24, 2019
8,405
2,000
Kitendo cha yanga sc kuwepo kwenye top 100 ya teams bora afrika ikishika nafasi ya 74 nyuma kidogo ya namungo iliyo namba 60 kimeipa umaarufu mkubwa huko south africa huku wadau wakisema ni kitendo kinachopaswa kujivunia haswa ukifikiria bara hili lina maelfu ya teams

Sasa unaambiwa wachezaji kadhaa wnaocheza ligi kuu na ligi daraja la kwanza huko kwa madiba walijitokeza katika hotel aliyofikia gwiji la usajili barani afrika Hersi said ili kujaribu kupata bahati ya kuchezea klabu hiyo kubwa inayoendeshwa kwa ufanisi mkubwa bila janjajanja

Ikumbukwe Injinia Hersi yupo huko akitafuta wachezaji was bei ghali kuanzia dollar laki tano kwenda juu ili kuitumia bajeti ya bilioni 12 za usajili zilizotengwa na GSM

Cha kushangaza wote walikuwa wameweka bleach kichwani ile style ya Fiston,kisinda na shaban djuma walipoulizwa walisema mawakala wamewaambia wafanye hivyo kwani itaongeza mvuto kwa wana jangwani haswa ile kamati nguli ya mapokezi
Mtoa habari anadai kuna wadogo zake wawili yule mserbia wa kaizer chiefs aitwaye Nurkovic wako kwenye hii picha nao wanataka kuja jangwani
View attachment 1816223
Acha majungu wewe mfanyakazi mtiifu wa Mudi.
 
njaakalihatari

JF-Expert Member
Feb 12, 2019
1,510
2,000
Acha majungu wewe mfanyakazi mtiifu wa Mudi.
mwenyekiti wa team ya tatu kwa ubora Tanzania nyuma ya simba na namungo akiwa na wazee wa team hiyo baada ya kutoa tamko la kumnusuru na kipigo heavy tarehe 3 july baada ya ile mechi ya wali iliyoahirishwa kwa masaa mawili na mwanachama mtiifu wa team hiyo ya jangwani Innocent bashungwa kuota mbawa
Capture.PNG
 
Tate Mkuu

JF-Expert Member
Jan 24, 2019
8,405
2,000
mwenyekiti wa team ya tatu kwa ubora Tanzania nyuma ya simba na namungo akiwa na wazee wa team hiyo baada ya kutoa tamko la kumnusuru na kipigo heavy tarehe 3 july baada ya ile mechi ya wali iliyoahirishwa kwa masaa mawili na mwanachama mtiifu wa team hiyo ya jangwani Innocent bashungwa kuota mbawa
View attachment 1816321
Hao Wazee wana hoja ingawa siwaungi mkono. Nilipenda kwanza kumuona yule aliye sababisha ile mechi ya awali kuahirishwa, ajitokeze hadharani na kuomba msamaha kabla ya kuchezwa kwa hiyo mechi ya Julai!

Na pia aahidi upuuzi kama ule kutojirudia tena siku za usoni.
 
nkuwi

JF-Expert Member
Feb 11, 2013
4,104

Hoja ya ny.oko
 
simple sana muhusika wa huo ujinga mwanachama wa yanga aitwaye bashungwa anaweza kusema ilipofika saa sita mchana vyombo vya usalama vilikuta package isiyo y a kawaida chooni uwanjani ikadhaniwa ni bomu ili kutokuleta taharuki kikaondolewa haraka na bomb squad huku juhudi zikiendelea kuhakikaisha usalam ikaamuliwa kupeleka mechi mbele ili kujihakikishia usalama..huo utetezi unaweza kutumika hata fifa kama yanga wataamua kutunishiana kifua
waziri.PNG
 
Maji kupwa

JF-Expert Member
Jan 20, 2019
289
500
Hilo bandiko lako linaonyesha wazi kuwa simba imewauma sn kwa shabani d juma maana mpk msemaji aliweweseka kwa kuwa msemaji wa yanga gafra!!! Eti shabani D juma samani yake Dola laki5 wpi na wpi? Inamuhusu nn au kawa chawa wa Vita?
 
Leonard Robert

JF-Expert Member
Apr 22, 2011
10,210
2,000
ni gwiji lile huko congo limeacha billions 1.2 kwa as vita bado linamwaga mapesa mengi kushusha mitambo ya magoal,mashine iiitwayo kambole imecheza mechi 11 pale kaizer chiefs bahati mbaya haikufunga goal hata moja sema angalau ina assist moja nayo inatua hapa
kama Tff hawatamfanyia figisu kama alizofanyiwa sarpong basi mashine hiyo itafunga saaaanaaaa
I see
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom