wakubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali imeweka Mawakili wake kuwatetea akina Mdee? AG akichafuka wakubwa zake watabaki wasafi?

    Tumetoka kuondoa kesi mahakamani dhidi ya Mbowe serikali ikiwa imechafuka, utaratibu wa kuondoa kesi hiyo ukiwa na maswali mengi KUHUSU uhusika wa viongozi wakubwa. Tumejisafisha lakini Bado atujatakata. Hali ikiwa Tete tumeingia Tena kwenye mgogoro wa ajabu usiohutaji kujadiliwa. Usiotoa...
  2. Beah

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Mbuzi wakubwa na kondoo wanauzwa kwa bei nafuu weka oda yako tukufikishie ulipo

    Tunauza mbuzi wakubwa sana na kondoo wazuri. Shamba letu lipo Bunju sema ulipo tukufikishie mzigo wapo mbuzi wa kutosha. Mawasiliano 0652746359
  3. Jackwillpower

    JamiiForums Tanzania Watu wakubwa baada ya gharika

    Leo tutawatazama vizazi vya watu wakubwa katika historia ya Biblia baada ya gharika, kwa mujibu wa Biblia kulikuwa na vizazi vya watu wakubwa sana, mfano kama ilivyo leo katika jamii tofauti ama maeneo fulani kuna watu wakubwa kama Hashim Thabiti ambaye ana futi 7.2. Lakini katika zama za Biblia...
  4. funaku

    JamiiForums Tanzania Tuwatambue wafanyabiashara wakubwa wa mafuta nchini

    Toka mwaka 2011 tunahangaika sana na suala la nishati ,hivi ni wafanyabiashara gani wenye kuhodhi biashara hii Tanzania? Kama unawafahamu wataje humu jamvini. Rais Kikwete aliwahi kunukuliwa kuwa hawa jamaa huwa hawagusiki ukiwagusa tu unapata shida.
  5. figganigga

    JamiiForums Tanzania Polepole angepewa ubalozi wa Mongolia, Nicaragua au El Salvado ili ajifunze kuheshimu Wakubwa

    Salaam Wakuu, Natumaini kesho Polepole atasusia Kuapishwa. Sababu alisema ubunge ukiisha hagombei tena. Pia alisema ana misimamo yake haiyumbishwi wala hababaishwi na mtu yoyote. Polepole ana bahati. Kakutana na rais Samia ana huruma. Kampeleka karibu hapo Malawi ikitaka kusalimia atapanda...
  6. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Rais Samia wasaidie wananchi hawa wa Kigamboni kuna wakubwa ‘wanawapiga’ katika ardhi yao

    Inadaiwa kuwa huu mchongo unawahusisha vigogo wa kwenye mamlaka za juu na ndiyo maana kuna danadana zinaendelea. Taarifa za uhakika kutoka wa watu ambao wamekuwa sehemu ya waathirika wa mradi huo kwa ardhi yao kutaka kuuzwa kwa bei ya chini amedai kuwa wameshafanya vikao vingi lakini hakuna...
  7. kmbwembwe

    JamiiForums Tanzania Hivi AU ina uwezo kuitisha mkutano wa nchi zake na na nchi za EU kwa agenda yake au sisi huwa tunaitwa tu kwa agenda za wakubwa?

    Kuna hii kitu unakuta nchi tajiri kama marekani, japan ufaransa, au china zinaitisha mkutano na viongozi wa afrika. Bila shaka ni kujadili agenda za maslahi kuhusu nchi hizo tajiri. Hivi karibuni tumeona european union na wao wakiitisha mkutano na viongozi wa afrika. Sasa utaona viongozi wote...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya PIGA BET ni wezi wakubwa mmeamua kuniibia pesa yangu

    habari wakuu, kampuni tajwa hapo juu ni kampuni ya kubett ijulikanayo kama piga bet ambayo inajihusisha na michezo ya kubahatisha, jana jioni nikapata pesa yangu sehemu ,nikasema ngoja niizalishe basi nikaweka kwenye acc,nikabett live matches match zikaisha zimetoa kasoro moja tu. nikasubiri...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Wauzaji wakubwa wachache

    OLIGOPOLY Kwanza neno oligopoly limetoka kwenye maneno mawili ya ki latin maana yake ni wauzaji wachache. Sifa za Oligopoly: 1.Ugumu wa kuingia kwenye hili soko Kutokana na mtaji wake kuwa mkubwa, vibali kuwa vingi nk Mfano: Biashara ya usafiri wa ndege, mtaji wake ni mkubwa, vibali na...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Waziri January Makamba anamaanisha Magufuli alikuwa akiwakatia umeme watumiaji wakubwa na kuwatisha wakae kimya?

    January Makamba akijibu hoja za wabunge kuhusu kukatika kwa umeme, kwanza alimlaumu mbunge Musukuma kwa kumshambulia yeye binafsi na kueleza kazi ya ubunge sio kushambuliana na kama ana matatizo na yeye kuwa waziri au samia kuwa rais apeleke kwingine lakini sio kwenye masuala ya nchi. Pamoja na...
  11. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Kwanini watoto wa wanasiasa wakubwa Tanzania huwa hawana uwezo wa kujiajiri?

    Ukiangalia Kenya watoto wengi wa wanasiasa wakubwa hujiajiri isipokuwa wachache Mfano tajiri mfanyabiashara mkubwa kenya ni Gideon Moi mtoto wa Raisi wa zamani wa kenya Marehemu Daniel Arap Moi Tanzania ni kinyume mitoto ya viongozi wakubwa wa siasa haina uwezo wa kujiajiri hata uwezo tu wa...
  12. Extrovert

    JamiiForums Tanzania Wakubwa naombeni msaada wa software

    1.Windows 2.Tally 3.Excel
  13. Mrkaswahili

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi au internship nipo Mwanza

    Habari za wakati huu wakubwa zangu mawapa heshima yenu na vijana wenzangu natumai pia muwazima ahsante. Naomba muniwie radhi lakini mficha dhara kifo humuumbua.Naitwa Mhina nipo naishi Mwanza ni mhitimu wa stashahada ya uhasibu(Diplomoa in Accountancy). Dhumuni la kuandika thread hii ni kuomba...
  14. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Kwa matokeo ya kidato cha 4, sisi kama taifa ni vilaza wakubwa

    Wanasema lugha ambayo Mungu alitumia kuumba ulimwengu ni hesabu. Hata wanapoangalia na kulinganisha performance ya elimu kwa nchi mbalimbali, huangalia Hesabu na sayansi. Sasa basi, ufaulu wa Hesabu mwaka huu ni asilimia 20. Au ni 30? Hii inamaanisha asilimia 80 ya watahiniwa wote wamepata F ya...
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya Habari Tanzania imarisheni 'Maslahi' kwa Waandishi wenu ili wasiwe wanang'ang'ania ziara za Wakubwa zinazowauwa kwa ajili ya Posho

    Ukweli ni lazima usemwe hata kama ni Mchungu na bahati nzuri pia naisemea Tasnia ambayo naijua, naiishi na nimebobea nayo. Waandishi wa Habari ( hasa mlio Newsroom ) mtakubaliana nami kuwa sasa ni kawaida kwa Waandishi wa Habari Kupenda kutumwa katika Ziara za Wakubwa ( Viongozi na Wanasiasa )...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Safi sana Kipa Johora kwa kuwakomesha leo Wanafiki Wakubwa Yanga SC na Kukubali Kufungwa Kiulaini zile Goli 9 za Penati Zanzibar

    Yaani wameshakudharau kwa kukuletea Kipa Mwenzako Msheli ambayo Kwako bado ni Kinda na hata hakufikii Kiuzoefu halafu muda mwingi huwa hudaki na leo wasivyo na hata na aibu wakata ukawabebe katika Mikwaju ya Penati na Wewe ukawa unaruka Ushahidi tu. Johora Mola kakulipia Machungu yako.
  17. sabuwanka

    JamiiForums Tanzania Wabunge 38 wa Uganda wakubwa na corona baada ya kutoka Tanzania

    Wabunge 38 wa Uganda wakutwa na corona baada ya kutoka Tanzana, Safari ya wabunge wa Uganda zaidi ya 200 na wafanyakazi wa bunge 125 imeingia doa baada ya kurudi kutoka kwenye mashindano ya wabunge wa Jumuiya ya Afrika mashariki, mjini Arusha Tanzania na kukutwa wana maambukizi ya uviko19. Kwa...
  18. Kwekitui

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli kuna upungufu wa vioo "Black Tinted Glass" hapa Dar es Salaam kwa wauzaji wakubwa?

    Kuna fundi mmoja amepewa kazi na baba yangu mzazi ya kutengeneza madirisha ya Aluminum, cha ajabu hii ni wiki ya 2 sasa anamwambia baba eti vioo havipatikani. Je wakuu kuna ukweli hapo eti vioo vya Dark Grey havipatikani nchini kwa sasa? Kama kuna anayeuza kwa jumla tafadhali anisaidie nije...
  19. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Mabilionea wakubwa 20 waliojitengengenezea utajiri wao baada ya kuacha Chuo Kikuu

    Elimu ni ufunguo wa maisha, Elimu ni bahari, Elimu ni nguvu. Elimu ina nguvu na uwezo mkubwa sa a wa kubadilisha maisha ya watu. Lakini pia sii kila msomi au mtu mwenye elimu kubwa ana mafanikio makubwa au utajiri mkubwa au ametimiza ndoto zake. Elimu haijasaidia kutajirisha watu wote wenye...
  20. Rebeca 83

    JamiiForums Tanzania Tupigie wakubwa kelele kuhusu Kilimo mpaka wasikie

    Hello JF, Kuna threads nyingi sana humu za kilimo, jinsi kilivyo na potential ya kubadilisha Tanzania ila wakubwa hata hawajisumbui....sasa naomba tujadili njia za kuwashtua...😥😊😊😭 Seriously nimeona Tanzania ina depend on Agriculture by 76%, hii inamaanisha massively uchumi wetu ni Kilimo...
Back
Top Bottom