wakati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Baba jayaron

    JamiiForums Tanzania Ninapata wakati mgumu na X's, nipeni msaada

    Wasalaam, Iko ivi mi ni kijana kati ya 30 to 35yrs old, Nimekua kwenye mahusiano mbali mbali kwa wanawake wasio pungua 13... Nikijana ambaye bado najitafuta, kuhonga siwezi ila matumizi ya pamoja hayanishindi Kwasasa ninamahusiano na demu ambaye nnaweza jumuoa akitulia lakini... Shida...
  2. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Simba ilitumia kigezo gani kumteua cadena ? Wakati akiwa Azam ,magolikipa wa azam moja ya makipa wa bovu ligi ya nbc!!

    Huyu Cadena Kunawatu wamempenyeza aje aivuruge simba kisawasawa. Aliivuruga azam vilivyo. Na sasa kaachiwa timu. Na toka atoke Azam makipa wa Azam wanakuwa bora kila siku. Figisu zimepungua sana. Alipokuwa kule makocha walikuwa hawakai kabisa. Aliachiwa timu kwa muda Kali Ongala Timu...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini picha ya kujaa Maji Bwawa la Nyerere haionekani google wakati huu, nini shida

    Tangu kuanza kujazwa maji katika bwawa la nyerere ni takribani mwaka mmoja umepita, na maendeleo ya ujenzi wa bwawa la nyerere limefikia asilimia takribani 90. Sasa toka maji yameanza kujazwa disemba 2022 maji yameingia mengi mno, na ujazo umefikia mita takribani 160+, hawa google kwanini...
  4. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Tanga: Mjamzito afariki dunia kituo cha afya kwa kukosa Tsh. 150,000

    Mama mjamzito, Mariam Zahoro (30) Mkazi wa Kijiji cha Mumbwi Wilayani Handeni, Tanga amefariki dunia akiwa kwenye Kituo cha Afya Kabuku kilichopo Wilayani humo ikidaiwa kuwa alikosa huduma ya upasuaji baada ya kushindwa kulipa Tsh. 150,000 alizotakiwa kutoa kwa ajili ya huduma hiyo. Tukio hilo...
  5. benzemah

    JamiiForums Tanzania Unakumbuka nini wakati unafanya mtihani wa Kidato cha Nne

    Wanajamvi. Leo wanafunzi 572, 338 wa kidato cha nne kutoka shule 5,371 kote nchini wameanza mtihani wa taifa. Hebu tukumbushane hapa nini hasa unakumbuka wakati unafanya mtihani wa kidato cha nne
  6. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Eng. Ulenge: Ifike Wakati Tuangalie Vipaumbele vya Taifa Letu Ili Tuweze Kusonga Mbele

    MBUNGE ENG. ULENGE: IFIKE WAKATI TUANGALIE VIPAUMBELE VYA TAIFA LETU ILI TUWEZE KUSONGA MLELE "Kamati ya Miundombinu tulikutana na Kamati ya Wizara ya Fedha, kiliniumiza ni kuwepo na miradi mingi ya maendeleo ambayo Fedha haziendi kwa wakati. Ifikie wakati tuangalie vipaumbele vya Taifa letu...
  7. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Hatimaye CCM imeishiwa kabisa ushawishi? Hebu angalia haya mambo yaliyopitwa na wakati

    Bila shaka sasa Badala ya kukiaibisha chama chao Pekee, Wameamua kudhalilisha Taifa lote. Lakini je, Wananchi hata kama ni wajinga watakubali kudanganywa kibwege namna hii? Yaani utumie V8 kwa maelfu ya KM halafu ushuke uendeshe baiskeli Mita 2 ili wananchi wanaoonekana Mbumbumbu wakuone uko...
  8. Artifact Collector

    JamiiForums Tanzania Wakati mzee kilomoni anapinga janja ya Mo dewji alionekana mbaya

    Mzee kilomoni aliona mbali sana na alipinga janja janja ya mohamed dewji kipindi kile cha mabadiliko ila wana-simba wengi walimbeza na kumuona msaliti na anayekwamisha mabadiliko Ukweli ni kwamba kilomoni aliona mbali sana leo hii simba mwenyekiti anatumia gharama kubwa ya kumleta manzoki...
  9. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Wakulima wa chai na parachichi Rungwe ni wakati wa kuifufua Tukuyu Stars

    Safari ya Tukuyu Stars na Isuzu Lao -Kikosi cha Tukuyu Stars, timu iliyopanda daraja mwaka 1985, katika kituo cha Shinyanga na kuja kucheza Ligi Daraja la Kwanza Tanzania Bara wakati huo na kuchukua ubingwa kwa kupoteza mechi tatu tu. -Mwaka huo wa kupanda daraja wa 1985, Tukuyu Stars hadi...
  10. chiembe

    JamiiForums Tanzania Jerry Slaa, ujenzi wa Ofisi za ardhi Kila Mkoa umefikia wapi? Tinazikumbuka zile bilioni 350! Sasa mnazua zogo, wakati Hela mnayo ya kutatua tatizo

    Mwaka huu katika bajeti, Kuna bilioni 350 za ujenzi wa Ofisi za ardhi Kila Mkoa zilizua zogo, sijaona hata dalili ya mtu kuchimba msingi hapa Dodoma Wala Dar es salaam. Basi hizo Hela zielekezwe kununua vifaa vya upimaji, upimaji uwe bure nchi nzima, wanaodai fidia ya viwanja, walipwe humo.
  11. kavulata

    JamiiForums Tanzania Simba waliiogopa mno Yanga kabla ya mechi na wakati wa mechi.

    Hakukuwa na ulazima wa Simba kumfukuza kocha peke yake kwa kosa la kufungwa magoli 5 na Yanga. Kufungwa kwa Simba kulisababishwa na sababu na wadau wengi wakiwemo viongozi na wachezaji wenyewe. Simba iliingia kwenye mechi ile wadau wote wa simba (kocha, wachezaji, uongozi na mashabiki) wakiwa...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Nini siri ya mwanauke kukata kiuno au kukatika wakati achezapo ngoma

    Kuuliza si ujinga. Nauliza kutokana na kichwa cha habari kuna siri gani wadada wanapokata au wanapoonekana wanacheza ngoma,huwaga kama wanashindana ,sielewi ndio kuwa uyaone au uyajue. Na mara nyingi wanawavutia watazamaji wengi tu.kuna siri gani ,wataalamu tuelimisheni.
  13. S

    JamiiForums Tanzania Ni wakati sasa wa ama Che Malone au Inonga kusugua benchi

    Narudia tena, hawa jamaa wawili hawawezi kucheza pamoja bila kuruhusu magoli. Kwanza wanategeana, kila mmoja anataka kuwa wa mwisho. Pili wote wanaumwa na kujiamini kupita kiasi, wanapenda kupanda mbele kwa ku dribble mipira matokeo yake wakipoteza tu mpira, basi ujue unahesabu kamba golini...
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mnaumia nini Kufungwa Goli 5 na Yanga SC leo, wakati GENTAMYCINE kila nikiwasema Viongozi na Wachezaji wa Simba SC mnanuna na kunitusi?

    Siyo Mimi niliyewaambia hapa hapa Jamiiforums kuwa Viongozi Murtaza Mangungu ni Kirusi na Salim Abdallah Mhene 'Try Again' ni Mtu wa Kuuza na Kupenda mni 10%? Siyo Mimi niliyewaambia hapa hapa Jamiiforums kuwa ndani ya Simba SC ( hata Kamati ya Utendaji ) kuna Virusi ( Watu wa Yanga SC ) ambao...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Watanzania tupo nyuma ya wakati

    Jana usiku nilikuwa namsindikiza rafiki yangu Tabata Segerea kutokea Kijitonyama. Binafsi ni miezi 6 tangu nifike Tabata, route zangu zilikuwa hazinipeleki kule. Ila kila tukikunja kona, ninashangaa jinsi mji ilivyobadilika. It’s just not the same. Maduka mengi yamevunjwa na kuwekwa kisasa...
  16. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa CCM mbona mnamug'unya maneno wakati genge linalotuibia mali zetu mnalijua?

    Bungeni mnalalama kama vile nyie sio chombo kuiwajibisha serikali. Lakini ukweli upo wazi kuwa genge linalowaibia watanzaia kila uchwao mlalijua. Mbaya zaidi mnajua wazi lilifurahia waziwazi kifo cha hayati JPM. Kumbe hili genge lilifurahia kupata mwanya wa kuwaibia watanganyika.
  17. S

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa Mbunge kutoa taarifa Bungeni wakati wa mjadala unaendelea ufanyike kidijitali

    Kama kichwa cha habari. Naona huu utaratibu wa mbunge kupiga kelele ' taarifa, taarifa, taarifa' una distract anayeongea. Yaani mimi huwa hata siwaelewi, unavuruga kabisa flow ya mchangiaji na hata usikivu kwa sisi wasikilizaji. Nadhani hicho kipengele kiliwekwe kwa nia nzuri na Mabunge ya...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Rafiki niliyemsaidia wakati wa shida akanitosa nilipopatwa shida, leo kanifanyia surprise ya kufungia mwaka

    To cut short story huyu jamaa ni rafiki yangu wa tangu utotoni. Mwaka 2012 nikiwa vizuri sana kiuchumi alipatwa na msiba wa baba yake mzazi. Yeye kwao ndio wa kwanza na ndio mtoto anae tegemewa na familia nzima. Kwao ni Dar ila msiba ulimkuta akiwa kaenda kufanya interview ya kazi Kigoma...
  19. Execute

    JamiiForums Tanzania Precision Air, ndege yenu namba PW 417 inatoa mlio wakati wa kushusha matairi

    Jana (2 Nov) nimesafiri kutoka Mwanza na ndege hiyo kuja Dar kupitia KIA. Pale mwanza tulichelewa kwa zaidi ya saa zima, badala ya 12:55pm tuliondoka around 14:10pm. Nilikaa maeneo ya karibu na injini ilipo na niliusikia ule mlio wa paaah wakati tunatua KIA na vilevile wakati tunatua Nyerere...
  20. Wimbo

    JamiiForums Tanzania Sina roho mbaya ila huu si wakati muafaka wa pensheni za Wenza wa Marais

    Sote tunajua nchi inamadeni mengi, miradi mingi tunayojipamba nayo kwamba tumetekeleza ni madeni ya kuja kulipa baadae na kiasi kidogo cha misaada, mikopo bado inatukimbiza kwa mbali dhidi ya mapato. Hivi ni wakati muafaka kweli wabunge kujadili sheria ya pensheni ya wenza wa Marais na mawaziri...
Back
Top Bottom