wakati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    JamiiForums Tanzania Ni wakati muafaka sasa kwa kanisa katoliki Tanzania na Afrika kujitenga na Vatican kama ilivyo kanisa katoliki la China

    Baada ya Papa Francis kuagiza kanisa katoliki kote ulimwenguni isipokua China kubariki ndoa za mashoga, sasa ni wakati muafaka Kanisa Katoliki Afrika kujiondoa kutoka kwenye mikono ya ukoloni wa Vatican na kujitenga kama ilivyo Kanisa Katoliki China. China kanisa katoliki la Vatican halina...
  2. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Unabana matumizi yako Kifedha wakati wa Sikukuu hizi au tukuache na mambo yako?

    Wakuu, pamoja na kuwa kila mtu na maisha yake na life style yake lakini ni vema kukumbushana kuwa na tahadhari kwenye matumizi ya Fedha. Bila hivyo kuna mambo yataparangana Januari au hata miezi mitatu ya mwanzo mwaka 2024. Tule bata ila kwa mipango
  3. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Kuna wakati unajenga nyumba baadae unagundua hujajenga nyumba bado

    Katika maisha Kama binadamu unaweza kudanganywa na AKILI yako pamoja na HISIA hasa pale unapojenga nyumba ili uishi Ila ghafla anatokea jirani yako anajenga Hekalu na unaanza kuamini katika Akili yako kuwa haujajenga bado. Unaoa mke mzuri Ila unapomuona mke Wa rafiki yako au ndugu yako...
  4. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Makosa sita lazima wanawake wayaepuke katika uchaguzi wakati wa kuolewa

    All JF Ladies around 20's + Pitieni na hapa mpate darasa la bure kabisa 1️⃣. Nitaolewa nae kwa sababu ni mwenzangu wa kabila moja. Ukweli kwamba yeye ni mwenzako wa kabila haumfanyi kuwa mzuri kwako. 2️⃣. Nitaolewa nae kwa sababu Yeye ni Tajiri. Ukweli kwamba yeye ni tajiri sasa haimaanishi...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wawasilisha Barua Ubalozi wa Ujerumani wakitaka walipwe fidia kutokana na Babu na Bibi zao kuteswa wakati wa Ukoloni.

    The United Kingdoms of Afrika (UKOA) kupitia kwa Dr. Moses Katega “Prince Katega II” Na Dr. Fadhili Emily Kabujanja “Mfalme Dr. Fadhili” wameandika barua na kuiwasilisha Ubalozi wa Ujerumani Nchini Tanzania wakidai kulipwa fidia kwa kilichotokea wakati wa Ukoloni. Kupitia taarifa yao...
  6. U

    JamiiForums Tanzania Kwa taarifa yako Israel limetajwa mara 2200 ndani ya Biblia wakati Palestina haijatajwa hata mara moja

    Wadau hamjamboni nyote Niende kwenye hoja moja Kwa moja Huu ndiyo ukweli wa Maandiko matakatifu Taifa la Israel limetajwa mara 2,200 kwenye Biblia wakati Palestina haijatajwa hata mara moja Je Taifa la Israel limetajwa mara ngapi ndani ya Quran tukufu? Je Palestine imetajwa mara ngapi ndani...
  7. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Exaudi Kigahe (Mb) ametoa rai kwa watumishi wa kituo cha pamoja cha huduma za forodha Kasumulu kutimiza wajibu wao

    Mhe. Kigahe: Watumishi wa Mpaka wa Kasumulu Timizeni Wajibu Wenu kwa Weledi na kwa Wakati Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe Exaudi Kigahe (Mb) ametoa rai kwa watumishi wa kituo cha pamoja cha huduma za forodha Kasumulu kutimiza wajibu wao kwa wakati na weledi ili kuwahudumia wateja ndani...
  8. Mlalamikaji daily

    JamiiForums Tanzania Kuhusu mishahara wakati wa sikukuu, Serikali iache double standard

    Wakati wa sikukuu ya IDDI kule Zenji mishahara ilitoka tar 14 ili WAISLAMU wajiandae. Tuliona mbali tukapiga kelele kuwa serikali isiwe na dini. Lakini watu wakakaza fuvu. Haya sasa na sisi WAKRISTO tunaomba mshahara mapema ili tujiandae na Christmas.
  9. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bandari ya Mombasa haijawahi kupokea mizigo kama wakati huu, meli zinachepuka kutoka Dar

    Hivi kuna nini bandari ya Dar, je mwarabu aliyepewa kashindwa? Maana meli nyingi zimetamaushwa kwa kusubirishwa Dar hadi zimegeuza na kushushia mizigo Mombasa.... Nakumbuka mwarabu alipewa bandari zote baada ya Wabongo kushindwa, itabidi hatimaye zipewe mzungu maana hata mwarabu ni wale wale...
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mgambo wengi wa Kariakoo muda wote wakati wa Kazi wao wanakuwa Wamelewa tu?

    Haya Wakubwa zao mlioko hapa JamiiForums itisheni Gwaride la Dharula usiku huu na mkimkuta Mmoja kavimba Uso, Jino lake moja la chini limelegea tayari kwa Kudondoka chini Ardhini na Mguu wake wa Kulia anauburuza jueni Mzanaki na Myao Mimi GENTAMYCINE nimetuma Salamu kuwa wacheze na Washamba kama...
  11. Lanlady

    JamiiForums Tanzania Mitandao ya simu inakata hela bila mtu kujiunga na huduma yoyote. Haya mambo wakati wa Hayati Magufuli hayakuwepo

    Huo ndio ukweli. Kuna mambo ya ajabu sana yanaendelea kwa sasa hapa nchini. Nadhani wahusika wanatamani watunyang'anye hata kidogo tulichonacho tubaki hatuna kitu. Gharama za maisha zipo juu na bado mitandao ya simu inakata hela kwa kisingizio cha ulikopa au ulijiunga na huduma fulani wakati...
  12. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Wakati wa kupanda miti kwenye milima ni huu ambapo mvua zinanyesha

    Baada ya janga lililotokea Hanang inaelekea tumelichukulia kuwa limekwisha, ninapenda kuwashauri viongozi wote nchini kuwa vilima byote ambako mvua zinanyesha huu ndio wakati wa kupanda miti. Viongozi wetu wamekuwa na mtindo wa kiweka siku ya kupanda miti hasa wakati hakuna mvua na matokea...
  13. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Kinana asome alama za Nyakati, wana CCM hawamwelewi

    KINANA:VIONGOZI SERIKALINI FUATENI NYAYO ZA RAIS SAMIA KUESHIMU SHERIA, KANUNI MNAPOCHUKUA HATUA DHIDI YA WATENDAJI Na Mwandishi Wetu MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Abdulrahman Kinana ametaka viongozi na watenaji serikalini kuzingatia kanuni, sheria, utaratibu na...
  14. Muki1

    JamiiForums Tanzania Anapost wanaume walionunua magari na chattings zao status wakati mimi niko kwenye hali ngumu kiuchumi

    Mens niko kwenye ndoa miaka 3,tangu mwaka jana nimekua kwenye hali isiyo nzuri financially,sasa majuzi nacheki status naona wife kapost mwanaume rika langu kanunua ndiga akapost na chattings zao za kupongezana. Sikuona wivu kwamba jamaa rika langu kavuta chuma mimi sina ila nilifedheheka baada...
  15. uzewela

    JamiiForums Tanzania Mke wangu ataja jina la mwanaume mwingine wakati wa tendo la ndoa

    Tumefunga ndoa 2019 kwa sasa tunaishi mikoa tofauti sababu za kikazi juzi nimepata nafasi ya kuwatembelea mkoa aliopo nimeshiriki nae vizuri tu toka juzi. Jana usiku wakati wa kushiriki wakati naoeleka moto si akaropoka jina la mwanaume mwingine! Daah alinikata stimu hadi nikashindwa...
  16. KISS 100

    JamiiForums Tanzania Kijiji chote kimesombwa na Mafuriko, Kanisa limebaki

    "Kwenye madhara haya tumepata majeruhi pia wapatao 116, wanaume ni 56 na wanawake ni 60, ndugu Watanzania haya maafa ni makubwa sana, pia tumepata uharibifu mkubwa wa nyumba za kuishi, mashamba na mitambo mbalimbali ya magari, nimepata bahati ya kwenda Gendabi nyuma ya milima, kile kijiji nyumba...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Boris Johnson: Wakati mwingine Kwenye majanga kama ya Covid-19 ni Heri kutumia common sense

    Ni Heri kutumia common sense kama yule Rais fulani wa Africa aliyesimama Imara na kuiponya Jamii yake Johnson alikuwa akijibu Swali la Jaji huko UK Sijajua huyo Rais wa Africa anayempongeza ni nani! Maandalizi Mema ya Sabato 😀 --- Boris Johnson says more "common sense" should be used at...
  18. Trainee

    JamiiForums Tanzania Wakati unatafuta hela kwa udi na uvumba kuna mwenzako amezitupa hela huko kama takataka vile

    Inasemekana alionekana mtu akikuchunuku tu anakuita anakupa "mihela" basi watu wakafaidi hela waliofaidi. Wakatikea waja wema wakamsihi aachane na zoezi hilo maana huenda ingekuwa ni hatari kwa usalama wa maisha yake kwani watu walishaanza kusambaziana taarifa kuwa "kuna mtu anagawa mapesa hovyo...
  19. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mwanamke wa 4 adai alibakwa na Diddy wakati akiwa na miaka 17

    DIDDY ATUHUMIWA NA MWANAMKE WA 4 K UBAKAJI WAKATI AKIWA NA MIAKA 17 Huenda Rapa na Mfanyabiashara Sean Combs maarufu kama Puff au Diddy akawa katika nyakati ngumu kutokana na tuhuma za Unyanyasaji wa Kingono zinazozidi kuibuliwa dhidi yake, licha ya yeye kukanusha uhusika wake Na hiyo ni baada...
  20. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa: Makamu wa Rais, Philip Mpango yuko nje kwa majukumu

    Kasim Majaliwa amewahakikishia Watanzania kuwa Makamu wa Rais Dkt Isdory Mpango ni mzima wa afya na yupo nje ya nchi kimajukumu. Waziri Mkuu amesema kuwa watanzaia waachane na ule mtandao unaosema maneno ya ajabuajabu na wasiwe wasiwasi wowote Kwa kuwa Makamu wa Rais Dk. Mpango ni mzima na...
Back
Top Bottom