Inawezekana huu ndiyo wakati sahihi kwa CHADEMA kufanya haya...

Msanii

Platinum Member
Jul 4, 2007
22,606
29,755
Umofia kwenu nyote.
Hali halisi imeshajionesha hususan dhamira ya CCM na waliopo serikalini dhidi ya Watanzania
Kwa umakini mkubwa napenda kuwashauri CHADEMA yafuatayo

  1. Watafakari upya mtego waliouingia kupambana na Hayati wakati wasaidizi wake ndo wanaendesha nchi tena kwa kuigiza kana kwamba hawakuwa pamoja naye. Ikumbukwe kwamba hata haya yanayotokea yule mzee asingeyafanya bali tatizo lake lililohitaji tiba kubwa ni ubabe na ukatili ingawa alijinasibu kwa baadhi ya vitendo kuwa anawajali wanyonge huku akinyonga baadhi.
  2. Nchi inahitaji kuendelea mbele kwa kusahihisha makosa yaliyopita, Hata mimi naamini kuwa CHADEMA wakishapata ridhaa ya wananchi, ridhaa ambayo wanaporwa kila uchaguzi mkuu, watarekebisha kasoro zilizopita kwa kuanzisha ama kurithi mema na kuyaacha mabaya. Nchi siyo personal property bali ni mali ya umma hivyo tunapaswa kutibu vidonda na kuepuka kuishi yale tunayoyalaani kila siku.
  3. Viongozi wa juu wa upinzani hususani CHADEMA ni muda sasa wa kuaddress National Issues, kuna mikataba ya hovyo tangu Kikwete hata leo ambayo wananchi wengi hawajaelimika nayo, waanze kuwalemisha wananchi hasara kwa taifa na mtu mmoja mmoja kuhusu mikataba hiyo.
  4. CHADEMA ijikite kupambania eneo la elimu yetu kwa sababu kuna mtego ambao nahisi na wao wameuingia ambao ni wa kupuuza shule za umma hususan sekondari na msingi. Bila watoto wa viongozi wa kitaifa wa serikali kupelekwa shule za umma tutaendelea kubadilisha mitaala kila regime kwa sababu viongozi wa juu wa serikali wamewageuza wananchi kama shamba darasa la sera zao ambazo kimsingi nyingi ni mbovu mno.
  5. CHADEMA wamehubiri na kuasisi sana umuhimu wa Haki za Binadamu na uhuru wa maoni ambapo hayo ni msingi muhimu wa Demokrasia, lakini sasa waongeze hadidu rejea za hoja zao. wajikite kuketa mbadala wa issues zinazowapa changamoto wananchi. Kuna migogoro ya Ardhi, Kukosekana Fursa, Bodi za Mazao kujimikisha jasho la wakulima Watanzania, Fursa za mikopo na matatizo lukuki ambayo CCM inayatumia kuhadaa wananchi ili wapate kura.
  6. Tunahitaji Yearly List of Shame. Kila mwaka tuwe na orodha inayoboreshwa ya mafisadi na majizi ya taifa. Ni rahisi mno sasa kuipata kupitia ripoti mbalimbali hususani ya CAG.
  7. CHADEMA wana wanasheria lukuki ambao ni makini na mahiri kwa sababu wapo up to date kielimu na kitaaluma, ni wakati sasa wa kutumia wanasheria wao kutoa Legal Reviews na Legal Opinions za sheria mbalimbali uchwara ambazo Bunge limepitisha.
  8. CHADEMA kila baada ya Bunge la Bajeti waitafsiri sheria ya fedha ya mwaka ya serikali kwa wananchi waelewe wapi wameliwa na wapi wamekaangwa. Ikumbukwe ishu ya Tozo wananchi wengi hawakuwa aware nayo hadi walipoanza kuumizwa nayo.
  9. CHADEMA iandae viongozi wake na isitegemee kudaka makapi kutoka CCM kwa sababu wengi huwa wametumwa kazi maalumu, hoja za kununuliwa viongozi inawezekana ikawa inatumika kulinda mamluki waliotumwa na hatimaye kurejea CCM. Waanzishe ama waboreshe intelejensia ya chama chao kwani ni muhimu sana kustawisha wazalendo kuliko kuokota okota waroho wa madaraka ambao huwagharimu sana huko mbeleni.
  10. CHADEMA tambueni vijana ndiyo uhai wa Taifa lolote duniani, wekezeni akili huko maana msitarajie viongozi wenu kuishi milele, nchi hii kuishi ni kwa kudra ya mtawala kwa sababu ukweli mnaujua.
Mimi ni raia wa kawaida mno. Ni mwanachama hai wa CCM ambaye kwa uhakika naamini nchi yetu inahitaji mabadiliko makubwa kuelekea maendeleo chanya ya kweli ya kisekta na kijamii. Naamini upinzani siyo ugaidi bali takwa la kikatiba na kisheria kwa kukuza demokrasia na hasa hasa kuinufaisha nchi kwa sera na siasa zenye kubeba matumaini yanayotekelezeka.

Amani iwe Kwenu.

CC: Erythrocyte figganigga Bujibuji Simba Nyamaume Mshana Jr Extrovert raraa reree Pascal Mayalla lumumbai MalcolM XII ChoiceVariable Lucas mwashambwa Ma amaira zitto junior FaizaFoxy Mzee Mwanakijiji Nyani Ngabu Dr Matola PhD Gwappo Mwakatobe Mpwayungu Village MWALIMU DAIMA Retired kigogo hood karume msaka Asprin Zanzibar-ASP ACT Wazalendo Mdude_Nyagali
 
Vugu vugu la Upinzani wa Serikali kupitia Vyama vya Siasa limepoa sana

sasa hivi Wananchi wenyewe wanalianzisha na Wapinzani wanaunga Tela

Chadema wameanza kuliongelea Sakata la Bandarini wakati tayari limeshapamba moto

Vuguvugu la Kariakoo vivyo hivyo

lwa sie tulionusa nusa political science tunaelewa Upinzani unaotokana na Jamii ya kawaida ni hatare sana …rejea upinzani wa Mtwara wakati wa Gas
 
Waliokoteza Lowassa kipindi kile wakawapoteza wajenzi wenza wa demokrasia ambao nao wakatimkia CCM lakini that was uncalculated loss......

Wapinzani wamepandikiziwa moles ambao sasa wanarudi kulipwa kwa kazi walizozifanya
 
Umofia kwenu nyote.
Hali halisi imeshajionesha hususan dhamira ya CCM na waliopo serikalini dhidi ya watanzania
Kwa umakini mkubwa napenda kuwashauri CHADEMA yafuatayo

  1. Watafakari upya mtego waliouingia kupambana na marehemu wakati wasaidizi wake ndo wanaendesha nchi tena kwa kuigiza kana kwamba hawakuwa pamoja naye.... Ikumbukwe kwamba hata haya yanayotokea yule mzee asingeyafanya bali tatizo lake lililohitaji tiba kubwa ni ubabe na ukatili ingawa alijinasibu kwa baadhi ya vitendo kuwa anawajali wanyonge huku akinyonga baadhi
  2. Nchi inahitaji kuendelea mbele kwa kusahihisha makosa yaliyopita, Hata mimi naamini kuwa CHADEMA wakishapata ridhaa ya wananchi, ridhaa ambayo wanaporwa kila uchaguzi mkuu, watarekebisha kasoro zilizopita kwa kuanzisha ama kurithi mema na kuyaacha mabaya. Nchi siyo personal property bali ni mali ya umma hivyo tunapaswa kutibu vidonda na kuepuka kuishi yale tunayoyalaani kila siku
  3. Viongozi wa juu wa upinzani hususan CHADEMA ni muda sasa wa kuaddress National Issues, kuna mikataba ya hovyo tangu Kikwete hata leo ambayo wananchi wengi hawajaelimika nayo, waanze kuwalemisha wananchi hasara kwa taifa na mtu mmoja mmoja kuhusu mikataba hiyo.
  4. CHADEMA ijikite kupambania eneo la elimu yetu kwa sababu kuna mtego ambao nahisi na wao wameuingia ambao ni wa kupuuza shule za umma hususan sekondari na msingi. Bila watoto wa viongozi wa kitaifa wa serikali kupelekwa shule za umma tutaendelea kubadilisha mitaala kila regime kwa sababu viongozi wa juu wa serikali wamewageuza wananchi kama shamba darasa la sera zao ambazo kimsingi nyingi ni mbovu mno.
  5. CHADEMA wamehubiri na kuasisi sana umuhimu wa Haki za Binadamu na uhuru wa maoni ambapo hayo ni msingi muhimu wa Demokrasia, lakini sasa waongeze hadidu rejea za hoja zao. wajikite kuketa mbadala wa issues zinazowapa changamoto wananchi. Kuna migogoro ya Ardhi, Kukosekana Fursa, Bodi za Mazao kujimikisha jasho la wakulima Watanzania, Fursa za mikopo na matatizo lukuki ambayo CCM inayatumia kuhadaa wananchi ili wapate kura
  6. Tunahitaji Yearly List of Shame. Kila mwaka tuwe na orodha inayoboreshwa ya mafisadi na majizi ya taifa. Ni rahisi mno sasa kuipata kupitia ripoti mbalimbali hususani ya CAG
  7. CHADEMA wana wanasheria lukuki ambao ni makini na mahiri kwa sababu wapo up to date kielimu na kitaaluma, ni wakati sasa wa kutumia wanasheria wao kutoa Legal Reviews na Legal Opinions za sheria mbalimbali uchwara ambazo Bunge limepitisha.
  8. CHADEMA kila baada ya Bunge la Bajeti waitafsiri sheria ya fedha ya mwaka ya serikali kwa wananchi waelewe wapi wameliwa na wapi wamekaangwa. Ikumbukwe ishu ya Tozo wananchi wengi hawakuwa aware nayo hadi walipoanza kuumizwa nayo.
  9. CHADEMA iandae viongozi wake na isitegemee kudaka makapi kutoka CCM kwa sababu wengi huwa wametumwa kazi maalumu, hoja za kununuliwa viongozi inawezekana ikawa inatumika kulinda mamluki waliotumwa na hatimaye kurejea CCM. Waanzishe ama waboreshe intelejensia ya chama chao kwani ni muhimu sana kustawisha wazalendo kuliko kuokota okota waroho wa madaraka ambao huwagharimu sana huko mbeleni
  10. CHADEMA tambueni vijana ndiyo uhai wa Taifa lolote duniani, wekezeni akili huko maana msitarajie viongozi wenu kuishi milele, nchi hii kuishi ni kwa kudra ya mtawala kwa sababu ukweli mnaujua....
Mimi ni raia wa kawaida mno. Ni mwanachama hai wa CCM ambaye kwa uhakika naamini nchi yetu inahitaji mabadiliko makubwa kuelekea maendeleo chanya ya kweli ya kisekta na kijamii. Naamini upinzani siyo ugaidi bali takwa la kikatiba na kisheria kwa kukuza demokrasia na hasa hasa kuinufaisha nchi kwa sera na siasa zenye kubeba matumaini yanayotekelezeka

Amani iwe Kwenu

CC: Erythrocyte figganigga Bujibuji Simba Nyamaume Mshana Jr Extrovert raraa reree Pascal Mayalla lumumbai MalcolM XII ChoiceVariable Lucas mwashambwa Ma amaira zitto junior FaizaFoxy Mzee Mwanakijiji Nyani Ngabu Dr Matola PhD Gwappo Mwakatobe Mpwayungu Village MWALIMU DAIMA Retired kigogo hood karume msaka Asprin Zanzibar-ASP ACT Wazalendo Mdude_Nyagali
Chadema mara zote huenda na Wakati , ukiona jambo linafanyika basi jua huo ndio wakati wake
 
Umofia kwenu nyote.
Hali halisi imeshajionesha hususan dhamira ya CCM na waliopo serikalini dhidi ya Watanzania
Kwa umakini mkubwa napenda kuwashauri CHADEMA yafuatayo

  1. Watafakari upya mtego waliouingia kupambana na Hayati wakati wasaidizi wake ndo wanaendesha nchi tena kwa kuigiza kana kwamba hawakuwa pamoja naye. Ikumbukwe kwamba hata haya yanayotokea yule mzee asingeyafanya bali tatizo lake lililohitaji tiba kubwa ni ubabe na ukatili ingawa alijinasibu kwa baadhi ya vitendo kuwa anawajali wanyonge huku akinyonga baadhi.
  2. Nchi inahitaji kuendelea mbele kwa kusahihisha makosa yaliyopita, Hata mimi naamini kuwa CHADEMA wakishapata ridhaa ya wananchi, ridhaa ambayo wanaporwa kila uchaguzi mkuu, watarekebisha kasoro zilizopita kwa kuanzisha ama kurithi mema na kuyaacha mabaya. Nchi siyo personal property bali ni mali ya umma hivyo tunapaswa kutibu vidonda na kuepuka kuishi yale tunayoyalaani kila siku.
  3. Viongozi wa juu wa upinzani hususani CHADEMA ni muda sasa wa kuaddress National Issues, kuna mikataba ya hovyo tangu Kikwete hata leo ambayo wananchi wengi hawajaelimika nayo, waanze kuwalemisha wananchi hasara kwa taifa na mtu mmoja mmoja kuhusu mikataba hiyo.
  4. CHADEMA ijikite kupambania eneo la elimu yetu kwa sababu kuna mtego ambao nahisi na wao wameuingia ambao ni wa kupuuza shule za umma hususan sekondari na msingi. Bila watoto wa viongozi wa kitaifa wa serikali kupelekwa shule za umma tutaendelea kubadilisha mitaala kila regime kwa sababu viongozi wa juu wa serikali wamewageuza wananchi kama shamba darasa la sera zao ambazo kimsingi nyingi ni mbovu mno.
  5. CHADEMA wamehubiri na kuasisi sana umuhimu wa Haki za Binadamu na uhuru wa maoni ambapo hayo ni msingi muhimu wa Demokrasia, lakini sasa waongeze hadidu rejea za hoja zao. wajikite kuketa mbadala wa issues zinazowapa changamoto wananchi. Kuna migogoro ya Ardhi, Kukosekana Fursa, Bodi za Mazao kujimikisha jasho la wakulima Watanzania, Fursa za mikopo na matatizo lukuki ambayo CCM inayatumia kuhadaa wananchi ili wapate kura.
  6. Tunahitaji Yearly List of Shame. Kila mwaka tuwe na orodha inayoboreshwa ya mafisadi na majizi ya taifa. Ni rahisi mno sasa kuipata kupitia ripoti mbalimbali hususani ya CAG.
  7. CHADEMA wana wanasheria lukuki ambao ni makini na mahiri kwa sababu wapo up to date kielimu na kitaaluma, ni wakati sasa wa kutumia wanasheria wao kutoa Legal Reviews na Legal Opinions za sheria mbalimbali uchwara ambazo Bunge limepitisha.
  8. CHADEMA kila baada ya Bunge la Bajeti waitafsiri sheria ya fedha ya mwaka ya serikali kwa wananchi waelewe wapi wameliwa na wapi wamekaangwa. Ikumbukwe ishu ya Tozo wananchi wengi hawakuwa aware nayo hadi walipoanza kuumizwa nayo.
  9. CHADEMA iandae viongozi wake na isitegemee kudaka makapi kutoka CCM kwa sababu wengi huwa wametumwa kazi maalumu, hoja za kununuliwa viongozi inawezekana ikawa inatumika kulinda mamluki waliotumwa na hatimaye kurejea CCM. Waanzishe ama waboreshe intelejensia ya chama chao kwani ni muhimu sana kustawisha wazalendo kuliko kuokota okota waroho wa madaraka ambao huwagharimu sana huko mbeleni.
  10. CHADEMA tambueni vijana ndiyo uhai wa Taifa lolote duniani, wekezeni akili huko maana msitarajie viongozi wenu kuishi milele, nchi hii kuishi ni kwa kudra ya mtawala kwa sababu ukweli mnaujua.
Mimi ni raia wa kawaida mno. Ni mwanachama hai wa CCM ambaye kwa uhakika naamini nchi yetu inahitaji mabadiliko makubwa kuelekea maendeleo chanya ya kweli ya kisekta na kijamii. Naamini upinzani siyo ugaidi bali takwa la kikatiba na kisheria kwa kukuza demokrasia na hasa hasa kuinufaisha nchi kwa sera na siasa zenye kubeba matumaini yanayotekelezeka.

Amani iwe Kwenu.

CC: Erythrocyte figganigga Bujibuji Simba Nyamaume Mshana Jr Extrovert raraa reree Pascal Mayalla lumumbai MalcolM XII ChoiceVariable Lucas mwashambwa Ma amaira zitto junior FaizaFoxy Mzee Mwanakijiji Nyani Ngabu Dr Matola PhD Gwappo Mwakatobe Mpwayungu Village MWALIMU DAIMA Retired kigogo hood karume msaka Asprin Zanzibar-ASP ACT Wazalendo Mdude_Nyagali
Naamini upinzani siyo ugaidi bali takwa la kikatiba na kisheria kwa kukuza demokrasia na hasa hasa kuinufaisha nchi kwa sera na siasa zenye kubeba matumaini yanayotekelezeka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una hoja usikilizwe
 
Back
Top Bottom