Diamond Platinumz tunakutaka mara moja uache kujihusisha na jina la Simba wakati unashabikia Utopolo (Matembele)

Mkono Mmoja

JF-Expert Member
Jan 26, 2019
1,932
4,086
Kinachoendelea sasa hivi hapo uwanja wa kaunda katika sherehe za ubingwa wa Yanga ni udhalilishaji mkubwa na unajisi wa jina la Simba unaofanywa na aliyekuwa anajidai ni shabiki wa Simba, Diamond Platinumz.

Simba Sc aihitaji macelebrities wa mchongo kutoka hapa Bongo wanaonunulika kwa vipande vidogo vya fedha.
 
Kinachoendelea sasa hivi hapo uwanja wa kaunda katika sherehe za ubingwa wa Yanga ni udhalilishaji mkubwa na unajisibwa jina la Simba unaofanywa na aliyekuwa anajidai ni shabiki wa Simba, Diamond Platinumz.

Simba Sc aihitaji macelebrities wa mchongo kutoka hapa Bongo wanaonunulika kwa vipande vidogo vya fedha.
Una patent right na neno Simba? Nenda kule Serengeti ukaanzishe petition ya kuzuia wanyama waliotumia jina la Simba kabla ya haku katimu alichonunua Mo kuanza kuliiga jina hilo kutoka kwa wanyama pori
 
Kinachoendelea sasa hivi hapo uwanja wa kaunda katika sherehe za ubingwa wa Yanga ni udhalilishaji mkubwa na unajisibwa jina la Simba unaofanywa na aliyekuwa anajidai ni shabiki wa Simba, Diamond Platinumz.

Simba Sc aihitaji macelebrities wa mchongo kutoka hapa Bongo wanaonunulika kwa vipande vidogo vya fedha.
Best time ever kuwa shabiki wa yanga, SIMBA wanaumia kisaikolojia, kiakili, kimwili, ki kila aina yaani
 
Simba mnapitia kipindi kigumu sana
20230612_174805.jpg
 
Nawaza hivi simba wa kule mbugani Serengeti mfano akija Yanga mtakuwa mnamuitaje😁 mfugo ama mwananchiiiii🤣
 
Back
Top Bottom