wakati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Ndaisaba: Huu ni Wakati Sahihi Tanzania Kujiunga na Mkataba wa IRENA

    "Namshukuru Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Dotto Mashaka Biteko ambaye baada ya kuteuliwa alifika Ngara na kuzindua miradi ya Umeme kwenye Vijiji vya Ntanga na Katulanzuri, ziara imekuwa na Matunda makubwa sana" - Mhe. Ndaisaba George Ruhoro, Mbunge wa Jimbo la Ngara "Naibu...
  2. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Haiwezekani nyumbani kukawa na betri zinazochajiwa na umeme wa TANESCO na zikatumika wakati umeme unakatika katika?

    Kwenye umeme wa solar umeme unaozalishwa wakati wa jua huwa unatunzwa kwenye betri na mwingine unaendeela kutumika. Ikifika usiku wakati wa giza, ule uliotunzwa kwenye betri unaanza kutumika hadi pale jua litakapotokea tena. Haiwezekani hivi kwenye umeme wa TANESCO. Mfano hapa panq mgao wa leo...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Reli ya kati DSM - Kigoma; 1254Km ilijengwa kwa miaka 7 (1905 - 19014) wakati teknolojia ikiwa duni

    Reli ya kati DSM - Kigoma; 1254Km ilijengwa kwa miaka 7 (1905 - 1914) wakati teknolojia ikiwa duni. TAZARA 1860Km ilijengwa kwa miaka 5 (1970-76). Karne ya 21 Reli ya DSM - Moro, only 300Km inajengwa kwa miaka 7. CnP
  4. Msitari wa pambizo

    JamiiForums Tanzania Mtu mmoja anadaiwa kupigwa risasi na kuuawa na polisi huku watatu wakijeruhiwa akiwemo polisi wakati polisi wakikabiliana na wananchi mkoani Kigoma

    Tukio hilo limetokea leo Siku ya Jumapili katika kijiji cha Malagarasi kilichopo wilayani Uvinza mkoa wa Kigoma. Ilikuwa hivi Polisi walipata habari kuwa katika kijiji hicho wamekuja watu wanaowaumbua wachawi maarufu kama KAMCHAPE hivyo polisi walifika katika kijiji hicho ili kuwazuia...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Wanaume wengi hufa kabla ya wakati wao kwa sababu ya laana kutoka kwa wazazi

    INTRODUCTON. Salaam, Shalom!! (Kutoka 20:12) says: WAHESHIMU BABA YAKO NA MAMA YAKO, ILI SIKU ZAKO ZIKAWE NYINGI KATIKA NCHI UPEWAYO NA BWANA MUNGU WAKO. Leo naandika mada hii nikiwa na Sina furaha sababu Mimi Rabbon pia ni Mwanaume. Wanaume tulipoambiwa tuishi Kwa akili na wake zetu, au na...
  6. Gulio Blog

    JamiiForums Tanzania Hivi mafanikio yanategemea wakati wa Mungu ukifika

    Wiki iliyopita nilimtembelea ndugu yangu mmoja ana kijana wake age 20s ni muda mrefu sijawahi kumuona akifanya shughuli yoyote wala kusikia akifanya kazi yoyote Mama yake ndio namuona akipambana na vibarua vya kufanya usafi huko ili mkono uende kinywani yule kijana anategemea kidogo anachochuma...
  7. Webabu

    JamiiForums Tanzania Wakati Netanyahu atumia mistari ya biblia kuhalalisha vita ndani ya Gaza, Erdogan asema Hamas ni chama cha ukombozi wa Wapalestina

    Tuombe waungaji mkono wa Israel wakubali kusitisha vita haraka kwani dunia inaelekea kuwa nyeusi kutokana na vita vitakavyoleta majonzi kwa kila mtu. Hali hiyo imedhihirika katika kuchanganyikiwa kwa viongozi wa Israel,Marekani na Uiengereza na kushindwa kutambua kuwa wao ni watawala tu wa nchi...
  8. Kurunzi

    JamiiForums Tanzania Sasa ni wakati Sahihi wa Simba na Yanga Kuunganisha Silaha, Kupambana na Waarabu

    Miaka ya hivi karibu timu zetu hizi mbili zimekuwa kwenye kiwango angalau kinachoridhisha kwenye michuano ya kimataifa. Pamoja na mafanikio hayo tumejikuta Usimba na Uyanga unatupumbaza kiasi ambacho tunashindwa kungamua kuwa mshindani wetu mkuu kwenye soka kwa sasa ni mwarabu pekee. Sasa ni...
  9. Donnie Charlie

    JamiiForums Tanzania Hii ni mojawapo ya filamu za bei ghali zaidi za filamu zisizo na sauti za wakati wote

    Hii ni mojawapo ya filamu za bei ghali zaidi za filamu zisizo na sauti za wakati wote. Video hii ya upigaji picha kutoka kwa Buster Keaton "The General" (1926) iligharimu $42,000 (sawa na $600,000 leo). Kampuni ya uzalishaji iliacha mabaki ya gari-moshi huko Row River, kusini mwa Cottage Grove...
  10. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kuwa na mzazi wa namna hii ni zaidi ya kero

    KUWA NA MZAZI WA NAMNA HII NI ZAIDI YA KERO. "NIMEKUBALI LAANA YA BABA" Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Kuna kijana mmoja tumekuwa tuliwasiliana Kwa takribani mwezi sasa. Amekuwa akiniomba msaada wa ushauri wa namna ya kukabiliana na yale yanayomkabili ambayo kwake anayaona kama ni matatizo...
  11. Webabu

    JamiiForums Tanzania Misri, Jordan na Syria waipe muda (ultimatum) Israel kuacha misaada iingie Gaza wakati watu wanaanza kufa kwa njaa na kiu. Wavunje mikataba baina yao

    Kiubinadamu wakati umefika wa kuacha kufikiria waisrael wangapi walikufa wakati wa shambulio la Hamas na wapalestina wangapi wameshakufa tangu Israel ianze kulipiza kisasi. Au majengo mangapi yamegeuzwa kifusi. Kinachotakiwa sasa ni kufikiria watu wanaokufa njaa na kiu kwa kunyimwa chakula na...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Wakati gani mzuri wa kufanyana

    Usiku au mchana na kama ni usiku iwepo taa au izimwe ,madirisha yafungwe au yawachwe wazi ,kuna mapazia. tafadhali saidia utushauri. Nitafarijika zikiwepo sababu na ukosoaji. Ukizingatia kutupatia faida.
  13. Mr Pixel3a

    JamiiForums Tanzania Zijue style na access zake, usalama wakati wa tendo la ndoa

    Hizi hapa Angalizo ni kwa walio kwenye Ndoa Tuu
  14. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Ni nini chanzo cha mapato cha wana CCM kwani kila nikikutana nao ni kuomba fedha kila wakati!

    Kuna kitu kinanishangaza sana bora leo nikiseme wengine wakupatie majibu. Kila nikikutana na viongozi na wanachama wa CCM hawasiti kuomba omba fedha na hawajishughulishi kutafuta fedha au kufanya kazi. Ni nini vyanzo vya mapato vya watu hao!! Je familia zao wanazihudumia vipi?
  15. Money Penny

    JamiiForums Tanzania MPENZI wako alishawahi kulala usingizi wakati mna-do?

    Nipo na shosti hapa analalamika kuwa Wakati Wana do na mpenzi wake, mpenzi wake akalala kifuani kwake mpaka akamuamsha Sasa ananiuliza shida NI nini?! Mpaka mwanaume analala na haujawahi kutokea Eti unamsaidiaje shosti wangu??
  16. Intelligence Justice

    JamiiForums Tanzania Maji Dar ni Shida isiyomithilika wakati Mto Ruvu umejaa!

    Wana jukwaa Kama kichwa cha mada kinavyojitanabahisha hapo juu, wananchi Dar wanahangaika kupata maji mapaka wanathubutu kuchimba visima vya kienyeji katikati ya vijito vilivyojaa uchafu na vinyesi huku DAWASA hawajali chochote wakati mto Ruvu una maji ya kutosha kusambaza. Dar inategemewa...
  17. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Unasaini mkataba wa bandari wakati huo huo unamrudisha Makonda. CCM Bado ni wahuni

    Pole pole anasema kataa wahuni na wahuni wenyewe wako ndani ya CCM. Matukio haya ya leo yamekuja ilimradi kutuchanganya tu ...tujadili lipi tuache lipi ... Kwa ufupi sisi tutajadili yote pamoja na uhuni huo ...hasa hasa la Bandari. Je vipengele vimerekebishwa? Huyo makonda wenu mtajuana wana...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Je, Serikali bado imelala usingizi mzito wakati ajali inamaliza wananchi wake na kuwaachua ukilema mamia?

    Inafikirisha sana kusikia kila leo kumetokea ajali na vifo vya abiria vikiwa vingi sana hadi unajiuliza, je serikali inashirikiana na madereza pamoja na wamiliki wa mabasi kutengeneza ajali? Je, mabasi haya kabla ya kusafiri/kuanza safari zinakaguliwa na chombo gani na kuruhusu waendelee na...
  19. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Nani anatakiwa kupiga goti hapa?

    Salaam Wakuu, Nimekutana na hii clip hapa chini. Je nani anapaswa kupiga goti kati ya mwanaume na mwanamke wanapovalishana pete? Binafsi naona ni tamaduni za watu tu hizi vyoyote ni sawa. Tazama clip hizi hapa chini.
  20. R

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Tanzania wanapata wapi fedha za matamasha, hafla na makongamano wakati kila siku tunakopa huko Duniani?

    Tunapenda sherehe, lakini tulivyo masikini tunawezaje kuzimudu hizi sherehe? Dunia ipo kwenye mdororo wa uchumi, viongozi huko Duniani wanabana matumizi sisi tunatafuta matamasha ya kuwashirikisha viongozi wakuu wa kitaifa: fedha tunatoa wapi? Kama wanaotukopesha wanabana matumizi sisi...
Back
Top Bottom