wakati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Niwakumbushe wanaume wakati mkiwa bize na nyie kuwapambania wanawake itakapo fika zamu yenu kupambaniwa hawato wasaidia kamwe

    Kuna wanaume nawashangaa sana unakuta baba zima limesimamisha kitambi na ndeke zake lina wasemea wanawake utadhani na lenyewe limama, mara ooh! Kuwe na 50 kwa 50 mara ooh! haki sawa, halafu ukilitizama ni jibaba zima kabisa lenye mwili na sijui kuhusu akili Niwaambie tu ukweli hapa baada ya...
  2. JamiiForums Tanzania Ni wakati sahihi kwa Serikali kuanzisha sheria za PreNup Kwa Wanaotaka kuingia kwenye Ndoa kupeusha matapeli

    NI WAKATI SAHIHI KWA SERIKALI KUANZISHA SHERIA ZA PRENUP KWA WANAOTAKA KUINGIA KWENYE NDOA KUEPUSHA MATAPELI. Anàandika, Robert Heriel Mtibeli. Huwezi ukawa na sheria ya Talaka alafu muda huohuo isiwepo sheria ya PreNup. Huko ni kutengeneza mazingira ya utapeli, dhulma na kuifanya ndoa isiwe...
  3. JamiiForums Tanzania Hakuna Team ya Mpira Duniani iliyokuwa na mafanikio wakati Flani/Sasa hivi bila kuwa na Uongozi Mzuri

    Habari Mwanajukwaa la Sports. Nianze kwa kusema; Moja ya kitu ambacho watanzania tunacho sana na ndio utambulisho wetu ni MAIGIZO yani tunapenda kuFake kila kitu hatutaki kua na uhalisia na hatuupendi Uhalisia. Ndio maana hata Team zetu unakuta Msemaji ana STATUS Kuliko hata Kocha huku Mtaani...
  4. JamiiForums Tanzania Mpende kila mtu, mheshimu na jua ana mchango fulani kwenye maisha yako

    Dunia yote ni kitu kimoja, sisi binadamu ni kitu kimoja. Huu ndiyo ukweli ambao ukiuelewa na kuuishi kila wakati utakuwa na maisha bora. Tumekuwa tunaambiwa na jamii zetu, kwamba kundi letu ni bora kuliko la wengine, kwamba rangi yetu ni bora au asili na kabila letu ni bora kuliko nyingine...
  5. G

    JamiiForums Tanzania Nchi za kiarabu zinashindwaje kuwafikia Israel kiuchumi wakati Israel ni kanchi kadogo na wamezingirwa na maadui?

    Hizi ni Gdp za nchi za ukanda wa kati kwa Usd dollars Billions Dondoo muhimu: vipimo hivi vya GDP havihusishi misaada, anyway kiasi ambacho Marekani anaisaidia Israel ni dola bilioni 3 kila mwaka, haifikii hata asilimia 1 ya uchumi wa Israel.. Saudi Arabia ni kubwa kuzidi Israel mara 96, ina...
  6. JamiiForums Tanzania Je, umewahi kupasukiwa Kondom wakati wa show?

    ...imewahi kunitokea mara 2, nitaelezea moja. Weekend moja kuna binti nilikua namfukuzia tangu mwaka jana. Sasa akawa kakubali tukafanye ila akasisitiza nibebe zana. Wasiwasi ukanibip ila ile mihamu ndo inatuuaga mameeen. Tumefika room zile foreplays zinaendelea akanisisitiza nitoe ndom...
  7. G

    JamiiForums Tanzania Unadeal vipi na Mwanamke anaelalamika pesa unayompa haimtoshi kisha anakubana kwenye 18 aipate wapi wakati yupo na wewe tu, au umpe ruhusa adange?

    Halafu unakuta ni pisi ya kwenda + wife material, umemkuta yupo 22 akiwa bikra (mali adimu), hazijui jeans wala suruali, anakupenda kuzidi unavyompenda. Shida inakuja mwanzoni wala alikuwa hakuombi hela au akiomba ni kidogo tu, ila sasa anakwambia kaamua awe na wewe serios relationship so ni...
  8. JamiiForums Tanzania Unasikilizaje shida mpya wakati hujatatua ambazo zipo tayari mezani kwako?

    Kero zipi nyingine anataka kusikiliza umeme kukatika ni kero maji kukatika ni kero jobless wengi mtaani ni kero Barabara ni kero wizi na ufisadi Wa serikali yake ni kero viongozi Wa serikali yake ni kero Bunge na spika wetu ni kero polisi wetu ni kero mwalifu kupewa uenezi ni kero
  9. O

    JamiiForums Tanzania Miguu kupata ganzi wakati wa kukaa muda mrefu

    Wanabodi habari za mchana. Nimepata tatizo la kupata ganzi katika miguu wakati wa kukaa especially wakati wa kujisaidia katika choo cha kukaa!nikiinuka nakua napata ganzi sana! Naomba msaada kujua tatizo linaweza kuwa nn? Dr Ahmed Albah-Shahwa na Madr wengine msaada.
  10. JamiiForums Tanzania LNG Project: Njooni tujadili unadhani kwanini mradi wa gesi ya LNG unachelewa na nini chakufanya ili utekelezwe kwa wakati

    MJADALA HURU WA KITAIFA KUHUSU MRADI WA GESI ASILIA MIMINIKA (LNG) MWAKA 2024 SEKTA NDOGO YA MAFUTA NA GESI Mabibi na mabwana, wanasiasa, wafanya biashara, wajasiliamali, wanazuoni, wataalam wa fedha, wataalam wa uchumi, wahasibu, walimu, madaktari, wataalam wa mafuta na gesi, wataalam wengine...
  11. JamiiForums Tanzania Mtoto anakohoa sana na wakati wa usiku hadi anatapika

    Naombeni ushauri na msaada kuna mtoto anakohoa sana nimetumia dawa zote hospitalini lakini bado. Wakati wa usiku ndo vinazidi mpaka anashindwa kulala halafu kinakuwa kikohozi kinamletea kama kukabwa hivi mpaka kutapika (kwa kujigoa) Hivi hospitali kwanini ni wagumu kumchunguza mgonjwa yaani...
  12. JamiiForums Tanzania Kijana alichanganyikiwa na urembo wa mwalimu wake wakati anafundisha, amuoa baada ya kuhitimu

    Mwanaume mmoja wa nchi ya DRC, Hassan Remy amemuoa aliyekuwa mwalimu wake wa sekondari na kusema alishindwa kumsikiliza alipokuwa akifundisha darasani. Remy amesema alimchumbia Maombi Jeannette aliyemzidi miaka 12 baada ya kumaliza shule na baadaye kumuoa, licha ya uhusiano wao kupigwa vita na...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Utabiri: Zitto kupewa ubalozi wakati wowote

    Huu ndio mtazamo wangu kwa saa kuhusu huyu mwanasiasa. Itachukua muda gani au ni lini atatuellliwa, hio ni swala la muda. Kupewa cheo serikalini pia inawezekana, lakini hili naliona sio rahisi labda ujumbe wa bodi kwenye mashirika ya umma. Muda utathibitisha.
  14. JamiiForums Tanzania Kwa Takribani miaka 40 Sasa Nimegundua Ukiwa na MTAJI au UZOEFU, Utaishi Uchumi wakati au wa juu

    Habari zenu woote Naamini niko jukwa sahihi kushare uzoefu wangu kwenye biashara. Sasa leo napenda kushare nanyi uzoefu wangu kwa kuangalia circle yangu, nimegundua ngazi 3 kiuchumi: 1. Uchumi wa chini: Kundi bila Mtaji Wala Uzoefu. Hawa wanastrugle kila iitwayo leo kufanya kazi apate pesa ya...
  15. JamiiForums Tanzania 2PAC , sio msanii bora wa wakati wote ila nyimbo yake ya 'DEAR MAMA' ndo nyimbo bora ya HIP HOP ya wakati wote duniani.

    2PAC sio msanii bora Wa wakati wote Ila nyimbo yake ya dear Mama ndo nyimbo kubwa na bora ya wakati wote katika historia ya HIP-HOP Kuwa msanii bora wa wakati wote tunajikita katika Mambo ya ndani na nje, Kama nidhamu, UTU, kujitoa na kuwa positive outcomes kwa jamii.
  16. JamiiForums Tanzania Utafiti: Kutumia Simu wakati wa Kulala kunaharibu Moyo, Ubongo na Macho yako

    #AFYA: Kwa mujibu wa tafiti zilizofanywa na Taasisi za All India Institute Of Medical Science (AIIMS) na Cleveland Clinic, Watu wanaotumia Simu za Mkononi 'Smartphone' wakati wa Kulala, wako hatarini zaidi kuharibu Afya za Moyo, Ubongo na Macho. Utafiti huo umeonesha matumizi ya Simu muda ambao...
  17. JamiiForums Tanzania SI KWELI Mzazi akipata mimba wakati bado ananyonyesha hudhoofisha afya ya mtoto anayenyonya

    Mimi ni mmoja wa watoto waliotungwa mimba wakati mzazi bado ananyonyesha, bahati mbaya aliyenitangulia alifariki dunia kabla sijazaliwa. Hivyo wakati nakua niliambiwa na majirani kuwa kutungwa kwangu mimba kulisababisha afya ya dadangu kudhoofu na kupelekea kifo. Hili suala ni kweli au vihoja...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Je, umefika wakati Wapalestina kutambua Muslim Brotherhood wanatumia vibaya ili kutimiza agenda yao ya kisiasa?

    Kwa Watanzania wengi Muslim Brotherhood unaweza isiwasitue sana hasa ukizungumzia ubaya wa Ugaidi. Lakini tusichojua ni kuwa Muslim Brotherhood ndiyo ambao wamekuwa nyuma ya panzia ya utendaji wa Alqaida, ISIS Salafi na kwa sasa Hamas. Muslim Brotherhood ilianzishwa mwanzoni kabisa mwa Karne ya...
  19. JamiiForums Tanzania Je, ni wakati sasa kwa serikali kuanza kupunguza mzigo wa kodi kwa Wananchi?

    Habari za wakati; Hivi majuzi nilikutana na bandiko la TRA ambalo walikuwa wanaalika watanzania kutoa maoni kuhusu mifumo yetu ya KODI.Bandiko lile pamoja na kwamba lilikuwa halali la TRA lakini lilikuwa kama vile limefichwa fichwa(Mtazamo wangu) so sikulichukulia SERIOUS. Nimekuwa Katika...
  20. JamiiForums Tanzania January Makamba aliamua kulidanganya Taifa wakati akiwa waziri wa Nishati? Alikusudia nini?

    Mh. January Makamba wakati anapewa wizara ya Nishati alitoka na swaga nyingi huku akituaminisha kwamba, amekuja na dawa ambayo mtangulizi wake Kalemani aliyekuwa waziri wa wizara hiyo kudai kwamba, alielekea kuharibu kabisa mitambo yote ya uzalishaji umeme Yeye akadiriki kusema, kwa namna...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…