Habari!
Wangapi kati yetu tushakutana na changamoto ya kupoteza pesa sababu tu Vodacom Mpesa wanakataa kurudisha pale vifurushi vinajinunua mara mbili wakati mmoja?
Kuna haja ya kupaza sauti kwa aina mpya ya mitandao kuibia wateja wao.
Wakuu kaka, dada,mama na baba zangu wa jf nipo kwenye Hali mbaya sana ya mateso ya kimawazo. Nahitaji mtu tu japo wakunielewa. Katika umri wangu huu mdogo naona Kila kitu kinaharibika naona Giza mbele yangu. Ndio na mwamini Mungu naamini katika nguvu zake, lAkin wakuu zangu nikikaa nakutazama...
Serikali inapenda kusikia sisi vijana tunawaza nini ili watusaidie!
Siyo kila wakati ni wa kulaumu laumu tu! Wakati mwingine tupeleke maoni yetu kwenye mamlaka za serikali kama vijana!
Ukipita huko mtaani kuna paka wengi sana, kuna mbwa wengi sana, kuna panya wengi sana,kuna kunguru wengi...
Yaani nyie Mkigombana tu na Sisi Wapenzi au Waume zenu Hasira zikiwapanda mnaanza kutuponda kuwa HATUNA JIPYA Kitandani.
Sasa tungekuwa kweli hatuna jipya mngekuwa mnatukatia Viuno vya bidii kama Feni za Ukutani na Darini za Phillips pale Mkuyenge ukiwa unazama na kuibuka kunako Mbunye...
Kuna mambo kama tutayanyamazia kwa kuogopa kudhurika hata shetani atatushangaa , Hivi ni unyama gani ambao Makonda hakuwafanyia Chadema alipokuwa Mkuu wa Mkoa wa DSM ?
Ni utekaji upi na uvamizi upi mpya ataufanya leo kutukomesha ambao hakufanya alipokuwa analindwa na Jiwe kwa kubebwa na...
Unaambiwa enzi hizo Dar es Salaam kulikuwa na mito mikubwa kabisa pamoja na maziwa(lakes)
Tazama hii ramani ya beberu mjerumani inakupa picha kamili
Kulikuwa na ziwa Tandale😅
Ziwa Mwananyamala😂
Ziwa Magomeni😅
Mto Sinza😅
Dar es Salaaam inahitaji MKOLONI arudi tena kuipanga upya maana yeye...
Mkutano wa 19 wa kilele wa Harakati ya Kutofungamana na Upande Wowote NAM umemalizika huku Mkutano wa 3 wa wakuu wa Nchi za Kusini ukitarajiwa kufanyika mjini Kampala, Uganda. Huu ni wakati mwingine muhimu unaomilikiwa na "Nchi ya Kusini" unaotengenezwa na bara la Afrika baada ya Misri na...
Ni kweli vijana hawaoi mapema kama zamani . Raisi kaongea haya kama vile ni tatizo la jamii kwa mawazo yangu tatizo ni yeye kutokuelewa Dunia imebadilika.
1. Utamaduni wa zamani wa wazazi kukutafutia mchumba umepitwa na wakati
2. Kuwa na wake wengi pia kumepitwa na wakati kwasababu wanawake wa...
Unapokuwa na kiongozi wa kidini asiyejali malengo ya Mungu kuwaleta wanadamu Duniani ni hasara kwa kanisa.
Ukimsikiliza Askofu Malasusa na ukifuatilia namna ambavyo amekuwa akitekeleza majukumu yake utabaini wazi kwamba siyo kiongozi wa kidini bali ni mtu aliyekaa kwenye dini kama Sehemu yake...
Ile siku ambapo watu wengi watapotea kwa wakati mmoja duniani kote imekaribia sana. Inaelezwa kwamba taifa fulani lilipochipuka na kukua basi ni ishara. Pia tukio hilo litatokea ndani ya miaka 100 ya taifa hilo, ambayo ni kizazi kimoja.
Aidha, wengi pia watakufa siku hiyo kwasababu baadhi ya...
Hizi ni zama za uhuru na usawa ambapo haki za binadamu zinaheshimiwa.
Kwahiyo, hii tabia ya kwamba mkiwa kwenye ndoa ama mahusiano unataka mwenza wako asiwe na uhuru na haki ya kutumia kiungo chake (uume/uke) kwa mtu mwingine ni batili.
Wanaoingia kwenye ndoa ni watu wazima. Sasa mtu mzima...
Kutokana na kuongezeka kwa ripoti za vitendo vya uhalifu ikiwa ni pamoja na kesi za mauaji, katika nyumba za makazi maarufu kama (AirBnB) na Hoteli Mamlaka ya Udhibiti wa Taarifa Binafsi imetoa maagizo yanayolenga kuzuia vitendo hivyo na kuhakikisha usalama wa wakazi na wageni
Mamlaka hiyo...
Zambia: Kama kuna timu ambayo tunaenda kuokota points za bure ni ya Tanzania ila kwa Morocco tutajitahidi tupate angalau sare au suluhu kisha huko mbele tutajua nani ataenda.
Congo DR: Morocco tukijitafuta tuna uwezo wa kuwafunga au basi tukiwashinda tutatafuta sare au suluhu ila kwa Tanzania...
NIMEEJIULIZA swali Nape na Mwigulu ni Wajumbe wa Halmshauri Kuu ya Taifa ya CCM (NEC) kikao kilichompitisha Nchimbi kuwa Katibu Mkuu, Swali je kwanini Nape na Nchimbi walijitokeza tena kwenye mitandao kumpongeza hii ina maana gani?
Hata kama wamemkabidhi akili Mbowe bado hawa jamaa ni ndugu zetu kwahiyo tunapaswa kuwashauri na kuwatia moyo kwenye wakati huu mgumu wanaopitia. Kiukweli kisiasa chama kikuu cha utoaji taarifa kina wakati mgumu... kimekataliwa kila kona hasa baada ya kutoa hoja zao zenye nia ovu kuhusu muswada...
Maandamano ya Jumatano, Januari 2024, yataanza Saa 3:00 asubuhi. Yatahusisha njia mbili kuanzia Mbezi Mwisho (Stand) na Buguruni, na yataishia Ofisi za UN, barabara ya Sam Nujoma, Dar es Salaam.
Nakala za barua za taarifa ya Maandamano haya zimepelekwa kwa makamanda wote wa Polisi Wilaya...
Kweli duniani hamna jipya. Ukisoma komenti za watu unabakia kustaajabu sana. Watu wamelewa dini.
Wanamponda Mwamposa huku wao wanaamini kwa nabii aliyekabwa na pepo akiwa mapangoni akilazimishwa asome ilihali hakuwa anajua kusoma.
Wakaeneza imani yao kwa ncha ya upanga na mpaka sasa ukitaka...
Hata wasukuma walioelimika waliachana na utamaduni huu lakini kuna baadhi ya maeneo bado unaendelea kwa kisingizio cha kudumisha mila,
Kuna baadhi ya maeneo ya wasukuma bado elimu ya kuachana na haya mambo haijafika kikamilifu, unawakuta wachungaji wa kisukuma wamevaa mavazi yao ya asili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.