Kwanini wanawake wanaona shape ni jambo muhimu kwao wakati wanaume hawapendelei kuoa wa hivyo?

Championship

JF-Expert Member
Aug 7, 2019
5,499
10,538
Mara nyingi kwenye suala la kuoa wanaume tunaangalia tabia na mtazamo wa mwanamke na sio muonekano.

Asilimia kubwa ya wanawake wenye maumbo ya kuvutia huwa tunawatamani lakini hatuwawazii sana kuwaoa na kuishi nao.

Sasa ninashangaa ni kwanini mwanamke aende kujibadilisha umbo wakati hapo atatamaniwa tu na wanaume wengi mitaani.
 
Shape nzuri kwa mwanamke ni muhimu Sana

Ila Kama hana shape asijibadilishe Ila ajiboreshe kichwani na kuwa na mtazamo chanya katika maisha.

Ila kwa bahati mbaya wanawake watz unakuta

Ana shape imekaa vibaya
Akili za maisha pia Hana.

Wanawake wa hivi ndo tuponao katika jamii zetu.
 
Mimi sipendi unafiki navutiwa na mwanamke mwenye mwonekano Kama wa Jokate au mwenye shingo ya pingili ummy Mwalimu.
 
Mara nyingi kwenye suala la kuoa wanaume tunaangalia tabia na mtazamo wa mwanamke na sio muonekano.

Asilimia kubwa ya wanawake wenye maumbo ya kuvutia huwa tunawatamani lakini hatuwawazii sana kuwaoa na kuishi nao.

Sasa ninashangaa ni kwanini mwanamke aende kujibadilisha umbo wakati hapo atatamaniwa tu na wanaume wengi mitaani.
Ni swala la mda tu.
 
Tatizo liko kwetu sisi wanaume wapenda misambwanda.
Sasa na wanawake wakijua tunapenda wasio na masikio am sure watayakata tuu maana mwili wake yeye ndio ajira/duka
 
Hii ni Gahawa! 🍵

giphy (1).gif

PambanaZaidi/CottonandMore
 
Championship mke Ni pambo la nyumba. Lazima mke akigeuka ucheke kimoyomoyo na kujisemea mzigo wote ule Ni wangu.
Sasa flat screen hata Ile kupania kwamba Leo usiku uwongo, nitapakua.
 
Demand Vs Supply!

Wanaume kwa hili nawalaumu nyie jaman. Kuna muda mpaka najisemea wapendeni wanawake kama walivyo tu. Mnawatesa sana, wengine wanavaa vigodoro balaa wananuka kabisa, wengine mawigi, marasta ya kusuka kichwani Yani hawana kujijali, wananuka! Kisa wanaume mnapenda wenye mishepu, wenye manywele mengi kwa kichwa, weupe wa sura, nk.

Siyo vizuri, siyo kwamba nawasema vibaya wanawake wenzangu, ila wanaume acheni hizo! eti oooh "wewe wiser1 paka hata ka mekapu simple, chonga hata nyusi, Mara paka lipstick Mara ooh weka hata kigodoro" For what yaaaniiiiiii......nyie siyo waoajiii
 
Hakuna wanaume wa hivyo.

Hayo marasta, manywele ya bandia, lipstick, vigodoro, makucha ya bandia wanaume hata huwa hatuna habari navyo

Labda kama mnafanya kuvimbiana wenyewe wanawake
 
Back
Top Bottom