AFP: Upotoshaji wa taarifa wakati wa Uchaguzi huweza kumhusu Mgombea, Chama cha Siasa au Mfumo Mzima wa Uchaguzi

JamiiCheck

Member
Nov 3, 2023
54
41
1710308222086.jpeg

Shirika la habari la AFP wakiwa wanatoa mafunzo mtandaoni wamebainisha namna upotoshaji wakati wa Uchaguzi unaweza kutokea kwa Mgombea, Chama pamoja na Mfumo.

Wanaeleza, Upotoshaji kwa Mgombea hulenga kutoa taarifa zisizo sahihi kuhusu Mgombea fulani.

Upotoshaji wa Chama cha Siasa hukusudia kutoa taarifa za uongo kuhusu chama fulani cha siasa kinachoshiriki uchaguzi.

Aidha, Upotoshaji unaohusu mfumo wa Uchaguzi hulenga kutoa taarifa za uongo zinazoathiri zoezi la upigaji kura na utangazi matokeo ya Uchaguzi.

Aina zote hizo za upotoshaji hulenga kuharibu au kutengeneza upande fulani wa chama cha Siasa ili kiweze kunufaika au kuathirika na Uchaguzi unaoendelea

Kufikia Jukwaa la JamiiCheck, bofya HAPA.
 
Back
Top Bottom