wakati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. E

    JamiiForums Tanzania Wakati tunasonga ugali wa SGR na JNHPP, tusimwage viporo vya jana

    Kuna miradi mingi ilianzishwa awamu ya nne na baada ya awamu ya tano kuingia iliachwa kiporo kwanza. Ipo iliyokuwa na kasoro za kiutekelezaji na ipo iliyosimama kwa mapungufu ya kifedha na ipo iliachwa kwa changamoto mbalimbali, naamini kuna sababu za msingi zilizopelekea kuachwa. Lakini sio...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini tunalazimishwa na Rais Samia Suluhu Hassan kuwa tupo Awamu ya Sita wakati Kiuhalisia bado tupo Muhula wa Pili wa Awamu ya Tano?

    Rais Mama Samia Suluhu Hassan nitakuwa wa mwisho Kukuamini kuwa tupo Awamu ya Sita kama unavyotulazimisha. Ninachojua tu Generalist na naamini hata wale Waliobarikiwa vyema Akili ni kwamba tupo bado Awamu ya Tano ya Muhula wake wa Pili ( wa mwisho), ila Samia Suluhu Hassan ni Rais wa Sita...
  3. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Shinyanga: Babu abaka Mjukuu wake wa miaka 7 wakati Bibi akiwa amelazwa Hospitalini

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Shinyanga linamshikilia Juma Emmanuel (53) mkazi wa Nhelegani katika Manispaa ya Shinyanga kwa kosa la kubaka. Kwa mujibu wa taarifa kwa vyombo vya habari ambayo imetolewa leo Aprili 17, 2021 na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga, ACP Debora Magiligimba, tukio hilo...
  4. Kurunzi

    JamiiForums Tanzania Sasa ni wakati Wamachinga wapewe maeneo rasmi ya kufanyia Biashara

    Baada ya Mwendazake kuondoka sasa ni wakati wa kuwaondoa wamachinga wote sehemu zisizokuwa rasmi kibiashasha na kuwatafutia sehemu rasmi. Lazima tuwe na utaratibu sasa, jiji la Dar wamachinga wamekuwa kama uchafu, ukifika Kariakoo barabara Msimbazi, makutano ya Msimbazi Uhuru wamacinga mpaka...
  5. Nizhneserginsky

    JamiiForums Tanzania Wakati unaachwa ulipewa sababu gani?

    Wasalamu wanaJF.. Nimekuwa kwenye mahusiano tofauti tofauti sijaachwa kama nilivyoachwa kwenye mataa round hii. Mtoto mkali wa kitanga, nimetongoza kwa miezi kadhaa, kanielewa mapenzi yakaanza, hudumia sana, muda wote akawa anatamani kuwa na mimi muda wote, video call mpaka midnight, simu za...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Vitu vya kuzingatia wakati wa kuanzisha biashara ya spea za magari madogo

    Habari, Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, naomba mwenye ujuzi wa biashara ya Spea za Magari madogo ya kutembelea hasa Toyota (IST, Raum, Spacio, Carina, GX 100 n.k) anisaidie mambo muhimu ya kuzingatia kwa ninaetaka kuanzisha biashara hii. Mfano aina ya spea zinazotakiwa kwa sana, muuzaji...
Back
Top Bottom