wafariki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Afrika Kusini: Watu 45 wafariki baada ya Basi kuanguka kwenye daraja, Msichana wa Miaka 8 anusurika

    AFRIKA KUSINI: Watu 45 wamefariki Dunia baada ya basi walilokuwamo kutumbukia umbali wa Mita 50 katika korongo na kuwaka moto huku Msichana mwenye umri wa miaka 8 akijeruhiwa katika Jimbo la Limpopo Basi hilo lilibeba Waumini waliokuwa wakisafiri kutoka Gaborone, Botswana kuelekea Mji wa Moria...
  2. JamiiForums Tanzania Ruvuma: Watu 9 wafariki baada ya Gari yao kusombwa na Maji

    Watu tisa wamefariki dunia katika kijiji cha Lumeme Halmashauri ya Nyasa mkoani Ruvuma baada ya gari walilokuwa wanasafiria aina ya Noah lenye namba za usajiri T795 BIS kusombwa na maji kwenye mto Kisimani. Gari hilo lilikuwa limetoka katika kijiji cha Tingi wilayani Nyasa kuelekea kijiji cha...
  3. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Ndege mbili zagongana angani, wawili wafariki Dunia

    Mamlaka ya Usafiri wa Anga nchini Kenya imethibitisha kisa cha kugongana kwa ndege ya abiria ya kampuni ya Safarilink na ndege ya mazoezi. Uchunguzi umeanza kubaini chanzo cha ajili hiyo. ‘’Uchunguzi umeanza kupitia mashirika mbalimbali ukiongozwa na Idara ya Uchunguzi wa Ajali za Anga na...
  4. JamiiForums Tanzania Historia Ngumu: Wagombea Urais 5, Rais mmoja, wamefariki ndani ya miaka 8 Tanzania

    Candidate Running mate Party Anna Elisha Mghwira[42] Hamad Mussa Yussuf Alliance for Change and Transparency (ACT) Edward Lowassa[42] Juma Duni Haji Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Fahmi Nassoro Dovutwa[42] Hamadi Mohammed Ibrahimu United People's Democratic Party (UPDP)...
  5. JamiiForums Tanzania Dar es Salaam: Vijana wawili wafariki mikononi mwa polisi

    Vijana wawili ambao ni Bakari Ismail (21) na Shomari Kacheuka maarufu Babuu (22) wamefariki dunia huku vifo vyao vikigubikwa na utata kwakuwa mara ya mwisho December 27,2023 walichukuliwa kwa nguvu nyumbani kwao Vingunguti Jijini Dar es salaam na Watu waliojitambulisha kuwa ni Askari na kisha...
  6. JamiiForums Tanzania Watu watatu wa Familia moja wafariki katika ajali ya gari Pwani

    Watu watatu wamefariki na wengine kujeruhiwa kwenye ajali ya gari iliyohusisha lori na gari ndogo aina ya Toyota Alphard iliyotokea katika Kijiji cha Mbwembwe, wilayani Bagamoyo mkoani Pwani. Kamanda wa Polisi mkoani humo Pius Lutumo amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kueleza kuwa amepata...
  7. JamiiForums Tanzania Wanne wafariki dunia ajali ya Hiace

    Watu wanne wamefariki na wengine 21 kujeruhiwa baada ya gari dogo la abiria aina ya hiece lenye usajili namba T339 DBV lililokuwa lilitoka Izibya kwenda Bukoba mjini mkoani Kagera kupata ajali eneo la Kyetema. Kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Kagera ACP Brasius Chatanda amesema kuwa ajali...
  8. JamiiForums Tanzania Misri: 32 Wafariki na 63 wajeruhiwa kwenye ajali

    Watu 32 wamefariki na wengine 63 kujeruhiwa leo, katika ajali iliyohusisha basi la abiria na magari kadhaa kugongana na baadhi kuwaka moto katika mkoa wa Beheira nchini Misri kwenye barabara ya Cairo-Alexandria, kilomita 131 kaskazini mwa mji mkuu Cairo. Ripoti zianaeleza wengi waliofariki vifo...
  9. JamiiForums Tanzania Shinyanga: Mkulima, Mfugaji wafariki kwa Kupigwa na Radi wakati wakisuluhishwa

    WATU wawili wakazi wa Kitongoji cha Salawe A, Kijiji cha Salawe, Kata ya Ubagwe, Halmashauri ya Ushetu, Wilaya ya Kahama, mkoani Shinyanga, wamefariki dunia baada ya kupigwa na radi nyumbani kwa mwenyekiti akiwasuluhisha mgogoro uliokuwa ukiwakabili. Tukio hilo limetokea nyumbani kwa Mwenyekiti...
  10. JamiiForums Tanzania Watu 20,000 wafariki kwa mafuriko Libya

    Nimeona hii video sehemu https://youtu.be/w8_VVgoy5B8?si=nLe2iq-MmbJ7hU30 --- The mayor of the eastern Libya port city of Derna estimates between 18,000 and 20,000 people have died in the catastrophic flooding. Abdulmenam Al-Ghaithi told al-Arabiya TV his estimate was based on the number of...
  11. JamiiForums Tanzania TANZIA 10 wafariki baada ya lori la Polisi kugongana na kirikuu Kilimanjaro

    #BREAKINGNEWS: Watu 10 wamefariki dunia na mwingine mmoja kujeruhiwa baada ya Lori la Polisi kugongana na gari dogo la mizigo (KIRIKUU), katika eneo la Datch Conner, Siha mkoani Kilimanjaro. Mkuu wa Wilaya ya Siha Christopher Timbuka amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo, huku akibainisha kuwa...
  12. JamiiForums Tanzania Malaysia: Watu takribani 10 wafariki baada ya ndege kuanguka kwenye barabara kuu

    Picha 1: Eneo ambalo ndege imeanguka Watu takriban 10 wamepoteza maisha baada ya ndege ya kukodisha kuanguka kwenye barabara kuu kaskazini mwa Kuala Lumpur siku ya Alhamisi. Ndege hiyo, iliyokuwa na abiria sita na wafanyakazi wawili wa ndege, iliondoka kutoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa...
  13. JamiiForums Tanzania India: Watu 49 wafariki kutokana na mafuriko

    Watu 9 kati ya waliopoteza maisha wameangukiwa na majengo huku zaidi ya watu 10 wakiwa hawajulikani walipo kutokana na mvua kubwa iliyosababisha mafuriko na maporomoko ya ardhi. Mafuriko hayo yamesomva magari, kubomoa majengo na kuharibu madaraja katika Majimbo ya Kaskazini ya Himalaya ya...
  14. JamiiForums Tanzania Watu 24 wafariki katika ajali ya barabarani Morocco

    Basi dogo lililokuwa limewabeba watu waliokuwa wakienda sokoni nchini Morocco limetumbukia kwenye korongo leo Jumapili, na kuua watu 24 katika mojawapo ya ajali mbaya zaidi za barabarani katika nchi hiyo ya Kaskazini mwa Afrika, maafisa walisema. Abiria hao walikuwa wakisafiri kwa njia ya...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Pwani: Magari yagongana uso kwa uso, wanne wafariki

    Watu wanne wamefariki dunia baada ya gari aina ya Toyota Prado walilokuwa wamepanda kugongana uso kwa uso na gari ya mzigo aina ya Scania majira ya saa nane usiku katika eneo la Mapatano, Kata ya Mbwewe, Halmashauri ya Chalinze, Wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani. Waliofariki katika ajali hiyo ni...
  16. JamiiForums Tanzania Mwanza: Watu 6 wafariki kwa kugongwa na gari wakifanya mazoezi

    Watu 6 wamefariki dunia na wengine 14 kujeruhiwa katika ajali iliyohusisha gari binafsi, ambalo limewagonga wananchi waliokuwa wakifanya mazoezi kandokando ya barabara eneo la Sabasaba Ilemela Mwanza leo Julai 22, 2023 majira ya asubuhi. ===== Taarifa za awali ni kwamba Watu 6 wamefariki...
  17. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Watu 16 wafariki katika ajali ya gari walipokuwa wakirejea kutoka msibani

    Ajali ya barabarani iliyohusisha lori na daladala kwenye barabara kuu ya Kagadi-Kyenjojo katika halmashauri ya mji wa Nyanseke-Muhorro, wilayani Kagadi. Ajali hiyo pia imewaacha wengine kadhaa kujeruhiwa vibaya, ambao wote wanaripotiwa kuwa walikuwa wakirejea kutoka mazishi. Kaimu afisa wa...
  18. JamiiForums Tanzania Songwe: Ajali ya Malori 2, Bajaji na Bodaboda yaua Watu 5 Momba

    Watu watano wamefariki dunia na wengine 10 wamejeruhiwa katika ajali iliyotokea katika eneo la Mpakani Wilaya ya Momba mkoani Songwe. Akizungumza na Mwananchi Digital kwa njia ya simu leo Jumatano Juni 5, 2023; Kamanda wa Polisi Mkoa wa Songwe Theopista Mallya amethibitisha kutokea ajali hiyo...
  19. JamiiForums Tanzania India: Zaidi ya Watu 300 wapoteza maisha katika ajali ya treni

    INDIA: WATU ZAIDI YA 300 WAPOTEZA MAISHA KATIKA AJALI YA TRENI Taarifa za awali zinaeleza idadi ya waliopoteza maisha ni 288 huku wengine 850 wakijeruhiwa katika hiyo iliyotokea Jimbo la #Odisha, lakini kumekuwa na ongezeko la idadi ya waliofariki kwa kuwa zoezi la kutoa miili iliyonasa kwenye...
  20. JamiiForums Tanzania Simiyu: Watoto wawili wafariki kwa kula mboga yenye sumu, saba wanusurika kifo

    Watoto wawili wa Familia ya Tandula Ngasa, katika Kijiji Cha Mwakiloba Wilaya ya Busega mkoani Simiyu, wamepoteza maisha na wengine saba kunusurika kifo baada ya kudaiwa kula chakula chenye sumu. Akiwa kwenye mkutano wa Jukwa la tatu la Ushirika Mkoa wa Simiyu ambapo alikuwa mgeni rasmi, Mkuu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…