India: Watu 49 wafariki kutokana na mafuriko

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,309
5,464
1692037285926.png

Watu 9 kati ya waliopoteza maisha wameangukiwa na majengo huku zaidi ya watu 10 wakiwa hawajulikani walipo kutokana na mvua kubwa iliyosababisha mafuriko na maporomoko ya ardhi.

Mafuriko hayo yamesomva magari, kubomoa majengo na kuharibu madaraja katika Majimbo ya Kaskazini ya Himalaya ya Himachal Pradesh na Uttarakhand.

Mafuriko na maporomoko ya ardhi ni ya kawaida na husababisha uharibifu mkubwa wakati wa msimu wa mvua Nchini India, lakini Wataalam wa Hali ya Hewa wanasema mabadiliko ya hali ya hewa yanaongeza mzunguko na ukali.
 
Haya matukio yanajiri kila cku mara moto mara joto kuzid hadi watu wanazimia wengine kufa
Inshort haya mambo tuliambiwa shule ya msingi kitamboo kuhusu mabadiliko ya tabia ya nchi Yanayosababishwa na ukataji miti na maviwanda kuchafua layer ya dunia
Miaka hii ndio tunaona kila mwaka hali inavozid kua mbaya cpat picha after 50 years itakuaje
 
Back
Top Bottom