Picha: Eneo ambalo ajali imetokea
Watu wawili wamefariki na wengine watatu kujeruhiwa katika ajali iliyohusisha magari mawili likiwamo lililobeba mafuta na kuwaka moto katika ajali iliyotokea maeneo ya Old Vwawa wilayani Mbozi Mkoa wa Songwe.
Ajali hiyo imetokea jana Machi 7, 2022 majira ya...
Kenya imetangaza mlipuko wa homa ya manjano baada ya watu watatu kufariki dunia na kubainika wengine 15 wanashukiwa kuambukizwa katika kaunti ya Isiolo, Kaskazini mwa nchi hiyo.
Wizara ya Afya inasema imetuma jopo la wataalamu wa kushughulikia suala hilo kwa haraka. Wizara ilisema pia kuwa...
Watu saba wamefariki dunia baada ya kupigwa na radi katika maeneo tofauti katika Wilaya za Nkasi na Sumbawanga mkoani Rukwa.
Ofisa Mtendaji wa Kata ya Nkandasi, Given Kisantola amesema tukio la kwanza lilitokea Februari 26 saa 9 alasiri Kijiji cha Nkandasi wilayani Nkasi.
Watano waliokuwa...
Takriban watu 60 waliuawa siku ya Jumatatu katika mlipuko katika mgodi wa dhahabu katika kijiji karibu na Gaoua kusini-magharibi mwa Burkina Faso.
Makumi ya watu zaidi walijeruhiwa, wakiwemo wanawake na watoto
Ilitokea wakati vilipuzi vilivyohifadhiwa karibu na eneo la kuchimba dhahabu...
Watu 13 akiwemo mtoto mmoja wamefariki dunia baada ya kuangukia ndani ya kisima wakati wa sherehe ya harusi Kaskazini mwa India, juzi Februari 16, 2022.
Waliopoteza maisha asilimia kubwa ni wanawake na mtoto huyo ambapo walikuwa wamekaa juu ya kisima kilichokuwa kimezibwa kwa muda.
Taarifa ya...
Tuhuma dhidi ya Jeshi la Polisi kuhusu kusababisha mauaji zimeendelea kushika kasi na leo hii Jumatatu Februari 14, 2022, Gazeti la Mwananchi limeibuka na tuhuma nyingine tena zinazohusu jeshi hilo.
Mwananchi imeripoti juu ya matukio mawili ya kuuawa wa watuhumiwa,moja liamuhusu mmja wa vijana...
Watu sita wamefariki nchini Madagascar baada ya Kimbunga Batsirai kupiga kisiwa hicho kilichopo kwenye bahari ya Hindi. Kisiwa cha Mananjary na miji ya karibu ya imekabiliwa na uharibifu mkubwa.
Shirika la kudhibiti majanga nchini humo limeeleza kwamba zaidi ya watu wengine 47,000 wameyakimbia...
Chama cha Mawakili wa Tanganyika(TLS) kimeripoti jumla ya wanasheria 65 kufariki kwa kipindi cha kuanzia Machi 2020 kutokana na janga la virusi vya Corona
Mratibu wa TLS mkoani Njombe, Innocent Kibadu amesema COVID19 haiishii kuchukua Maisha ya watu bali pia huathiri uchumi wa wanafamilia wa...
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Wankyo Nyigesa, aliwaambia waandishi wa habari jana kuwa tukio hilo lilitokea juzi majira ya saa 8:00 mchana katika kijiji cha Pongwe Msungura, Kata ya Msata.
Wankyo alisema watu hao waliokota chuma kinachodhaniwa kuwa ni bomu ambacho kililipuka mikononi mwao na...
Watu 9 wamefariki dunia na wengine 6 kuokolewa wakiwa hai baada ya boti kuzama baharini Kisiwani Pemba wakati watu hao wakitokea Chakechake kwenda kisiwa cha Panza kwenye shughuli za mazishi.
Zoezi la uokozi limesitishwa usiku na litaendelea Januari 5, 2022 asubuhi.
Shahidi katika tukio hilo...
Kimbunga Tornado kilicho tawanyika na kuyakumba maeneo ya majimbo sita tofauti nchini Marekani kimesababisha watu zaidi ya 70 kupoteza maisha.
Akithibitisha athari hiyo Gavana wa jimbo la Kentucky amesema pamoja na vifo vya idadi hiyo ya watu wanaopindukia 70 upo uwezekano wa idadi hiyo...
Watu wanne (Wanawake 2 na Wanaume 2) wameripotiwa kufariki dunia huku wengine 17 wakijeruhiwa baada ya jengo lililokuwa linajengwa eneo la Goba kwa Awadhi Jijini Dar es Salaam kuangukia nyumba za jirani
Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Kheri James amesema wanaendelea kuangalia iwapo kuna wengine...
Karibu watu 4,500 wameugua kusini mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kufuatia kuvuja kwa sumu kutoka kwa mgodi wa almasi katika nchi jirani ya Angola, waziri wa mazingira anasema.
Eve Bazaiba alisema watu 12 walikuwa wamefariki dunia. Alisema kuwa DR Congo itauliza fidia ya uharibifu...
Rombo. Watoto wawili wa familia moja wakazi wa Tarakea wilayani Rombo wamefariki baada ya nyumba yao waliyokuwa wakiishi kuungua kwa moto.
Akitoa taarifa hiyo leo Ijumaa Agosti 20, 2021 Mkuu wa Wilaya ya Rombo, Hamis Maiga amesema, tukio hilo limetokea jana usiku uliosababishwa na mshumaa...
Utani pembeni, kitumbua kimeingia mchanga, huu sio muda wa ukaidi tena, haijalishi una hela au wewe mlalahoi hapo kwa Mpalange.
=======
What next after demise of five Tanzanian tycoons?
Leaders of the business community yesterday expressed sadness over the loss of five business tycoons that...
So sad though. Police wa Kenya wanamaliza wakenya kuliko Corona yenyewe. Vijana wawili ndugu wa kuzaliwa
(Embu brothers) Emmanuel Mutura 19 na Benson Njiru 23 years waliofikwa na umauti wakiwa mikononi mwa polisi hatimae wamepumzishwa kwenye nyumba Yao ya Milele.
Vijana Hawa walifikwa na...
Watu 15 wamefariki na wengine 24 wamelazwa hospitali wakiendelea kupata matibabu kutokana na virusi vya ugonjwa wa Corona Zanzibar.
Hayo yamebainishwa na Waziri wa Afya wa Zanzibar Mhe Nassor Ahmed Mazrui wakati akitoa takwimu za ugonjwa wa Corona kuanzia Juni 25 hadi Agosti 10.
Waziri Mazrui...
Watu 24 wa familia moja wamefariki dunia baada ya kula chakula kinachohisiwa kuwa na sumu Kaskazini Magharibi mwa Nigeria katika jimbo la Sokoto.
Kamishna wa Afya wa jimbo hilo, Ali Inname amewaambia waandishi wa habari kwamba familia hiyo ilitumia kimakosa kemikali ya mbolea ambayo ilionekana...
Huko New Jersey Marekani, watu 50 ambao wamepata chanjo yote ya Covid 19, yaani wamepata chanjo zote 2 wamefariki kwa Covid 19.
Hivyo kupata chanjo haina maana kua hautaugua covid 19 na haina maana kwamba hutafariki kwa Covid 19.
Ndio maana ukisoma ile form ya kupata chanjo ya serikali...
Watu wawili wamefariki dunia mkoani Njombe baada ya kuingia na jiko la mkaa katika chumba cha kulala kwa ajili ya kupunguza baridi.
Hayo yalibainishwa leo Jumatano Julai 21, 2021 na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe, Hamisi Issah wakati alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari katika makao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.