wafariki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. O

    JamiiForums Tanzania 11 Wafariki dunia baada ya mtambo wa kiwanda cha Mtibwa Sugar kulipuka

    Watu 11 wamefariki dunia na wengine wawili kujeruhiwa baada ya mfumo wa joto wa kiwanda cha kuzalisha sukari cha Mtibwa Sugar kulipuka wakati wakijiandaa kuanza uzalishaji wa sukari kwenye kiwanda hicho kilichopo Turiani mkoani Morogoro. Akizungumza na Mwananchi digital leo Alhamisi Mei 23...
  2. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania 14 wafariki na wengine kadhaa kujeruhiwa baada ya bango kuanguka India

    Takriban watu 14 wameaga dunia na wengine kadhaa kujeruhiwa baada ya bango kubwa kuanguka wakati wa dhoruba ya ghafla katika mji wa Mumbai nchini India. Bango hilo, lenye ukubwa wa mita 70 kwa 50 kwa mujibu wa polisi, lilianguka kwenye nyumba na kituo cha petroli jijini siku ya Jumatatu...
  3. Replica

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi watatu wafariki kwa kukosa hewa wakati wanatoa mahindi kwenye kihenge cha shule, mwalimu aliwaacha na kwenda kunywa chai

    Wanafunzi sita wa shule ya mtakatifu John Paul II ya mkoani Shinyanga walienda kutoa mahindi kwenye kihenge cha shule lakini yalishindwa kutoka wakiwa na mwalimu wa zamu katika usimamizi wa chakula, mwalimu alielekeza wanafunzi watatu waingie ndani kutafuta namna ya kuyafungulia kisha akaenda...
  4. Suley2019

    JamiiForums Tanzania KWELI Watu 155 wafariki kwa Mafuriko Tanzania

    Salaam, Wakuu nimepata wenge baada ya kuona taarifa inaeleza watu 155 wamefafiki kwa Mafuriko Tanzania. Sijakutana na hii habari. Na hata Mtandao wa X (Twitter) wengine wanapata mashaka kama Mimi tu. Je, kuna ukweli kwenye jambo hili? Tunaombeni ufafanuzi
  5. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Lindi: 13 wafariki katika ajali kati ya Coaster na Lori

    Watu 13 wamefariki dunia na wengine sita kujeruhiwa kufuatia ajali ya basi dogo la abiria aina ya Toyota Hiace lililokuwa likitokea Somanga kuelekea Kilwa Mkoani Lindi kugongana uso kwa uso na lori la mafuta leo April 22,2024 katika Kijiji cha Somanga. Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Lindi...
  6. DeepPond

    JamiiForums Tanzania Jordan: Watatu wafariki kwa kudondokewa na drone iliyodunguliwa

    Jordan: Watatu wafariki kwa kudondokewa na drone iliyodunguliwa Shirika la usalama nchini Jordan "Royal intelligence" limeripoti kwamba Watu Watatu wamefariki dunia kwa kulipukiwa na suicide drone ya iran waliyoidungua wakati wakijaribu kuiokoa Israel dhidi ya mashambulizi ya Iran usiku wa...
  7. P

    JamiiForums Tanzania Kisutu: Mwendokasi na bodaboda zagongana, wawili wafariki

    Ajali hiyo imetokea katika eneo la Kisutu majira ya saa nne usiku jana 29/3/2024, ambapo Mwendokasi kutoka Kivukoni ikielekea Ubungo iligongana bodaboda iliyokuwa inakatisha kuelekea njia ya Kisutu. Katika ajali hiyo kumetokea vifo viwili; dereva wa bodaboda na pamoja na abiria wake.
  8. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Afrika Kusini: Watu 45 wafariki baada ya Basi kuanguka kwenye daraja, Msichana wa Miaka 8 anusurika

    AFRIKA KUSINI: Watu 45 wamefariki Dunia baada ya basi walilokuwamo kutumbukia umbali wa Mita 50 katika korongo na kuwaka moto huku Msichana mwenye umri wa miaka 8 akijeruhiwa katika Jimbo la Limpopo Basi hilo lilibeba Waumini waliokuwa wakisafiri kutoka Gaborone, Botswana kuelekea Mji wa Moria...
  9. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Ruvuma: Watu 9 wafariki baada ya Gari yao kusombwa na Maji

    Watu tisa wamefariki dunia katika kijiji cha Lumeme Halmashauri ya Nyasa mkoani Ruvuma baada ya gari walilokuwa wanasafiria aina ya Noah lenye namba za usajiri T795 BIS kusombwa na maji kwenye mto Kisimani. Gari hilo lilikuwa limetoka katika kijiji cha Tingi wilayani Nyasa kuelekea kijiji cha...
  10. Heparin

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Ndege mbili zagongana angani, wawili wafariki Dunia

    Mamlaka ya Usafiri wa Anga nchini Kenya imethibitisha kisa cha kugongana kwa ndege ya abiria ya kampuni ya Safarilink na ndege ya mazoezi. Uchunguzi umeanza kubaini chanzo cha ajili hiyo. ‘’Uchunguzi umeanza kupitia mashirika mbalimbali ukiongozwa na Idara ya Uchunguzi wa Ajali za Anga na...
  11. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Historia Ngumu: Wagombea Urais 5, Rais mmoja, wamefariki ndani ya miaka 8 Tanzania

    Candidate Running mate Party Anna Elisha Mghwira[42] Hamad Mussa Yussuf Alliance for Change and Transparency (ACT) Edward Lowassa[42] Juma Duni Haji Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Fahmi Nassoro Dovutwa[42] Hamadi Mohammed Ibrahimu United People's Democratic Party (UPDP)...
  12. Kingsmann

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam: Vijana wawili wafariki mikononi mwa polisi

    Vijana wawili ambao ni Bakari Ismail (21) na Shomari Kacheuka maarufu Babuu (22) wamefariki dunia huku vifo vyao vikigubikwa na utata kwakuwa mara ya mwisho December 27,2023 walichukuliwa kwa nguvu nyumbani kwao Vingunguti Jijini Dar es salaam na Watu waliojitambulisha kuwa ni Askari na kisha...
  13. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Watu watatu wa Familia moja wafariki katika ajali ya gari Pwani

    Watu watatu wamefariki na wengine kujeruhiwa kwenye ajali ya gari iliyohusisha lori na gari ndogo aina ya Toyota Alphard iliyotokea katika Kijiji cha Mbwembwe, wilayani Bagamoyo mkoani Pwani. Kamanda wa Polisi mkoani humo Pius Lutumo amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kueleza kuwa amepata...
  14. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Wanne wafariki dunia ajali ya Hiace

    Watu wanne wamefariki na wengine 21 kujeruhiwa baada ya gari dogo la abiria aina ya hiece lenye usajili namba T339 DBV lililokuwa lilitoka Izibya kwenda Bukoba mjini mkoani Kagera kupata ajali eneo la Kyetema. Kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Kagera ACP Brasius Chatanda amesema kuwa ajali...
  15. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Misri: 32 Wafariki na 63 wajeruhiwa kwenye ajali

    Watu 32 wamefariki na wengine 63 kujeruhiwa leo, katika ajali iliyohusisha basi la abiria na magari kadhaa kugongana na baadhi kuwaka moto katika mkoa wa Beheira nchini Misri kwenye barabara ya Cairo-Alexandria, kilomita 131 kaskazini mwa mji mkuu Cairo. Ripoti zianaeleza wengi waliofariki vifo...
  16. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Shinyanga: Mkulima, Mfugaji wafariki kwa Kupigwa na Radi wakati wakisuluhishwa

    WATU wawili wakazi wa Kitongoji cha Salawe A, Kijiji cha Salawe, Kata ya Ubagwe, Halmashauri ya Ushetu, Wilaya ya Kahama, mkoani Shinyanga, wamefariki dunia baada ya kupigwa na radi nyumbani kwa mwenyekiti akiwasuluhisha mgogoro uliokuwa ukiwakabili. Tukio hilo limetokea nyumbani kwa Mwenyekiti...
  17. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Watu 20,000 wafariki kwa mafuriko Libya

    Nimeona hii video sehemu https://youtu.be/w8_VVgoy5B8?si=nLe2iq-MmbJ7hU30 --- The mayor of the eastern Libya port city of Derna estimates between 18,000 and 20,000 people have died in the catastrophic flooding. Abdulmenam Al-Ghaithi told al-Arabiya TV his estimate was based on the number of...
  18. EINSTEIN112

    JamiiForums Tanzania TANZIA 10 wafariki baada ya lori la Polisi kugongana na kirikuu Kilimanjaro

    #BREAKINGNEWS: Watu 10 wamefariki dunia na mwingine mmoja kujeruhiwa baada ya Lori la Polisi kugongana na gari dogo la mizigo (KIRIKUU), katika eneo la Datch Conner, Siha mkoani Kilimanjaro. Mkuu wa Wilaya ya Siha Christopher Timbuka amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo, huku akibainisha kuwa...
  19. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Malaysia: Watu takribani 10 wafariki baada ya ndege kuanguka kwenye barabara kuu

    Picha 1: Eneo ambalo ndege imeanguka Watu takriban 10 wamepoteza maisha baada ya ndege ya kukodisha kuanguka kwenye barabara kuu kaskazini mwa Kuala Lumpur siku ya Alhamisi. Ndege hiyo, iliyokuwa na abiria sita na wafanyakazi wawili wa ndege, iliondoka kutoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa...
  20. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania India: Watu 49 wafariki kutokana na mafuriko

    Watu 9 kati ya waliopoteza maisha wameangukiwa na majengo huku zaidi ya watu 10 wakiwa hawajulikani walipo kutokana na mvua kubwa iliyosababisha mafuriko na maporomoko ya ardhi. Mafuriko hayo yamesomva magari, kubomoa majengo na kuharibu madaraja katika Majimbo ya Kaskazini ya Himalaya ya...
Back
Top Bottom