wafariki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Watatu wafariki dunia wakiwemo wanafunzi wawili kwa ajali, Morogoro

    Watu watatu wamefariki dunia wakiwemo wanafunzi wawili wa kidato cha nne, kufuatia ajali ya barabarani iliyohusisha pikipiki yenye namba za usajili MC 534 DYX iliyokuwa ikiendeshwa na Baraka Sajio(22) iliyokuwa ikitoka Kihonda kuelekea Morogoro mjini, kugongana na lori lenye namba za usajili T...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Watoto watatu familia moja wafariki kwa moto

    Watoto watatu wa familia moja wamekutwa wamefariki dunia baada ya nyumba waliyokuwa wanaishi kuungua moto Watoto hao Membe Ndama (7), Mwaru Ndama (2)na Sayi Ndama (1)walikuwa wakiishi na wazazi wao katika Kijiji cha Nambilanje, Wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi Kamanda wa Polisi Mkoa wa Lindi...
  3. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Watu 38 Wafariki dunia katika ajali mbaya ya mabasi Kilimanjaro

    Watu wasiopungua 38 wamefariki dunia na wengine 28 kujeruhiwa baada ya mabasi mawili kugongana uso kwa uso na kushika moto katika mkoa wa Kaskazini wa Kilimanjaro, Tanzania. Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu, amesema ajali hiyo ilitokea jioni ya jana katika wilaya ya Same baada ya tairi...
  4. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Ukraine: Watatu wafariki na wengine wengi wajeruhiwa katika shambulio la Urusi Dnipropetrovsk

    Takriban watu watatu wameuawa na wengine kumi na wanne wamejeruhiwa leo Ijumaa hii, Juni 27, katika shambulio la anga la Urusi kwenye mji wa Samar, katika mkoa wa Dnipropetrovsk - katikati-mashariki - gavana wa mkoa ametangaza. Watu watatu wamepoteza maisha yao katika shambulio la adui. Watu...
  5. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Askari watatu wa Israel wafariki vitani huko Gaza

    Wanajeshi watatu wa IDF wafariki vitani katika Ukanda wa Gaza: Staff-Sajent Lior Steinberg, umri wa miaka 20, kutoka Petah Tikva, daktari katika mapigano (Cpmbat Medic) kutoka kikosi cha Rotem Recon, Kikosi cha 9, Brigade ya Givati, alifariki vitani kaskazini mwa Gaza. Staff Sajent Ofek...
  6. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Shinyanga: Watu sita wafariki dunia kwa kufukiwa na kifusi mgodini 11 waokolea

    Wachimbaji sita wamefariki dunia kwa kufukiwa na kifusi ndani ya mgodi wa dhahabu uliopo katika Kijiji cha Mwakitolyo wilayani Shinyanga. Ajali hiyo imetokea usiku wa kuamkia Mei 17, 2025 wakati wachimbaji hao walipokuwa wakiendelea na kazi katika mgodi wa dhahabu unaomilikiwa na wawekezaji...
  7. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Askari wawili wafariki kwa kupigwa na radi Simanjiro

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Manyara Kamishna msaidizi Mwandamizi SACP Ahmed Makarani amethibitisha kufariki kwa Askari wawili wa Kikosi cha usalama barabarani, waliofariki kwa kupigwa na radi wakati wakiendelea na majukumu yao ya udhibiti wa usalama. Tukio hilo limetokea katika Mji Mdogo wa...
  8. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Watu saba wamefariki dunia na wengine 75 wamejeruhiwa katika ajali mbili tofauti zilizotokea wilayani Same

    Watu saba wamefariki dunia na wengine 75 wamejeruhiwa katika ajali mbili tofauti zilizotokea wilayani Same. Ajali ya kwanza ilitokea majira ya saa saba usiku wa kuamkia leo katika maeneo ya Njoro na kuhusisha basi la Kampuni ya Osaka lililokuwa likielekea Dar es Salaam, ambapo ilisababisha kifo...
  9. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Geita: Wanafunzi Saba wafariki na wengine kujeruhiwa na Radi

    Wanafunzi wa Kidato Cha Tatu Shule ya Sekondari Businda Wilayani Bukombe Mkoani Geita, wamepoteza maisha katika msiba, huku wengine 82 wakijeruhiwa baada ya kupigwa na radi wakiwa Masomoni Mkuu wa Wilaya ya Bukombe, Paskas Muragili amethibitisha kutokea kwa tukio hilo lililotokea leo Jumatatu...
  10. Deinstein 01

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya Wamarekani wafariki kutokana na dhoruba ya baridi(winter storm)

    Habari wakuu! Mpaka sasa watu watano wameripotiwa kufa kutokana na dhoruba ya baridi iliyotokea baadhi ya maeneo ya Marekani. Dhoruba hii imepelekea baadhi ya shule kufungwa, kero za usafiri na kukatika kwa umeme. Pia hali ya dharura imetangazwa kwenye majimbo ya Maryland, Virginia, West...
  11. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Ujerumani: Gari lavamia soko, Watu watano wafariki, wengine zaidi ya 160 wajeruhiwa

    Scores of people were injured and at least two people, including a small child, were killed on Friday after a car ploughed into a crowd of people at a Christmas market in the eastern German town of Magdeburg, in what local officials are describing as a terror attack. At least 68 other people...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda 15 wafariki dunia, zaidi ya 100 hawajulikani walipo maporomoko ya udongo Uganda

    Watu 15 wamefariki dunia na wengine zaidi ya 100 hawajulikani walipo baada ya maporomoko ya udongo yaliyosababishwa na mvua kuharibu makazi katika vijiji kadhaa mashariki mwa Uganda, wilayani Bulambuli jana Novemba 28, 2024. "Kuna vifo vya watu 15 na tuna hofu kuwa bado kuna miili mingine mingi...
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Warembo wawili wa Brazil wafariki baada ya kukataa kuvaa Jaketi za Kuokoa Maisha ili kupiga Selfies katika ajali ya Boti

    Huko nchini Brazil Influencers wawili wameripotiwa kufariki dunia baada ya kukataa kuvaa Jaketi za kuokoa maisha walipokuwa kwenye boti ya mwendo kasi iliyozama pwani ya Brazil. Walikataa kuvaa jaketi hizo kwa sababu hawakutaka kuharibu mwonekano wao kwenye picha walizokuwa wakipiga kwa ajili ya...
  14. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Basi Kampuni ya Kapricon (T 605 DJR) iliyokuwa ikitokea Jijini Dar es Salaam kuelekea Arusha lapata ajali

    #HABARI Watu wanne wamepoteza maisha na wengine 15 Kujeruhiwa baada ya basi Kampuni ya Kapricon (T 605 DJR) iliyokuwa ikitokea Jijini Dar es Salaam kuelekea Arusha kupata ajali ya kuacha njia na Kupinduka katika eneo la Maili kumi, barabara ya Segera-Korogwe mkoani Tanga. Akithibitisha kutokea...
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kimbunga Yagi chaleta maafa Vietnam, zaidi ya 179 Wafariki, mamia hawajulikani walipo

    Zaidi ya watu 179 wamefariki dunia nchini Vietnam kufuatia maporomoko ya ardhi na mafuriko yaliyosababishwa na kimbunga Yagi. Habari kutoka Vietnam zinasema watu wengine zaidi ya 140 hawajulikani walipo kufuatia janga hilo, na juhudi za kuwatafuta zinaendelea. Kimbunga Yagi kinaelezwa kuwa...
  16. W

    JamiiForums Tanzania Watu 50 wafariki Nigeria baada ya Lori la Mafuta kulipuka

    Takriban watu 50 wamefariki baada ya lori la mafuta kugongana na lori lililokuwa limebeba abiria na mifugo katika jimbo la Niger Septemba 8, 2024 Msemaji wa shirika la mafaa Nigeria amesema "Tulikuwa na mazishi ya pamoja ya watu 52 jana Septemba 8, 2024 na tuna watu wanane wakipokea matibabu...
  17. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Manyara: Basi la Shule lagongana na Lori la mizigo, Wanafunzi Watatu, dereva wafariki, watano mahututi

    Mkuu wa Mkoa, Queen Sendinga amesema ajali iliyotokea jana Agosti 31, 2024 ikihusisha Costa iliyobeba Wanafunzi wa Shule ya Endasak Sekondari na Lori la mizigo lililokuwa linatokea Burundi, imepoteza Wanafunzi Watatu na dereva wa Costa huku majeruhi wakiwa 31 Amesema “Ajali imetokea eneo la...
  18. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Rorya: Wanafunzi sita wafariki baada ya kunasa kwenye tope wakiogelea kwenye bwawa.

    https://x.com/MwananchiNews/status/1827665660110872878?t=M10MpOscMBz7jcfQEB0_ig&s=09
  19. O

    JamiiForums Tanzania 11 Wafariki dunia baada ya mtambo wa kiwanda cha Mtibwa Sugar kulipuka

    Watu 11 wamefariki dunia na wengine wawili kujeruhiwa baada ya mfumo wa joto wa kiwanda cha kuzalisha sukari cha Mtibwa Sugar kulipuka wakati wakijiandaa kuanza uzalishaji wa sukari kwenye kiwanda hicho kilichopo Turiani mkoani Morogoro. Akizungumza na Mwananchi digital leo Alhamisi Mei 23...
  20. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania 14 wafariki na wengine kadhaa kujeruhiwa baada ya bango kuanguka India

    Takriban watu 14 wameaga dunia na wengine kadhaa kujeruhiwa baada ya bango kubwa kuanguka wakati wa dhoruba ya ghafla katika mji wa Mumbai nchini India. Bango hilo, lenye ukubwa wa mita 70 kwa 50 kwa mujibu wa polisi, lilianguka kwenye nyumba na kituo cha petroli jijini siku ya Jumatatu...
Back
Top Bottom