Historia Ngumu: Wagombea Urais 5, Rais mmoja, wamefariki ndani ya miaka 8 Tanzania

Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Feb 20, 2016
14,047
20,411



Candidate
Running mateParty
Anna Elisha Mghwira[42]Hamad Mussa YussufAlliance for Change and Transparency (ACT)
Edward Lowassa[42]Juma Duni HajiChama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)
Fahmi Nassoro Dovutwa[42]Hamadi Mohammed IbrahimuUnited People's Democratic Party (UPDP)
Hashim Rungwe Spunda[42]Issa Abas HusseinChama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA)
Janken Malik Kasambala[42]Simai Abdulrahman AbdullaNational Reconstruction Alliance (NRA)
Lutalosa Yembe[42]Said Miraj AbdallahAlliance for Democratic Change (ADC)
Machmillan Elifatio Lyimo[42]?Tanzania Labour Party (TLP)

1. John Magufuli RIP
2. EDWARD LOWASSA R.I.P
3. ANNA MGHWIRA RIP
4. MAALIM SEIF R.I.P
5. BERNARD MEMBE R.I.P
 
Tuishi fear,Dunia ni mapito.
Samu mapangala aliwahi elezea ktk wimbo wake.
Wajifunze wazee wa siasa maji taka kuwa,kifo hakuna mwenyewe😂
 
Huyo wa kwanza na wa mwisho.... Au basi mdomo koma
Kwamba wote walisalimiana wakiwa chato kule!!?

Kwamba walikua na mfanano fulani ndio maana walitangulia in series!!?

Walikua na mapatano Fulani hapo mbeleni !!?yaani serikali kadhaa halafu wewe uwe kule huku mwingine na mimi nakua mkuu wenu au!!?yaani like Bunge la mihula sabaha!!?

Au!!?
 
Back
Top Bottom