mathsjery
JF-Expert Member
- Sep 26, 2015
- 2,208
- 1,755
Mnalionaje hili?
kuna mtu alimfata Developer akamwambia kuwa ana idea waitengenezee software, Developer akamwuliza tafiti uliyofanya iko wapi?
MDAU AKABAKI ANANG'AANG'AAA MACHO TU BAADA YA MUDA AKAMJIBU ETI, BASI ACHA TU NITATAFUTA DEVELOPER MWINGINE WEWE UNA MAMBO MENGI.
Sasa mtu kama huyu ameulizwa swali badala ya kujibu ndio au sio anasema maneno kama hayo.
Kwa maneno kama hayo hapo
Je. nani mkosaji au kuna tatizo gani na liko upande wa nani na kwa sababu gani maana wameshindana kwa maneno hayo