Kuna kesi ya askari magereza aliyekuwa na tuhuma za kubaka mtoto huko Morogoro.
Alipelekwa mahakamani na ikathibitika pasi na shaka kwamba alitenda kosa hilo na hakimu msomi akaitolea hukumu ile kutumikia kifungo cha maisha jela. Hiki ni kifungo cha kikatili ambacho lazima kusiwe na chembe ya...
Tunataarifiwa kwa sasa SERA mpya ya Elimu inaandaliwa lakini inafanyika kisiri siri huko Dodoma,
1. Wataalamu wachache wamejifungia sehemu wanapata Per diem zao safi (zaidi ya miezi sasa) huku wadau muhimu (wazazi, walimu na Wanafunzi) katika sekta wakiachwa nje.
Mfano, Mwaka jana 2022...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wawekezaji, wadau wa maendeleo pamoja na baadhi ya Viongozi Wakuu wa Nchi za Afrika katika Mkutano wa Eneo Huru la Biashara la Afrika (AfCFTA) uliofanyika Davos nchini Uswizi tarehe 18 Januari, 2023.
Katika mkutano huo...
Mdogo wangu amekwama stend ya magu (Mbezi)akitokea bukoba anakuja Nachingwea .Gari nyingi zimemuacha na hajui afanye nini kwani anauhitaji wa kufika kusini leo hii na ni mgeni sana anaogopa kwenda kijichi (mfukoni pia kabakiwa na 40k).
Mbadala wake nimemwambia abeti kwa tashrif ya kutoka...
Miaka ya nyuma wanaume wengi walisalitiwa na wachumba baada ya kuwasomesha shule kwa gharama kubwa wakiwa na tegemeo la kuwa wenza wao wa maisha hapa ikaibuka kauli "mchumba hasomeshwi" somo hili watu wengi walilielewa jambo hili likakoma
Sasa kutokana Tabia ya utapeli baadhi wa hawa dada zetu...
Itoshe kusema kwamba, Waswedish wanatengeneza vyombo vyenye uhakika katika mabasi na Malori kuna SCANIA NA VOLVO hawana mpinzani. kwenye SUV tunajua Japs na Germans wanachuana vikali lakini tunamuunderestimate huyu mnyama VOLVO XC 90
watakuja watu wa Subaru na Toyota, nataka muangalie hii video...
Feisal ndio mchezaji anae ongoza kwa kupewa sifa ambazo hana..
Mashabiki wa Yanga= Feisal hawezi cheza timu yoyote nje ya Yanga akitoka Yanga anaenda Madrid.
Manara = Feisal sio mchezaji wa nchi hii.
Amunike = Feisal anatakiwa kuchezea Barcelona.
But ndio uhalisia huo? Sio kweli.
Ukweli ni...
Kheri ya mwaka mpya wanajukwaa la elimu?
Naomba mnisaidie haya maswali ya:
1. The Rydberg constant for hydrogen is 1.09678×107m-1 and that for singly ionized helium is 1.09722.Given that the mass of the helium nucleus is four times that of the hydrogen nucleus.Calculate the ratio of the...
Nianze tu kwa kusema,Mimi ni miongoni mwa watu ambao ni against single mothers,lakini wahenga walisema "usitukane mto kabla ya kuvuka mamba"..huyu single mother ni mzuuuri balaa, yuko fresh kila idara ana Mt*ko wa kwenda,kasura sasa kama beyonce huyu hapa..kwenye mapenzi ndo usiseme,hapa ndo...
Ukumbi wa Kimataifa Wa Mikutano wa Julius Nyerere (JNICC)- Dar es Salaam
AZIMIO LA JUMLA
Kongamano limeazimia kuipongeza serikali ya awamu ya sita kwa hatua kubwa iliyochukuliwa kupanua uhuru wa vyombo vya habari na kufungua milango ya mazungumzo na wadau wa habari kuhusu ukuaji wa sekta ya...
Inawezekana kabisa Baraza la Kitaifa la Usimamizi wa Mazingira (Nemc) lina sababu za msingi sana za kuipiga faini ya Tsh. Bilioni 1 (kama dola 434,782.6 kampuni ya Williamson Diamond Limited (WDL), lakini wanamazingira wameonesha wasiwasi kuhusu uamuzi huo.
Clay Mwaifwani, mratibu wa mradi...
Ili kukabiliana na rushwa ya ngono na mfumo dume katika vyumba vya habari, wadau wa habari wameshauri kwamba kila chombo cha habari kinapaswa kuwa na dawati la jinsia.
Kauli hiyo imetolewa na baadhi ya wahariri wa vyombo vya habari kwenye mkutano uliofanyika Desemba 16, 2022, jijini Dar es...
Nawasalimu na kazi iendelee..
Kuna karatiba fulani ka mgao wa umeme maeneo ya wilayani umeme huwa unakatwa jioni kuanzia saa 12 na kurudi either mid night au usiku wa manane.Sijajua sehemu nyingine Kama iko hivo.
Sasa ninavyofahamu sehemu nyingine wilayani hazina heavy duties nyakati...
PEMBA, ZANZIBAR
JAMII imeshauriwa kuacha muhali na badala yake waripoti kwa wakati matukio ya udhalilishaji yanapotokea kwa lengo la kutoa fursa kwa vyombo vya sheria kutekeleza wajibu wake na kuchukua hatua za haraka dhidi ya watuhumiwa wa vitendo hivyo.
Hayo yametolewa na wadau wa kupinga...
Tangu kutokea kwa ajali hii, kumekuwa na maoni mengi na watu mbalimbali kuhojiwa ili watoe maoni yao. Kinachonmishangaza ni kuwa, wakati chanzo cha ajali kikitajwa kuwa ni hali mbaya ya hewa(najua uchunguzi unaendelea) mpaka sasa sijaona waandishi wa habari wala wadau wengine walioona umuhimu wa...
Wadau naombeni mnisaidie majibu Ni Kwanini Kila kitu ARUSHA CITY huwa inahujumiwa kwa maksudi kabisa ikiwemo,miradi ya maendeleo kama Stendi ya mabasi, Uwanja wa kisasa wa ndege, na mengine mengi na ukiangalia ARUSHA CITY Ndio city namba 2 kwa tax revenue collector baada ya Dar city na Ni sehemu...
Hasikiki kabisa huku mtaani, japo nilimuona katika TV kama mwezi au miezi miwili hivi iliyopita akihojiwa. Licha ya kulirejesha jina la zamani la Jahazi (maana alirudi na Safina) katika bendi bado mirindimo haisikiki kabisa huku mtaani.
Nini hiki jamani ili wengine wajifunze?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.