Wadau, msaada haraka hali hii inatesa sana muda huu

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Oct 31, 2014
5,362
11,519
Hapa sina amani kabisa wala furaha kuanzia mida ya saa 3 baada ya kula. Nahemea juu juu huku macho yamenitoka kama mtu aliyeshikwa ugoni, hata kumeza mate tu nashindwa hali inazidi kuwa ya hatari sana kwangu.

Nimekula nyama choma, mishkaki, sausage na mtura. Hivyo vyote toka mchana leo nlikuwa nakula na ndizi za kuchoma. NIMEVIMBIWA NDUGU ZANGUNI. NIMEVIMBIWA SANA.

Naombeni msaada maana nipo mbali na maduka ya dawa. Ni mbali kiasi kikubwa. Lakini pia nichukue nafasi hii kuwaomba msamaha wote nliowakosea. Kama kuna sehemu tumepishana nikasema maneno yenye ukakasi basi mjue tu ni ubinadamu, yaishe please.

Mwili unanitetemeka na jasho linanitoka kwa wingi. Nimeishiwa nguvu na tumboni kuna nguruma sana. Nimejaribu kutapika tumetoka tuvipande twa nyama na sausages kama tulivyo kama vile vimelowekwa tu kwenye maji baada ya kupikwa.

Yaani napata shida wadau, siwezi hata kulala maana tumbo limejaa sana. Nimejawa na mawazo nini hatima ya hili tatizo usiku huu wa leo. Maana naumia sana.

Kuna dawa gani ya asili naweza pata kwa haraka ndani ya nyumba? Nisaidieni wandugu tuweke tofauti zetu kando tafadhali. Shingo,mabega na kichwa vimekosa nguvu kabisa na kupigwa ganzi. Nasikia nzeeeeeeeeeeeeeeee. Sielewi wadau. Sielewi. Hapa nina masaa mawili nimekaa tu chooni haja haitoki kabisa.
 
Njia Nzuri Ni kutapika that all

Jitapikishe
Msipende kula Sana hizo junk food
Kunywa Maji yako Mengi chakula kidogo +matunda.
 
Hapa sina amani kabisa wala furaha kuanzia mida ya saa 3 baada ya kula. Nahemea juu juu huku macho yamenitoka kama mtu aliyeshikwa ugoni....hata kumeza mate tu nashindwa hali inazidi kuwa ya hatari sana kwangu.

Nimekula nyama choma,mishkaki,sausage na mtura. Hivyo vyote toka mchana leo nlikuwa nakula na ndizi za kuchoma. NIMEVIMBIWA NDUGU ZANGUNI. NIMEVIMBIWA SANA.

Naombeni msaada maana nipo mbali na maduka ya dawa. Ni mbali kiasi kikubwa. Lakini pia nichukue nafasi hii kuwaomba msamaha wote nliowakosea. Kama kuna sehemu tumepishana nikasema maneno yenye ukakasi basi mjue tu ni ubinadamu.yaishe please.

Mwili unanitetemeka na jasho linanitoka kwa wingi. Nimeishiwa nguvu na tumboni kuna nguruma sana. Nimejaribu kutapika tumetoka tuvipande twa nyama na sausages kama tulivyo kama vile vimelowekwa tu kwenye maji baada ya kupikwa.

Yaani napata shida wadau, siwezi hata kulala maana tumbo limejaa sana. Nimejawa na mawazo nini hatima ya hili tatizo usiku huu wa leo. Maana naumia sana.

Kuna dawa gani ya asili naweza pata kwa haraka ndani ya nyumba? Nisaidieni wandugu tuweke tofauti zetu kando tafadhali. Shingo,mabega na kichwa vimekosa nguvu kabisa na kupigwa ganzi. Nasikia nzeeeeeeeeeeeeeeee......sielewi wadau. Sielewi. Hapa nina masaa mawili nimekaa tu chooni haja haitoki kabisa.
Hiyo ni constipation. Ina maana unakula chakula lakini hunywi maji ya kutosha. It is like this: unakula chakula ambacho kinaenda tumboni,pale kinalainishwa na bile kutoka kwenye gall bladder. Halafu kinalainishwa na chyle kutoka kwenye ini. Baada ya hapo chakula kinapita kwenye small intestines. Pale kinakuwa absorbed into the body,kinaingia mwilini kupitia villi. Sasa kama hujanywa maji ya kutosha chakula kinashindwa kupita kwenye villi. Kwa hiyo unapata constipation ambayo,by the way,itakufanya uwe na tabia ya hasira kama Iddi Amin. Kwa hiyo lazima unywe maji ya kutosha.
There are three major causes of disease. Ugonjwa unasababishwa na mambo makubwa matatu Now read carefully,mambo makubwa matatu yanayosababisha ugonjwa: craving,hatred and ignorance. Magonjwa yanasabishwa na tamaa,chuki na ujinga. Sasa labda utaniuliza mty mjanja kama Einstein anaugua au haugui?
Four more secondary sources of disease:1. cold or heat2. any evil spirit or demon3. the wrong use of food4. wrong conduct of life.
Ashiki inasababisha wind diseases. Chuki inasababisha diseases of the bile. Ignorance inasababisha diseases of the phlegm.
Magonjwa ya craving ni magonjwa ya wazee,magonjwa ya bile ni magonjwa ya vijana,magonjwa ya phlegm bi magonjwa ya watoto.
Magonjwa ya wind yapo in the lower parts of the body. Magonjwa ya vile yapo in the middle part of the body. Magonjwa ya phlegm yapo katika upper part of the body.
Ndio maoni yangu. Naweza kuendelea kidogo kama usiponiuliza natumia kilevi gani.
 
Maji nimekunywa ya kutosha na huwa nakunywa ya kutosha. Kwa case hii ya leo sio maji kabisa.
 
Back
Top Bottom