Sakata la 'Plea Bargain': Wadau wamwandikia barua Rais Samia kutaka amuondoe Biswalo Mganga

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,563
217,870
Hii ndio Taarifa mpya ya leo ya Gazeti la Raia Mwema

Kwamba kutokana na kuvuja kwa Taarifa nyingi kuhusu unyama uliotendwa kwenye kilichoitwa Plea Bargain, iliyosimamiwa kikamilifu na DPP wa wakati ule aliyeitwa Biswalo Mganga.

Wadau wamemkumbusha Mh Rais kuhusu Makando kando ya Mtu huyo na kumuomba Amng'oe haraka.

Ngoja tusubiri majibu ya barua hiyo.
 
Naona Raia Mwema ni gazeti la udaku lililopooza linajitahidi kutumia nguvu nyingi kuziba gape lililoachwa na magazeti ya Musiba.

itaandika hizi issue ht mwaka mzima na hakuna kitu itafanyika. Kukaa na kujadili udaku km huu ambao hautakuja kufanyiwa kazi ni matumizi mabaya ya muda na Ubongo.
 
YELLOW JOURNALISM AT ITS BEST

Rais hawezi kumuondoa Jaji wa Mahakama kuu kama ambavyo ninyi mnataka. Kuna utaratibu maalumu ndani ya katiba ambao hata Rais hawezi kuuvuruga. Haya mengine mnayoandika hapa ni majungu, udaku na umbeya usio na kichwa wala miguu..
 
Ina maana wanataka wamng'oe Biswalo sio!!? ILI iweje!? Wamuweke Mwingine kwa maslahi ya Nani!?

Bado Tanzania NCHI yangu kuna amani na sheria zinafuatwa!

Wakifanikisha azma yao je nini hatma!?

Mungu ibariki TANZANIA
 
SINGA SINGA Alipigwa Mabilioni ya Kutosha na MZALENDO Mwendazake
857156849.jpg
 
YELLOW JOURNALISM AT ITS BEST......Raisi hawezi kumuondoa Jaji wa Mahakama kuu kama ambavyo ninyi mnataka. Kuna utaratibu maalumu ndani ya katiba ambao hata Raisi hawezi kuuvuruga. Haya mengine mnayoandika hapa ni majungu, udaku na umbeya usio na kichwa wala miguu........
Itumike hata Prof. Asad style
 
Hii ndio Taarifa mpya ya leo ya Gazeti la Raia Mwema , Kwamba kutokana na kuvuja kwa Taarifa nyingi kuhusu unyama uliotendwa kwenye kilichoitwa Plea Bargain , iliyosimamiwa kikamilifu na DPP wa wakati ule aliyeitwa Biswalo Mganga Wadau wamemkumbusha Mh Rais kuhusu Makando kando ya Mtu huyo na kumuomba Amng'oe haraka.

Ngoja tusubiri majibu ya barua hiyo .

Chanzo : Raia Mwema
Amng'oe au afikishwe mbele ya mahakama?
 
Hii ndio Taarifa mpya ya leo ya Gazeti la Raia Mwema , Kwamba kutokana na kuvuja kwa Taarifa nyingi kuhusu unyama uliotendwa kwenye kilichoitwa Plea Bargain , iliyosimamiwa kikamilifu na DPP wa wakati ule aliyeitwa Biswalo Mganga Wadau wamemkumbusha Mh Rais kuhusu Makando kando ya Mtu huyo na kumuomba Amng'oe haraka.

Ngoja tusubiri majibu ya barua hiyo .

Chanzo : Raia Mwema
Watu wanasubirì hadi madudu yafukunyuliwe ndipo waseme!, sisi tulioyaona yakifanyika, tulipigia kelele na haikusaidia kitu!, sijui kama hiyo barua itasaidia kitu maana post aliyopo sasa has a security of tenure, anaweza kuteuliwa tuu, hawezi kutenguliwa!, na post iliyotangulia ya DPP ina kinga ya kutohojiwa na yeyote au kushitakiwa!.
Huku ni kutwanga tuu maji kwenye kinu!.
P
 
Asante mayala raia mwema ni gazet la udaku sahivi
 
Hii ndio Taarifa mpya ya leo ya Gazeti la Raia Mwema , Kwamba kutokana na kuvuja kwa Taarifa nyingi kuhusu unyama uliotendwa kwenye kilichoitwa Plea Bargain , iliyosimamiwa kikamilifu na DPP wa wakati ule aliyeitwa Biswalo Mganga Wadau wamemkumbusha Mh Rais kuhusu Makando kando ya Mtu huyo na kumuomba Amng'oe haraka.

Ngoja tusubiri majibu ya barua hiyo .

Chanzo : Raia Mwema
Wewe ni mwanasiasa maamuma kweli, yaani raisaingilie mhimili wa mahakama kumwondoa jaji wa mahakama?!!! Uwe unaomba ushauri kwa wanasheria wa chama chako kuliko uropokaji huu.

Mbaya zaidi unajiweka bayana bila kujua hizi tawala zinabadilika wakati wowote unafikiri mnavyobebwa kwa sasa kuzusha uongo mwingi kwamba wanaowalinda watadumu hapo walipo?

Weka akiba ya maneno na ukayahifadhi Kyela, hilo gazeti lenu la raia mwema uchwara litajuta kama msalaba anaopitia Msiba kwa sasa.......................epuka kutumika kwa maslahi ya kisiasa hayalipi kama sio kuharibu kizazi chako cha sasa hadi uzao wa nne. Mnatumika na mabwana zenu kusambaza chuki na visasi huelewi kwamba ili uweze kuzima moto wa msituni ni mpaka uwaze moto pia upande kinzani? Maji hayazimi moto kirahisi maana ya hewa ya Oksijeni. (MOTO=hewa+chakula+joto) wewe ni mchochezi kama fomula hiyo ilivyo.
 
Naona Raia mwema ni gazeti la udaku lililopooza...linajitahidi kutumia nguvu nyingi kuziba gape lililoachwa na magazeti ya Musiba..
itaandika hizi issue ht mwaka mzima na hakuna kitu itafanyika...kukaa na kujadili udaku km huu ambao hautakuja kufanyiwa kazi ni matumizi mabaya ya muda na Ubongo.
Ni Ujinga pia kushabikia Raia kununua haki. Haki au kosa la jinai au lolote lile huamulia na Mahakama tu. Kinyume chake ni Upumbavu.
 
Back
Top Bottom