Kwanini Arusha huwa inahujumiwa makusudi?

Kollebundle

Senior Member
Nov 9, 2022
176
109
Wadau naombeni mnisaidie majibu Ni Kwanini Kila kitu ARUSHA CITY huwa inahujumiwa kwa maksudi kabisa ikiwemo,miradi ya maendeleo kama Stendi ya mabasi, Uwanja wa kisasa wa ndege, na mengine mengi na ukiangalia ARUSHA CITY Ndio city namba 2 kwa tax revenue collector baada ya Dar city na Ni sehemu unique ambayo Ni POTENTIAL yenye Resources Adimu sana Sana kwa nchi hii hata Mwanza haikaribii ARUSHA kimapato hata kidogo nadhani hili mwalifahamu uzuuri.

Natumai mu wazima nyote humu ndani poleni na majukumu , Naomba mrejee kichwa Cha habari hapo juu hiyo Ndio mada lengwa hivyo kwa leo naomba nianze na issue ya TAKWIMU (metro area population ya Arusha city Uki search Google itakuja na kuleta idadi ya watu 519,000, yaani idadi hii inayoleta Ni idadi ya watu ya ARUSHA DC tu yaani wilaya moja tu, Kati ya wilaya zote 7, Yaani siku zote uki-search na ukitafuta data population ya Arusha city sehemu yeyote ile utaletewa jumla ya idadi ya watu hao laki 519,000 ambayo ni ya wilaya moja tu ya ARUSHA DC, lakin idadi nyingine ya watu ya hizo wilaya 7 zingine za Arusha city huwa zinaachwa pembeni hazijumlishiwi na hizo idadi za ARUSHA DC ambazo ni laki 519,000 ili kuleta idadi kamili ya metro area population ya Arusha city km inavyofanywa kwa majiji mengine km Mwanza ,au Dar Sasa huwa najuiliza Kwanini ni Arusha city pekee yake metro area population yake huwa inachukuliwa ya wilaya moja tu ya Arusha DC na kuachwa wilaya zengine 6, lakini ukiangalia City Kama Zanzibar, Dar, Mwanza na majiji mengine Metro area population yake haichukuliwi ya wilaya moja tu zinachukuliwa idadi za watu kutoka wilaya zote ili kuleta jumla kamili ya metro area population ya Mwanza, Dar na Zanzibar city na majiji mengine lakini kwa ARUSHA ni tofauti Ndio maana naona wazi ARUSHA CITY inahujumiwa Sana tu na SERIKALI na pia watu wenye wivu na ARUSHA CITY ili tu kusudi isiwe na maendeleo isipate wawekezaji lakini mbinu zote izo za hujuma za kuihujumu ARUSHA hazitafanikiwa Sababu ARUSHA resources zake za ku attract wawekezaji wa KITALII zinaonekana kwa macho bahati nzuri hao watu wenye nia ya kuihujumu ARUSHA CITY watashindwa kuzificha Wealth resources ambazo zinaonekana kwa macho na zitafanya wawekezaji waje ARUSHA kuwekeza kwenye sekta ya UTALIII na nyinginezo watake wasitake pamoja na kwamba wanafanya hujuma kila kukicha kuihujumu ARUSHA CITY kimaksudi na kuipaisha MWANZA

NA SASA HIVI WAMEANZA KUIPASHA ZANZIBAR KWA TAKWIMU za uwongo ili ety Zanzibar population ionekane ina population kubwa kuliko ARUSHA CITY, icho Ni kitu ambacho HAKIWEZEKANIKI hata kwa dawa Zanzibar ikawa na population kubwa kuliko ARUSHA CITY ispokuwa kwa watu ambao wanafkiria bila kutafakari wataliamini hili ,yaani kusema eti kwa sasa ZANZIBAR NDIO CITY Ipo mbele ya ARUSHA CITY kwa wingi wa watu huo Ni UONGO mkubwa Kama ambavyo mtu atasema kwa sasa Geita Ndio mkoa wenye idadi kubwa ya watu kuliko DAR ES SALAAM, Lakini kwa Mimi nahisi malengo ya hujuma hii kwa ARUSHA CITY Ni ya kupangwa hayajaanza leo kitambo Sana kutokana na uchunguzi niliofanya yakinifu Ni kama nilivyo elezea Apo juu ingawa ningependa pia kusikiza maoni yenu Kwanini ARUSHA CITY inahujumiwa tukianza na issue ya TAKWIMU za uwongo za metro area population hii inatokea kwa ARUSHA CITY pekee ake huwezi kukuta mkoa au City nyingine imewekwa metro area population total ya hujuma/uwongo Kama nilivyo hainisha Apo juu ,ila wadau naombeni tulenge mada tusiende opposite Mimi Ni mtanzania halisi baba yañgu Mtanzania mama mtanzania pia Nawasilisha.

Arusha-Tourism-City-Tanzania.jpg
 

Attachments

  • arusha-data.jpg
    arusha-data.jpg
    44.6 KB · Views: 27
Kwasababu mnapenda chadema au hulijui hilo unataka sababu gani tena
Kama Ndio tunatengwa na kubaguliwa kiasi hiki itabidi tuizindue Republic of Arusha (USA)~United state of Arusha tujitegemee vizuri na Resources zetu za Arusha zinatutosha kabisa km serikali inatuhujumu kias hiki ,inakuwaje jiji la KITALII km wanavyo liita hata uwanja wa ndege wa kimataifa hakina lakini wakati huo huo viwanja vya ndege vinajengwa mikoa mingine kila kukicha hata stendi ,tu ya kisasa hakuna Ila Cha ajabu stendi inajengwa singida ,Arusha the hub of tourism panapotezewa tangu Uhuru mpaka Sasa km vile hawapaoni mwisho utafika tu tumechokaaa sisi
 
Acha ufala bwege wewe kwani huwezi kulia lia na limji lako bila kuitaja Mwanza, usipoitaja Mwanza unadhani hautosikika, pambana na lijiji lako acha kutaja miji ya watu kifala, hiyo Arusha inakalishwa na Geita kwa gdp bado unalialia kama umekalia mkuyenge.
 
Hawajaanza leo. Ilihali watu wa Arusha tangu zamani wanachangia pato kubwa la Taifa kwa uchakarikaji ila serikali inawatenga.

Sehemu kubwa ya miradi ya maendeleo sasahivi Arusha inafanywa na wenyeji wenyewe.
Aza unafikiri kwanini Arusha hakuna Stand mpya ya ma-bus?

Airport haiwezi kuja kutokea kuna KIA tayari
 
Arusha maeneo yote wanayoringia hayapo mkoani kwao.

Walikuwa wanaringia Tanzanite na Mererani hili eneo lipo wilaya ya Simanjiro mkoa wa Manyara

Walikuwa wanaitaja Serengeti hii mbuga ipo Mkoa wa Manyara, Mara na Simiyu.
Sasa hivi mageti ya kuingia hifadhini yanafunguliwa Simiyu, Mara.
Pakijengwa uwanja wa kisasa wa Ndege Mwanza ujue Arusha inazikwa.
Kwa sababu ni karibu zaidi kutoka Mwanza kwenda Serengeti kuliko Arusha.

Mlima Kilimanjaro upo mkoa Mwingine yaani Moshi.

Hivyo unagundua Arusha itazidi kunywea baada ya miaka 15 ijayo.

Watake wasitake
 
Hawajaanza leo. Ilihali watu wa Arusha tangu zamani wanachangia pato kubwa la Taifa kwa uchakarikaji ila serikali inawatenga.

Sehemu kubwa ya miradi ya maendeleo sasahivi Arusha inafanywa na wenyeji wenyewe.🤝upo sahihi yaani SERIKALI Haina haibu kabisa inachukua mapato makubwa Sana kutoka Arusha hasa sekta ya UTALIII halafu sisi watu wa Arusha tunaachwa hakuna maendeleo yoyote hata mpaka Stendi tu ya mkoa SERIKALI inafanya maksudi haijengi lakini badala yake pesa zinazokusanywa Arusha zinaenda kujenga Stendi,fly over dar,mwanza sio mbaya kujengwa huko lakini Sasa mbona sisi arushwa tunaachwa tulivyo huku kwetu hawapathamini tumechoka kuvumilia. Maonezi haya itabidi tuanzishe (The republic of Arusha )jamhuri ya Arusha na kuunda (USA)~UNITED STATE OF ARUSHA ,ili tutumie potentially resources zetu zilizopo Arusha tuijenge Arusha wenyew Kama SERIKALI inaendelea kutubagua na kututenga tumechokaaaa,na uwezo huo wa kujiendesha wenyewe kwani uwezo huo tunao
 
itabidi tuizindue Republic of Arusha (USA)~United state of Arusha tujitegemee vizuri na Resources zetu za Arusha
Si unaona kitu km hichi sasa? Hiki ndio kinafanya mnapigwa PIN, huu ujinga wakubwa wanaujua na ndio hawautaki ujinga km huu Arusha sio Nchi, mmemezeshwa mentality za kwamba Arusha ni Nchi kitu ambacho sio kweli Nchi ni moja tu JMT
 
Aza unafikiri kwanini Arusha hakuna Stand mpya ya ma-bus?

Airport haiwezi kuja kutokea kuna KIA tayari
Ni kwasababu SERIKALI inaihujumu Arusha na kuichukia tu bila sababu za msingi Ndio maana haioni haibu kwenda kujenga Stendi mpya singida,chato,na kuiacha Arusha the second City kwa tax and revenue collector hivi kweli hii inaingia Akilini na badala yake SERIKALI inachojua Ni kukusanya mapato Arusha kwenda kujenga flyover,barabara dar na mwanza hatutakubali Tena tumechoka kuhujumiwa hatuoni wivu sehemu zengine kujengwa tunachoumia Ni Kwanini Wanatubagua Arusha pekee ake alafu ukizingatia Ni jiji potentially duniani ,na ki resources na kimapato ,ingetakiwa Arusha kuwe na stend kubwa ya kimataifa na Uwanja mkubwa wa kimataifa ili kusudi watalii wakitoka makwao wanashukia moja kwa moja Arusha na cyo kweli kuwa SERIKALI inashindwa kujenga Uwanja wa ndege wa kimataifa Arusha na Stendi kwa sababu mbona panaendelea kujengwa sehemu zengine lakin Arusha pekee ake Ndio panabaguliwa na kutengwa km vipi Kuna haja ya sisi kuunda Arusha republic ikiwa SERIKALI inaendelea kututenga ili tuijenge Arusha wenyewe
 
Si unaona kitu km hichi sasa? Hiki ndio kinafanya mnapigwa PIN, huu ujinga wakubwa wanaujua na ndio hawautaki ujinga km huu Arusha sio Nchi, mmemezeshwa mentality za kwamba Arusha ni Nchi kitu ambacho sio kweli Nchi ni moja tu
Sasa Kama wanalifahamu Hilo mbona Wanatubagua Arusha katika maendeleo
 
Acha ufala bwege wewe kwani huwezi kulia lia na limji lako bila kuitaja Mwanza, usipoitaja Mwanza unadhani hautosikika, pambana na lijiji lako acha kutaja miji ya watu kifala, hiyo Arusha inakalishwa na Geita kwa gdp bado unalialia kama umekalia mkuyengp
Pole Sana kaka nadhani ukweli unaujua Arusha Ndio namba 2 kwa tax and revenue collector baada ya Dar Sasa endelea kujitekenya na kucheka mwenyewe
 
Mpango wa kujenga stand upo na eneo tayari limetengwa, sijui wanangoja nini
Mchawi Ni serikali inaichukia na kuibagua Arusha kisiri Siri Ndio maana unaona haitoi tamko lolote sababu inajua inachokifanya tumeshaishiwa uvumilivu dawa pekee kujijenga Arusha wenyewe kwa mapato ya resources zinazopatikana Arusha na kuanzisha Arusha republic na Arusha itakuwa zaidi ya newyork sababu tutaanza kuona maendeleo kubaguliwa na kuhujumiwa kutakuwa hakupo Tena haiwezekani tukakubali kubaguliwa Kia's hiki utafkir sisi wa Arusha cyo wa Tz
 
Arusha maeneo yote wanayoringia hayapo mkoani kwao.

Walikuwa wanaringia Tanzanite na Mererani hili eneo lipo wilaya ya Simanjiro mkoa wa Manyara

Walikuwa wanaitaja Serengeti hii mbuga ipo Mkoa wa Manyara, Mara na Simiyu.
Sasa hivi mageti ya kuingia hifadhini yanafunguliwa Simiyu, Mara.
Pakijengwa uwanja wa kisasa wa Ndege Mwanza ujue Arusha inazikwa.
Kwa sababu ni karibu zaidi kutoka Mwanza kwenda Serengeti kuliko Arusha.

Mlima Kilimanjaro upo mkoa Mwingine yaani Moshi.

Hivyo unagundua Arusha itazidi kunywea baada ya miaka 15 ijayo.

Watake wasitake
We endelea kujitekenya na kucheka mwenyewe Ila ukweli unajulikana ,kwanza Arusha na Moshi soon tunaungana rasmi kuanzisha republic ya Arusha itaitwa(USA)~yaani United State of Arusha ,tujitegemee wenyew tuijenge Arusha na Moshi kwa mapato yanayotoka Arusha na moshi sababu tumechoka kutengwa na kubaguliwa tangu Uhuru mpaka Sasa hatukubali ujinga huu Tena mwisho unakuja
 
12 Reactions
Reply
Back
Top Bottom