wabunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    JamiiForums Tanzania DC Katambi: Wabunge wa upinzani wanaongoza kwa biashara ya kununua huduma za makahaba jijini Dodoma, orodha ya majina yao ninayo.

    Mkuu wa wilaya ya Dodoma mjini mh Patrobas Katambi amesema biashara ya ukahaba imeshamiri wilayani kwake na wanunuzi wakuu wa Huduma hiyo ni wabunge na zaidi wa upinzani. Katambi amesema kuanzia sasa hawatawakamata makahaba pekee bali pamoja na wateja wao. Amedai kuwa anazo namba za magari ya...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Sheria inasemaje kuhusu Wabunge walioaga Dunia?

    Zimepita siku karibu mwezi sijamsikia spika wa bunge letu kusema lolote kuhusu nafasi za wabunge wetu waliyochukuliwa kwa mapenzi ya mungu. Na sijasikia hata sisi wananchi ambao tunalipa kodi na kuwalipa wabunge kusikia chochote kuzungumzia kuhusu nafasi zilizo wazi kwa waliochukuliwa na muumba...
  3. Sunbae

    JamiiForums Tanzania Chama gani cha Siasa kitapata Wabunge wengi 2020 na kwanini?

    Nina mjadala ningependa kupata maoni yenu yenye back up ya sababu unayohisi/kuwa na yakini chama X kitapata Wabunge wengi kwenye uchaguzi wa mwaka 2020.
  4. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania GE2020 Vyama vya siasa msiteue wabunge waliokaa miaka kumi au zaidi bungeni kugombea ubunge

    Hakuna sheria inayotamka ukomo wa mbunge. Rais tu ndio ana ukomo wa miaka kumi. Kuingiza damu mpya ni muhimu kwa vyama vyenyewe vya siasa na nchi ili kuingiza mawazo mpya na msukumo mpya. Naomba vyama vyote vya siasa ikiwemo CCM, mbunge yeyote aliyekaa bungeni miaka kumi au zaidi awe wa...
  5. APA CHICAGO

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kuna haja ya kuchagua wabunge hamahama?

    October 2020 kuna uchaguzi mkuuu wa Rais, Wabunge na Madiwani. 2015-2020 baada ya uchaguzi kuisha baadaye tulishuhudia wabunge na madiwani wakihama vyama vyao na bahati mbaya sana wamelitia taifa hasara kwa faida zao binafisi. Tumeingia gharama za kurudia uchaguzi katika maeneo mengi fedha...
  6. Z

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ni ngangari, usipoielewa utadhani imedhoofika kwa hama hama ya wabunge na madiwani wake

    Usipoijua historia ya CHADEMA , utadhani au kuamini kuwa chama kimekwisha kama si kufa kabisa ukifuatilia hama hama. Kama wewe ni mmoja kati ya hao wanaoamini hivyo fahamu kuwa huijui historia ya kukuwa kwa chadema. Na ninaamini kuwa wanaoamini hivyo si tu wana- CCM, bali hata baadhi ya...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa CHADEMA kuhamia NCCR/ CUF ni sawa na mchezaji mahiri kuhama Simba kwenda Toto Africans badala ya Yanga!

    Niwapongeze sana Mwita Waitara na Dr Mollel wao hawakutaka kushangaa shangaa barabarani wametoka chama kikuu cha upinzani Chadema na kuhamia direct chama tawala CCM. Bado sijaelewa sababu za msingi kwa Lwakatare kuhamia Cuf hata kama ameahidiwa ukatibu mkuu lakini Ngangari bado ni chama kidogo...
  8. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa viti maalumu CHADEMA, Sabriana Sungura ahamia CUF

    Mbunge wa Viti maalumu Kigoma, Sabriana Sungura ameambatana sambamba na aliyekuwa Mbunge wa Bukoba Mjini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Wilfred Rwakatale kuhamia chama cha Wananchi CUF. Aidha, katika katika shamrashamra za Wabunge hao kupokelewa katika Chama cha CUF, Mh. Sabriana...
  9. Freddie Matuja

    JamiiForums Tanzania Tutawapata akina Musa au akina Joshua kwenye Uchaguzi Mkuu 2020; Rais sina shaka ila kwa Wabunge

    Tumebakiza muda mfupi sana bunge kuvunjwa na kwenda kwenye ungwe nyingine ya hiena hiena. Wengi tunajua Musa aliwavuja Israel bahari ya Shamu, na baadae Joshua akawavusha mto Jordan ili kuingia nchi ya ahadi. Sina shaka na ushindi wa Rais; ila kwa wabunge ambao baadhi yao ndiyo wanakuja kuwa...
  10. W

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hata mwaka huu 2020 CHADEMA, ACT et al hawana wagombea ubunge, udiwani nchi nzima watakuwa baadhi ya maeneo, kuambulia wabunge kiduchu

    Ndugu zangu, Pamoja na kelele nyingi mitandaoni bado vyama vya upinzani hususani CHADEMA, ACT et al hawana na hawataweza kuwa na wagombea ubunge na udiwani kila mahali kwenye Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Vyama vyote vya upinzani havitaweza kutoa wabunge wa kuchaguliwa zaidi ya arobaini...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Wabunge wa viti maalumu wa CCM kutakiwa kugombea majimboni, bunge lijalo viti hivyo ni kwa wanawake wasomi wenye maono

    Ndio taarifa zinazosikika jijini Dodoma kwamba wabunge wote wa viti maalumu na wale wa kuteuliwa sasa wameshapata uzoefu wa kibunge hivyo chama kitawataka wakatafute majimbo wagombee. Bunge lijalo linategemewa kuwa na wabunge wa viti maalumu wote wapya waliosheheni sifa za kisomi na ubobezi...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Usimtukane mamba kabla hujavuka mto. Mikopo yawanasisha wabunge wa CHADEMA kwenye mtego wa Spika Ndugai

    Wameanza Wakala wa Majengo ( TBA) kuwadai moja kwa moja wabunge kodi za pango bila kupitia ofisi ya Katibu wa bunge. Ulipoombwa mwongozo bungeni waziri wa ujenzi mh Kamwelwe alisema mikataba hiyo ni binafsi kati ya TBA na wabunge hivyo wabunge wapambane na hali zao. Kinachoendelea ni benk...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Anatropia Lwehikila awashukia wabunge waliodai kunyanyaswa kingono, asema wanajidhalilisha kutojua wapi pa kupeleka malalamiko yao

    Anaandika Anatropia Theonest Lwehikila (Mbunge wa Viti maalumu Segerea). _________________ Somo la bure kwa wanawake wenzangu hasa wanaokihama CHADEMA. Endeleeni na tuhuma bandia dhidi ya chama kinachojua kilipowatoa. Leo tumependeza, tunanukia, shukrani halisi zimekuwa mateke. Semeni yote...
  14. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ilikuwa na wabunge sita wa kuchaguliwa mkoani Kilimanjaro sasa amebaki Mbowe peke yake

    Itakumbukwa kuwa ngome ya Chadema ilikuwa ni Kilimanjaro na Arusha ambako walikuwa na wabunge wa kuchaguliwa zaidi ya 12. Lakini hadi leo Kilimanjaro inabakiwa na Mbowe pekee kwani waliosalia wanatimkia Nccr mageuzi ilhali Arusha atabakia Lema. Hii maana yake ni kwamba Kaskazini siyo ngome ya...
  15. Z

    JamiiForums Tanzania Lijuakali kawaangusha wabunge vijana

    Lijuakali kaonyesha udhaifu mkubwa sana katika hotuba yake bungeni na katika andiko lake juu ya kupatikana kwa ubunge Wake Kilombero 2015 humu JF. Nikianza na mchango Wake bungeni: Katika mchango Wake kaonyesha hana ujasiri wa kukabiliana na mitikisiko ambayo kwenye siasa ni vitu vya kawaida...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai awataka wabunge wajenge nyumba Dodoma kwani hata wabunge wa Kenya wote wana nyumba Nairobi

    Spika Ndugai amewataka wabunge wafikirie kujenga nyumba jijini Dodoma badala ya kutegemea nyumba za kupanga. Ndugai amesema hayo baada ya wabunge kudai TBA inawasumbua kuhusiana na mikataba yao ya upangaji na kuliomba bunge liwasaidie. Spika Ndugai amewaambia wabunge wanapaswa kujenga nyumba...
  17. dubu

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ilivyopoteza wabunge 17 Kuanzia 2015 hadi Mei 2020, wapo waliohamia CCM

    MBUNGE wa Kilombero, Kusini Mashariki mwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Peter Ambrose Lijualikali (35), amekuwa mbunge wa 17 kutoka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kuondoka bungeni, kujiengua ama kupoteza sifa za kuwa mbunge. Lijualikali alitangaza kuondoka Chadema, jana...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Bajeti yetu iko tayari, kwanini tuwasubiri Kenya na Uganda tusome pamoja tarehe 11 Juni? Wabunge watalipwa posho bila kufanya kazi?

    Jana Spika Ndugai amesema pamoja na kwamba bajeti yetu imewahi kukamilika bado itatulazimu kuwasubiri " Wenzetu" wa Kenya, Rwanda na Uganda ili tuzisome kwa pamoja tarehe 11 June. Maana yake ni kwamba wabunge wataendelea kuwepo Dodoma wakiisubiri hiyo tarehe ya " pamoja " kisha wataendelea...
  19. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wabunge hawa CHADEMA wamekwisha aga rasmi Bungeni

    Wabubge hawa, wakiongozwa na JAFARY MICHAEL wa Moshi ambaye hana hata sifa ya kuwa diwani kwakuwa hakuna mjadala aliyewahi kuchangia akiwa bungeni ama nje ya bunge basi hawa wangine wamejichokea na wanajua hawatarudi. Wanafanya vyema kuwachia wengine, pengine hata wa vyama vingine waingie...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mnyika hawaandikii barua wabunge wa Chadema kuwaelezea hatua zilizochukuliwa na Kamati Kuu dhidi yao?

    Hadi leo wabunge watatu Mh. Lwakatare, Mh. Silinde na Mh. Lijualikali wameshalalamika mbele ya bunge na vyombo vya habari kwamba hawajapewa barua na chama chao kuwaelezea maamuzi ya kikao cha kamati kuu. Wajibu wa kuwaandikia barua hizo ni wa Katibu Mkuu mh John Mnyika lakini amesita kufanya...
Back
Top Bottom