Aina ya wabunge ambao si vyema wakapoteza fedha kugombea tena

CalvinKimaro

JF-Expert Member
Sep 11, 2017
244
312
1. Uliishi nje ya jimbo haswa Dar. Aidha huna makazi ya kueleweka jimboni au hutumii ofisi ya mbunge jimboni. Unakuja "ziara" jimboni kama mtalii.

2. Uliongelea zao lisilolimwa jimboni mwako. Mfano jimboni wanalima michikichi wewe ukaongelea Korosho. Nchi yetu kilimo ndio mwajiri mkuu. Usipoongelea kilimo cha jimboni kwako unakuwa umewaathiri wapiga kura wengi mno jimboni mwako.

3. Ulikagua miradi nje ya jimbo badala ya jimboni mwako. Mfano ulikagua masoko ya mjini Dar ukaacha kukagua masoko jimboni mwako. Ukadhani kwa kukaguwa masoko ya Dar jimboni watakuelewa.

4. Toka uchaguliwe hujuwahi kufanya ziara jimboni hadi 2020 ndio ukajifanya unawatembelea kujua shida zao. Wapiga kura hawajui toka walipokuchagua umerefuka, umenenepa au umekonda. Wanakuona Twitter na YouTube kana kwamba wewe unaishi Ubeljiji.

5. Badala ya kuwasilisha mahitaji ya wanajimbo ulipoteza muda kudai au kuongelea katiba, tume, dikteta, takwimu za Corona, n.k.

6. Badala ya kufanya ziara jimboni ulijigharamia kwenda nje kutukana nchi, kudai misaada izuiwe, watoto wapate mimba, n.k. aidha uliona ni kipaumbele kuzuru Nairobi kumtembelea mgonjwa ukasahau wagonjwa walioko jimboni mwako.

7. Bungeni hukuwahi kutoa hoja yenye maslahi ya Jimbo badala yake ulishiriki kutoroka vikao vya bunge, kutukana na utovu hadi ukafukuzwa, n.k. Yaani wanajimbo hawakunufaika na uwepo wako bungeni.

8. Ulitumia muda mrefu wa ubunge wako vituo vya polisi, mahakamani au jela badala ya jimboni. Tena kwa kesi zisizo na maslahi kwa jimbo.

9. Ulitumia muda mwingi kupigania maslahi ya Chama au kiongozi wa chama badala ya maslahi ya waliokuchagua kuwa mbunge.

10. Ulipinga miradi au juhudi ambazo wapiga kura walikuwa na maslahi nazo. Mfano ulipinga ufufuaji shirika la reli ambalo wapiga kura wananufaika.

11. Ulishiriki mambo ya kijinga. Kwa mfano ulishiriki kufanya vurugu ambazo hakukuwa na maslahi yoyote ya wana jimbo.

12. Ulitoa kipaumbele kwa hoja ambazo hukutumwa na wana Jimbo. Mfano ulitumia nguvu na muda mwingi kudai Bunge live kana kwamba ndio shida kuu ya wanajimbo.

13. Ulisahau ubunge unatokana na jimbo wewe ukajigeuza kuwa mbunge wa Taifa. Unadaka kila hoja hata isiyohusu jimbo lako. Unaongelea majimbo yote!

Haya ni baadhi ya matendo ambayo kama ulishiriki Bora ukipata mafao kawekeze kwenye biashara kuliko kugombea tena. Utajuta!
 
Mkuu kuna hawa wengine umewasahau.
1. Wapo bungeni kwa maslahi ya chama wenyewe kila kitu ndio hata ukiwaambia pilipili ni dawa ya corona wenyewe kazi yao ni kugonga tu meza.
2. Kazi yao ni kupost tu flyover za dar na kusema tunatekeleza wakati jimboni kwake hajawahi kupeleka hata mfuko wa cement.
 
Ulipoteza muda mwingi kugonga meza na kusema ndio

Upumbavu wako umeshajulikana, huu utafiti ungeuwasilisha Lumumba wasingehangaika kununua wabunge wa upinzani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wasiporudi hata wote sawa tu ili na wengine wapate nafas ya kuitumikia nchi yao! Hamna mwenye hati miliki na jimbo!
 
Ndugu Mteja, ili kujikinga wewe mwenyewe na kuwakinga wengine na maambukizi ya Corona, hakikisha kuwa umevaa Barakoa kila utembeleleapo Jamii foramu
 
Uchaguzi ukiwa huru na haki hakuna mwana ccm anaweza kushinda uchaguzi maana hakuna mtz anaitaka ccm
 
Naongezea, wote waliojivua ubunge kisha wakarudi tena kugombea ubunge tena kwa jimbo lile lile ila kwa tiketi ya chama kingine. Hao wanatakiwa si tu wasirudi bungeni Bali pia wafukuzwe nchini kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1. Uliishi nje ya jimbo haswa Dar. Aidha huna makazi ya kueleweka jimboni au hutumii ofisi ya mbunge jimboni. Unakuja "ziara" jimboni kama mtalii.

2. Uliongelea zao lisilolimwa jimboni mwako. Mfano jimboni wanalima michikichi wewe ukaongelea Korosho. Nchi yetu kilimo ndio mwajiri mkuu. Usipoongelea kilimo cha jimboni kwako unakuwa umewaathiri wapiga kura wengi mno jimboni mwako.

3. Ulikagua miradi nje ya jimbo badala ya jimboni mwako. Mfano ulikagua masoko ya mjini Dar ukaacha kukagua masoko jimboni mwako. Ukadhani kwa kukaguwa masoko ya Dar jimboni watakuelewa.

4. Toka uchaguliwe hujuwahi kufanya ziara jimboni hadi 2020 ndio ukajifanya unawatembelea kujua shida zao. Wapiga kura hawajui toka walipokuchagua umerefuka, umenenepa au umekonda. Wanakuona Twitter na YouTube kana kwamba wewe unaishi Ubeljiji.

5. Badala ya kuwasilisha mahitaji ya wanajimbo ulipoteza muda kudai au kuongelea katiba, tume, dikteta, takwimu za Corona, n.k.

6. Badala ya kufanya ziara jimboni ulijigharamia kwenda nje kutukana nchi, kudai misaada izuiwe, watoto wapate mimba, n.k. aidha uliona ni kipaumbele kuzuru Nairobi kumtembelea mgonjwa ukasahau wagonjwa walioko jimboni mwako.

7. Bungeni hukuwahi kutoa hoja yenye maslahi ya Jimbo badala yake ulishiriki kutoroka vikao vya bunge, kutukana na utovu hadi ukafukuzwa, n.k. Yaani wanajimbo hawakunufaika na uwepo wako bungeni.

8. Ulitumia muda mrefu wa ubunge wako vituo vya polisi, mahakamani au jela badala ya jimboni. Tena kwa kesi zisizo na maslahi kwa jimbo.

9. Ulitumia muda mwingi kupigania maslahi ya Chama au kiongozi wa chama badala ya maslahi ya waliokuchagua kuwa mbunge.

10. Ulipinga miradi au juhudi ambazo wapiga kura walikuwa na maslahi nazo. Mfano ulipinga ufufuaji shirika la reli ambalo wapiga kura wananufaika.

11. Ulishiriki mambo ya kijinga. Kwa mfano ulishiriki kufanya vurugu ambazo hakukuwa na maslahi yoyote ya wana jimbo.

12. Ulitoa kipaumbele kwa hoja ambazo hukutumwa na wana Jimbo. Mfano ulitumia nguvu na muda mwingi kudai Bunge live kana kwamba ndio shida kuu ya wanajimbo.

13. Ulisahau ubunge unatokana na jimbo wewe ukajigeuza kuwa mbunge wa Taifa. Unadaka kila hoja hata isiyohusu jimbo lako. Unaongelea majimbo yote!

Haya ni baadhi ya matendo ambayo kama ulishiriki Bora ukipata mafao kawekeze kwenye biashara kuliko kugombea tena. Utajuta!
Muda wa kuandika upuuzi unaupata wapi?
 
Back
Top Bottom