Je, kamati kuu ya CHADEMA ilizungumzia sakata la Meya wa Ubungo au ilijikita kwa wabunge tu?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,919
141,885
Binafsi nilitegemea Katibu mkuu wa CHADEMA mh Mnyika kabla ya kutujuza timua timua ya wabunge chamani angetupa taarifa ya kile kilichomtokea meya wa Ubungo mh Jacob.

Kutolipa uzito suala la meya kutimuliwa kazini tena kwa kisingizio cha kufutwa uanachana kunaacha maswali mengi kuliko majibu.

Kwahiyo hawa mameya kwanini huwa hawapewi umuhimu na kamati kuu ya Chadema?

Tumeona Kimbe pale Iringa na sasa Jacob wa ubungo.

Kulikoni Chadema.

Maendeleo hayana vyama!
 
CCM itueleze Rais yuko wapi? Kwanini kakimbia vita? achana na mambo ya CDM, chadema haiongozi nchi hayo ni ya kwao. Huyu ni Amiri Jeshi Mkuu, yuko wapi?
 
QUOTE="Retired, post: 35323051, member: 376984"]
CCM itueleze Rais yuko wapi? Kwanini kakimbia vita? achana na mambo ya CDM, chadema haiongozi nchi hayo ni ya kwao. Huyu ni Amiri Jeshi Mkuu, yuko wapi?
[/QUOTE]
Inamaana hujui Rais yuko wapi? Inamaana hujui Rais yupo kazini? Una akili timamu wewe?
 
Hawawezi kuzungumzia huo, kwakuwa ni mkakati ovu uliopangwa na CCM! Huku serikali ikiusimamia kwa karibu.
Binafsi nilitegemea Katibu mkuu wa Chadema mh Mnyika kabla ya kutujuza timua timua ya wabunge chamani angetupa taarifa ya kile kilichomtokea meya wa ubungo mh Jacob.

Kutolipa uzito swala la meya kutimuliwa kazini tena kwa kisingizio cha kufutwa uanachana kunaacha maswali mengi kuliko majibu.
Kwahiyo hawa mameya kwanini huwa hawapewi umuhimu na kamati kuu ya Chadema?.... Tumeona Kimbe pale Iringa na sasa Jacob wa ubungo.

Kulikoni Chadema.

Maendeleo hayana vyama!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom