Nimeambiwa wabunge wanang'ang'ania kuingia ndani ya bunge mtu joto la mwili linasoma nyuzi joto 39 ananyimwa kuingia ndani ya ukumbi bado huelewi anatakiwa afanye nini.
Ndani ya bunge maambukizi ya Corona yanashika kasi na bado mnaendelea na bunge. Sisi tusioenda shule tunawashangaa. Hamuoni...
Mpaka sasa wabunge wawili wa CHADEMA Anthony Komu na Joseph Selasini wote kutoka Kilimanjaro wameshatangaza kutoiamini tena Itikadi ya chama hicho na wametangaza kuhamia NCCR Mageuzi kinachoongozwa na Mbunge wa Jimbo la Vunjo, James Mbatia.
Kwanini basi CHADEMA inayoongozwa na Freeman Aikael...
Niko na bwashee Kavishe hapa ananiambia wabunge wote wa Chadema waliohamia CCM ni wale soft soft ambao hawajawahi kuwekwa mahabusu wala kulala polisi kwa sababu za kisiasa.
Bado natafakari lakini kwa haraka nakumbuka Mwita Waitara amewahi kulala mahabusu kwa siku kadhaa.
Wengine ......Ole...
Kesi hiyo kabambe ambayo baadhi ya wabunge wake walitenguliwa viuno na kuvunjwa vunjwa viungo ili kudhibitiwa imeahirishwa hadi tarehe 23/06/2020 itakapotajwa tena
# Tuendelee kunawa mikono kwa maji tiririka na kujifukiza ili kujikinga na Corona
Mfanyabiashara maarufu nchini ndugu Rostam Aziz amemkabidhi Spika wa bunge Mh. Ndugai mashine ya kuwapulizia dawa wabunge ili kudhibiti maambukizi ya Covid 19.
Sasa wabunge kabla ya kuingia Bungeni watapita kwenye mashine hiyo na kupuliziwa dawa mwili mzima kisha wataingia ukumbini.
Maendeleo...
Ujumbe wake huu hapa chini kupitia twitter:
Wabunge wote mliopo Dodoma muwekwe karantini, mpimwe na mfuatiliwe ( contact tracing ). Minister Mwalimu there shall be no two set of laws - for MPs and for the people. Wabunge watengwe, wapimwe na wafuatiliwe. Tulishauri toka mwanzo kuwa Bunge...
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, amesema kuwa mmoja wa Wabunge wa Bunge hilo amethibitika kuwa ana maambukizi ya Virusi vya Corona.
Amesema mbunge huyo anaendelea vizuri na Serikali inaendelea kumuangalia na kumpatia matibabu stahiki. Kwa mujibu wa maelezo ya mbunge huyo...
Hii ni kwa sababu uchaguzi umekaribia na mwezi Juni tarehe 31 Bunge litavunjwa. Sasa wabunge wa Chadema wamekumbwa na kiholo. Wanajiuliza wataenda kuwaambia nini wananchi? Maana walizoea siasa za kupakana matope, na wananchi wamebadilika wanataka siasa za kuletewa maendeleo.
Muda wote wamekuwa...
Huu utaratibu wa kujimilikisha majimbo siyo mzuri kabisa, jimbo ni mali ya wananchi wewe mbunge ni mtu wa kupita tu.
Unaweza kukuta mwanaCCM mwenye PhD ya Mlimani ameng'ang'ana na ubunge pamoja na kutumbuliwa na mwenyekiti wa chama chake bado anajiita yeye ni " mamba"......sasa sijui...
Ndiyo ! Hayo ni maoni yangu ya dhati kabisa ili kupunguza matumizi ya fedha za umma
Tanzania ina halmashauri 185 tu ambazo zingetosha kabisa kuwakilishwa na mbunge mmoja mmoja kila halmashauri wakisaidiwa na madiwani
Kuwa na wabunge 384 kwa nchi kama tanzania ambayo ina changamoto nyingi za...
Baadhi ya Wabunge wameitaka serikali kusitisha utekelezaji wa miradi mikubwa ili fedha hizo kwa sasa zielekezwe katika mapamabano ya ugonjwa wa Corona.
Sambamba na hilo, wameitaka serikali kupunguza mishahara ya viongozi waandamizi serikalini pamoja na wabunge ili fedha hizo zielekezwe katika...
Spika wa bunge mh Job Ndugai amesema wabunge wengi wanaelemewa na madeni na kuna uwezekano mkubwa baadhi yao wakaondoka mikono mitupu baada ya bunge kuvunjwa rasmi mwishoni mwa mwezi June.
Kwa kawaida wabunge hulipwa kiinua mgongo kila baada ya miaka mitano ya kuwatumikia wananchi.
Source...
Wabunge wastaafu na wale watarajiwa wa CCM wamejianzishia mtaa wao huko Ununio na kuuita Bunge Btreet, miongoni mwao ni Mzee Kimiti, Mh. Foya wa Hai, Mh. Adam wa Muleba na Mh. Kippi anayetarajia kugombea Kawe.
Cha kusikitisha wabunge hawa wamefunga barabara na kuzuia mkondo wa maji hali...
Ukifuatilia bunge la Tanzania utagundua kwamba wabunge wa ccm ni kama mabubu , jambo kubwa wanalofanya bungeni ni kugonga meza na kusherehesha kauli ya Ndioooo , kama wanavyotakiwa na chama chao ili kuunga mkono bajeti hata kama ina mapungufu kwa 95%
Hivi ni kweli kwamba wanatishwa na viongozi...
RC Makonda ametembelea kituo cha daladala Makumbusho na kuzungumza na wadau wa kituo hicho wakiwemo madereva, makondakta, wafanyabiashara na abiria wanaosubiri kusafiri.
Makonda ameahidi zoezi la kupuliza dawa mitaani litakuwa endelevu na kuwataka wananchi wawe na nidhamu kwenye swala zima la...
Tumesikia viongozi, wanamichezo, wafanyabiashara wengi sehemu mbalimbali ya dunia wakichukua hatua za ziada kusaidia hili janga.
-kupunguza mishahara yao
-kuchangia fedha na vifaa
-Kutoa mishahara yao kwa ajili ya kusaidia hili janga
Nilitegemea hii serikali ya wanyonge hasa wabunge wanaojua...
Baada ya Makonda kutangaza mtoto wa Mbowe kuwa ameugua korona,jambo ambalo lina muelekeo wa kisiasa,naanza kujiuliza kama bado ni sahihi(salama) kwa wapinzani kupima ugonjwa huu humu ndani ya nchi na hasa wabunge wa upinzani ambao watapaswa kupimwa sambamba na wenzao wa CCM kabla ya kushiriki...
"Mhe. Esther Bulaya, Mhe. Halima Mdee na Mhe. Jesca Kishoa wameruhusiwa juzi, isingekuwa Corona tulikuwa tunafikiria kuwapeleka nje kupata matibabu zaidi. Bado tunatafakari nini cha kufanya, hali zao bado hazijatengemaa, hasa Esther Bulaya aliyeumia ndani." Mhe. John Mrema
Wabunge wa bunge la Kenya wamemtaka mbunge wa Eldas, Adan Keynan aondoke bungeni kwa madai kuwa alikuwa ametoka London
Mbunge wa Endebes, Robert Pukose alimuomba Spika wa bunge, Justin Muturi kumuamuru mbunge huyo atoke ili kulinda afya za wabunge wengine
Spika akawaamuru wabunge ambao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.