wabunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Wabunge waliomaliza muda hawatakiwi kuitisha mikutano ya hadhara sababu ni raia wa kawaida

    Ubunge ukimalizika kipindi mtu aliyekuwa Mbunge haruhusiwi kuitisha mkutano wa hadhara popote sababu ni raia wa kawaida. Polisi msitoe vibali.
  2. D

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kugombea Urais ruksa hata Wabunge wote lakini kugombea Uenyekiti unatafuta matatizo makubwa na ni hatari sana

    Ndani ya CHADEMA democrasia zero lakini wakiwa nje ya CHADEMA democrasia 100% Kuna wakati nakumbuka walikuwa wanamsema marehemu Nkurunzinza na Kagame wanang'ang'ania madaraka wakati wenyewe Mzee Mbowe anavipindi zaidi ya vinne ofisini, ni ngumu sana mtu kuwaelewa hawa watu. Leo hii wameweka...
  3. neema shamuhenya

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wameshapotea kwa hili la kukimbiwa na wabunge wao wenye weledi

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) chapoteza Wanachama wake wengi kuliko mwaka wa Uchaguzi 2015. Wabunge waliowengi wamekikimbia Chama na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi CCM na baadhi yao kujiunga na NCCR-Mageuzi. Ukweli ni kwamba CHADEMA wamekuwa wapole ila ndio ukishakuwa Mpinzani...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Chadema ina mashabiki wengi lakini haina wapiga kura hata 2015 walibebwa na kura za CCM kupitia Lowassa na kupata wabunge wengi!

    Kiukweli kuna wakati huwa nasikitika na kushangaa ninapoona makomredi wanaihofia Chadema na ACT wazalendo. Katika uhalisia Chadema na ACT wazalendo havina wapiga kura wa kutosha bali vimesheheni mashabiki na wengine ni mashabiki maandazi tu wa mitandaoni. 2015 mzee Lowassa ndiye aliyezibeba...
  5. 5

    JamiiForums Tanzania Picha: Wajue wabunge wa CUF waliokataa katakata kununuliwa na sasa kujiunga rasmi na ACT Wazalendo

    Wamekataa kununuliwa na kuuza utu wao. Hakika hawa ni watu wenye dhamira ya kweli wanastahili kuheshimiwa...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Wenyeviti kwa tiketi ya CHADEMA katika kanda ya Serengeti, watunukiwa vyeti vya heshima

    Hongereni sana kwani mmewaza sawa sawa maana haikuwa kazi rahisi na hata sisi wengine humu mitandaoni tulipendekeza kitu chenye kufafana na hiki: Wabunge wa Bunge la 11 na waliokuwa wenyeviti wa halmashauri kwa tiketi ya CHADEMA katika kanda ya serengeti leo wametunukiwa vyeti vya heshima kwa...
  7. Mzukulu

    JamiiForums Tanzania Je, kwa Ukweli huu Kuntu wa Spika Ndugai lawama zetu tuzipeleke kwa Wabunge husika au Wapiga Kura Wao au Mfumo mzima wa Siasa za Tanzania?

    Ni ukweli usiopingika yapo mambo Watanzania hawayajui, ni kweli baadhi ya wabunge hasa hao wenye fujo, baadhi yao wanatumia dawa za kulevya, bangi na pombe kali. Anakuja pale si yeye, we unadhani ni yeye, kumbe si yeye, kwa hiyo ni tabu. Watu wa namna hiyo ukiwapa kamera ni tabu,- Spika wa...
  8. ACT Wazalendo

    JamiiForums Tanzania Kuelekea Uchaguzi Mkuu: Chama cha ACT-Wazalendo chapokea 21 waliokuwa Wabunge wa CUF

    Salaam Wakuu, Leo Muda si Mrefu, Viongozi Wakuu wa Chama cha ACT Wazalendo kitaongea na Wananchi na Dunia kwa Ujumla. Ni tukio kubwa haijawahi kutokea. ====== UPDATES: 1048HRS: Kwa sasa ni Burudani inaendelea 1100HRS: Viongozi Wakuu wa ACT Wazalendo wanaingia Ukumbini wakiongonzwa na Zitto...
  9. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania CHADEMA imeishiwa kupendwa wabunge wote wanaohama vyama mbalimbali hakuna anayeenda CHADEMA wanaenda vyama vingine

    Moja ya sifa ya chama kupendwa ni kuangalia wabunge wahama vyama CHADEMA imepoteza mvuto wa kupendwa. Wabunge wake wengi wanaondoka chadema kwenda vyama vingine na wanaohama vyama vingine hakuna hata mmoja hadi sasa aliyehama chama chochote kuelekea chadema!! Hata chama kidogo Kama ACT...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Mafuriko wa Wabunge wa Upinzania kuhamia CCM: Baada ya Bunge kuvunjwa,wabunge wa Upinzani waliomiminika kwenda CCM wako wapi?

    Tuliambiwa kuwa Bunge litapovunjwa au kukaribia kuvunjwa,Wabunge wa upinzani, hasa wa CHADEMA, wangehama kwa wingi mithili ya maji ya mafuriko kwenda CCM na kwamba CHADEMA ndio ingekufa rasimi. Swali: Mafuriko hayo yako wapi? Je, wale Wabunge Bunge wa viti maalumu waliohama hivi karibuni...
  11. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Uungwana: Wabunge wa CHADEMA waliomaliza muda wao watoa shukrani kwa chama chao na wapiga kura wao

    Huyu anaitwa Mh Lucy Owenya aliyekuwa Mbunge wa viti maalum , huyu ni miongoni mwa wengi walioshinda tamaa ya kujiuza na kumalizia kipindi chao cha ubunge kwa kishindo. Ni mmoja kati ya wote waliotoa shukrani kwa chama chao na wananchi .
  12. mgt software

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wabunge mmemaliza muda wenu msirudi Dodoma kupiga mizinga. Pesa zenu ziwekeze mzalishe ajira; msizitumie kwenye rushwa ya kuomba kura

    wana JF Haya sasa mshapewa chenu, sasa tunataka kuona mahubiri yenu mliyokuwa mnatuhutubia kuhusu ajira , kilimo kwanza, viwanda. tayari mtaji wa kuwa na viherani saba kuwa kiwanda mnazo hela. Sisi wasio na kazi tunangoja hela zenu zitutengenezee ajia. Muigeni Mh. Pinda anafuga Nyuki, anafuga...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Nimesikia Lumumba wanasema kwa wabunge "10 Yatosha"

    Kama taarifa hizi ni za kweli basi bungeni kutakuwa na mabadiliko makubwa na hii italeta afya kwenye bunge la 12. Kwamba wabunge wote waliokaa bungeni kwa tiketi ya CCM kwa miaka 10 au zaidi uwezekano wa kupitishwa na CCM ya chama ni 5% tu na 95% ni kukatwa. Wenyewe wanasema eti "10 Yatosha"...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo baadhi ya wabunge wa upinzani wanavyochukuliwa na jamii baada ya miaka karibu mitano ya shida na mateso

    Chanzo:Tony Alfred on twitter. Maoni yangu: Kuna mtu/watu watakuwa wanajisikia vibaya sana kusoma tweet hizi(maneno haya) na wajue tu watakumbukwa kwa matendo yao na si kwa structures watazotuachia kwani wako wengine watakaoikuja kujenga structures zingine bora zaidi kama ambavyo wao sasa...
  15. Fredwash

    JamiiForums Tanzania Tuelimishane kuhusu Mbunge, kuvunjwa kwa Bunge na Baraza la Mawaziri

    Naomba Kujuzwa yafuatayo Rais anapofungwa Bunge, je Bunge ndio linakuwa limevunjwa rasmi kwa maana ya Ubunge wa Mbunge unakoma? ( kwa maana ninavyofahamu pamoja na mtu kushinda/kuteuliwa kuwa mbunge ubunge wange unaanza rasmi pale alipokasimiwa/apishwa rasmi Bungeni). 2. Kama Bunge...
  16. WilsonKaisary

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwa wabunge na bunge kiujumla

    Napenda kuwapongeza wabunge wa jamhuri la muungano wa Tanzania kupitia kambi kuu mbili za bunge, kwa kumaliza muhura wa takribani miaka mitano. 1:Hongera kwa kambi ya Chama tawala Yani wabunge wa CCM kwa kufumbia macho vitendo vya kinyama, uonevu na kikatili walivyokuwa wanafanyiwa watanzania...
  17. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Picha: Wajue baadhi Wabunge Mashujaa wa CHADEMA waliokataa kuuza utu wao, wamo walioahidiwa hadi Tsh bil 1

    Kumbuka kwamba hawa ndio wabunge waliobambikiwa kila aina ya kesi za kutunga, wametukanwa matusi ya kila aina na wamedhalilishwa ndani ya bunge huku Spika akichekelea lakini wamesimamia kile kilichowapeleka hadi mwisho wa safari , heshima waliyojijengea itaendelea kudumu milele. Tunamuomba...
  18. Chakaza

    JamiiForums Tanzania Mmewatesa, kuwanyanyasa na kuwatweza lakini Mioyo yao bado imara. Fundisho

    Hakika ukiangalia haka ka clip kafupi moyo lazima ukusisimke na kujiuliza hawa viongozi wana upendo kiasi gani baada ya kupitia machungu na manyanyaso kiasi hiki kwa miaka mitano? Hakika Chadema ni mpango wa Mungu na kuwaacha hawa na kuchagua wale wajisifiao na kulazimisha kuabudiwa ni sawa na...
  19. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania GE2020 Japo ni mchungu 'Kumesa' lakini ndio ukweli wenyewe; watakaorudi Bungeni ni 'wa kijani', kubali kataa. Mwenye masikio na asikie!

    Wanabodi, "Watakao Rudi Bungeni ni 'Wakijani' " Haya sii maneno yangu, na sio maneno ya kuambiwa ni maneno yaliyotamkwa na ambayo nimeyasikia mwenyewe kwa masikio yangu mwenyewe!. Japo maneno haya ni maneno machungu kumeza, kwasababu Tanzania ni ya Watanzania wote na siyo ya 'wakijani' tuu...
  20. G Sam

    JamiiForums Tanzania "T-Shirts za wabunge zilizoingia na fly emirates zimewafanya wapagawe waone watanzania wote tunafanana!

    Jana saa nane ya usiku dege la fly Emirates lilitua uwanja wa kimataifa wa BoT kushusha maburungutu ya T-shirts za wabunge. Wengi wao wameona sms zao walipoamka asubuhi. Hivyo wana furaha hasa wale wa CCM ambao wao huangalia zaidi mavazi yao kuliko kitu kingine! Sasa kwa hizi T-shirts za full...
Back
Top Bottom