Uchaguzi 2020 Wabunge hawa CHADEMA wamekwisha aga rasmi Bungeni

Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Feb 20, 2016
14,045
20,407
Wabubge hawa, wakiongozwa na JAFARY MICHAEL wa Moshi ambaye hana hata sifa ya kuwa diwani kwakuwa hakuna mjadala aliyewahi kuchangia akiwa bungeni ama nje ya bunge basi hawa wangine wamejichokea na wanajua hawatarudi.

Wanafanya vyema kuwachia wengine, pengine hata wa vyama vingine waingie kubadili upepo.

1. Mh Latifah Chande
2. Mh David Silinde
3. Mh Peter Lijulikali
4. Mh Mariam Msabaha
5. Mh Joyce Sokombi
6. Mh Jafari Michael
7. Mh. Susaane Maselle
8. Mh Muganyizi Lwakatare
9. Mh Anthony Komu
10. Mh Joseph Selasini
11. Mh William Qambalo
12 .Mh Cecilia Paresso
13. Mh Sware Semesi
14. Mh Susan Lyimo
15. Mh Lucia Mlowe
16. Mh Saed Kubenea
17. Mh Anna Gideria
18. Mh Rose Kamili
19. Mh Lucy Magereli
20. Mh Salome Makamba
 
So sad
Chadema ilifanya kosa moja kubwa ambalo Mbowe atalijutia hadi uzee wake.

Waliacha kuijenga Chadema katika misingi yake wakamchukua Lowasa.

Wengi wa wabunge walioshinda Chadema walitokea Ccm, Kwahiyo kule Chadema walifuata madaraka

Bahati mbaya wakakuta chairman ni dikteta anakula ruzuku peke yake
 
Tanzania hakuna mpinzani wa kweli.
Bali kuna chapuo la Ccm ndo mana hawana tofauti katika kuongoza chama.

Wote wanatizama ujazo wa matumbo yao kwa kodi za wanyonge wasiojielewa na wanaojielewa.
CCM wanasema NCCR, ACT ndio wapinzani wa kweli, yaani NCCR ndiyo itawaondoa MADARAKANI, maana mpinzani JUKUMU KUU NI KUKUONDOA MADARAKANI, kwakweli wewe ndugu unahitaji uji wa lishe na kujifukiza ka ambunge wa kisarawe zikurudie
 
CHADEMA ina hazina kubwa ya vijana ambao wanachipukia kwenye siasa hasa kwenye kundi la akina mama hivyo kwa viti maalumu sina wasiwasi kina Hanje wataingia bungeni.

Kwa wabunge wa kuchaguliwa majimboni chadema wana hazina kubwa ya vijana hivyo bado halitakuwa tatizo sana kupata wagombea wengi wazuri kupeperusha bendera ya chama.

Kuhusu kushiriki shughuli za siasa wataendelea kuwa na mchango mkubwa kwa chama.
 
Tatizo lilianzia wapi na limelelewa mpaka limefika hapa leo?

Jibu analo M/kiti Chama, wengine mtaongea bahati na sibu Tu, M/kiti ufike Wakati atwambie mpango wake
 
Wabubge hawa, wakiongozwa na JAFARY MICHAEL wa Moshi ambaye hana hata sifa ya kuwa diwani kwakuwa hakuna mjadala aliyewahi kuchangia akiwa bungeni ama nje ya bunge basi hawa wangine wamejichokea na wanajua hawatarudi.

Wanafanya vyema kuwachia wengine, pengine hata wa vyama vingine waingie kubadili upepo.

1. Mh Latifah Chande
2. Mh David Silinde
3. Mh Peter Lijulikali
4. Mh Mariam Msabaha
5. Mh Joyce Sokombi
6. Mh Jafari Michael
7. Mh. Susaane Maselle
8. Mh Muganyizi Lwakatare
9. Mh Anthony Komu
10. Mh Joseph Selasini
11. Mh William Qambalo
12 .Mh Cecilia Paresso
13. Mh Sware Semesi
14. Mh Susan Lyimo
15. Mh Lucia Mlowe
16. Mh Saed Kubenea
17. Mh Anna Gideria
18. Mh Rose Kamili
19. Mh Lucy Magereli
20. Mh Salome Makamba
Kama Chadema watapata walao Wabunge watano wa kuchaguliwa 2020 ntatembea uchi kutoka Mbagala hadi Tegeta

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CHADEMA ina hazina kubwa ya vijana ambao wanachipukia kwenye siasa hasa kwenye kundi la akina mama hivyo kwa viti maalumu sina wasiwasi kina Hanje wataingia bungeni.

Kwa wabunge wa kuchaguliwa majimboni chadema wana hazina kubwa ya vijana hivyo bado halitakuwa tatizo sana kupata wagombea wengi wazuri kupeperusha bendera ya chama.

Kuhusu kushiriki shughuli za siasa wataendelea kuwa na mchango mkubwa kwa chama.
hao viti maalum si tuasikia ili upate ni mpaka utoe ilee je wako tayari kutoa?
 
"Haya yanayotoke sasa, watu kuipa uzito hotuba ya Mhe. Mbowe kuliko ya Mhe. Magufuli, isiwakasirishe CCM, bali waone ni wapi wameteleza na wapi Mbowe ameenda mbele zaidi, Spika asituchukie bali akishauri chama chake." Mhe. Owomkyalo
Ndoto za mchana, kwani Mbowe alihutubia nn maana hata sijui. Hotuba za Magufuli zinafuatiliwa na vyombo vyote vya habari Duniani na wananchi ndo usiseme

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wabubge hawa, wakiongozwa na JAFARY MICHAEL wa Moshi ambaye hana hata sifa ya kuwa diwani kwakuwa hakuna mjadala aliyewahi kuchangia akiwa bungeni ama nje ya bunge basi hawa wangine wamejichokea na wanajua hawatarudi.

Wanafanya vyema kuwachia wengine, pengine hata wa vyama vingine waingie kubadili upepo.

1. Mh Latifah Chande
2. Mh David Silinde
3. Mh Peter Lijulikali
4. Mh Mariam Msabaha
5. Mh Joyce Sokombi
6. Mh Jafari Michael
7. Mh. Susaane Maselle
8. Mh Muganyizi Lwakatare
9. Mh Anthony Komu
10. Mh Joseph Selasini
11. Mh William Qambalo
12 .Mh Cecilia Paresso
13. Mh Sware Semesi
14. Mh Susan Lyimo
15. Mh Lucia Mlowe
16. Mh Saed Kubenea
17. Mh Anna Gideria
18. Mh Rose Kamili
19. Mh Lucy Magereli
20. Mh Salome Makamba
Poleni sana chadema wabunge 20 wamewakacha wamebaki wabunge 15. Katika hao 15 kuna tetesi wabunge 10 watatangaza kujivua chadema tarehe 20 /06/2020

Sent using Jamii Forums mobile app
 
So sad
Chadema ilifanya kosa moja kubwa ambalo Mbowe atalijutia hadi uzee wake.

Waliacha kuijenga Chadema katika misingi yake wakamchukua Lowasa.

Wengi wa wabunge walioshinda Chadema walitokea Ccm, Kwahiyo kule Chadema walifuata madaraka

Bahati mbaya wakakuta chairman ni dikteta anakula ruzuku peke yake
Mbowe angekuwa anakula ruzuku CAG anayekagua hesabu angeshamchoresha kitamb na yule bwana wa visasi aliyembomolea club Billcanas na kumharibia mashamba kule Moshi angeshampoteza kule gerezani alikowahifadhi Kitilya na wenzake mwaka wa 5 sasa bila haya.
 
So sad
Chadema ilifanya kosa moja kubwa ambalo Mbowe atalijutia hadi uzee wake.

Waliacha kuijenga Chadema katika misingi yake wakamchukua Lowasa.

Wengi wa wabunge walioshinda Chadema walitokea Ccm, Kwahiyo kule Chadema walifuata madaraka

Bahati mbaya wakakuta chairman ni dikteta anakula ruzuku peke yake
Kama unayo familia basi ina matatizo makubwa ya kuhimili mwenendomilipuko.Wafikishie pole
 
Back
Top Bottom