wabunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    JamiiForums Tanzania Bunge zima wakiwemo wabunge wa CHADEMA na NCCR Mageuzi waimba "Tuna Imani na Magufuli"

    Rais Magufuli ni chaguo la Mungu. Bunge zima lilisimama wakiwemo wabunge wote na wageni wote na kuimba wimbo wa " Tuna Imani na Magufuli" Bunge limewaomba wananchi wajitokeze mwezi Oktoba na kumchagua Dr. Magufuli na wabunge na madiwani wanaoendana na kasi ya Hapa Kazi Tu Chanzo: Eatv...
  2. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Bajeti zote za nchi za Afrika Mashariki zinasomwa kwa pamoja muda mmoja tuzichambue hapa

    Mawaziri wote wa Fefha wa Nchi za Afrika Mashariki saa kumi Bajeti zote za nchi za Afrika Mashariki zinasomwa kwa pamoja muda mmoja tuzichambue hapa kwa kuzilinyanisha na kufanya analysis
  3. J

    JamiiForums Tanzania Ole Sendeka: Mzee Lowassa alishatabiri wapinzani kusikika tena ni baada ya miaka 50 kuanzia 2020, wabunge wa CHADEM kapigeni picha za ukumbusho

    Mkuu wa mkoa wa Njombe mh Ole Sendeka amewataka wabunge wa upinzani kusoma alama za nyakati na kujisalimisha CCM kwa haraka maana hakuna muda wa kupoteza. Sendeka amesema mzee Lowassa mwaka 2015 alishatabiri kuwa wapinzani itawabidi wasubiri kwa muda wa miaka 50 ndio wataanza kusikika tena na...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Mbunge Sungura: Namtakia Mhe. Mbowe uponyaji wa haraka, nawaomba wabunge wenzangu tuwe watu wa dini tutakiane mema siyo mabaya

    Mbunge wa CHADEMA aliyehamia CUF Mhe. Sabrina Sungura amemtakia Mhe. Mbowe uponyaji wa haraka na kusema hiyo ni mitihani tu na Mungu atamjaalia kuishinda. Sungura amewataka wabunge wenzake wawe washika dini kwa kutakiana mambo ya heri badala ya kuombeana vifo. Amesisitiza kuwa Mungu hapendi...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Unaweza usiamini kama bungeni kuna wabunge Wakristo

    Kuna wakati nikilitazama bunge na matukio yake huwa nashindwa kulitofautisha na kundi lolote la kipagani. Tena huwa najiuliza kuna aliyeapa kwa kushika Biblia mle ndani? Hebu fikiria wabunge watatu wamekufa kwa mfululizo juzi kati tu lakini wabunge hawana huzuni yoyote hata kuzika hawakwenda...
  6. Chief Kabikula

    JamiiForums Tanzania Hivi haya mashambulizi ya Viongozi wa Upinzani, baada ya Lissu na Mbowe nani atafuatia?

    Hill ni swali fikirishi, kuweza kuona mwelekro was matukio haya. Nini chanzo, walengwa kina nani? Sababu Nini? Wahusika kina Nani? Adui wa Mbowe na Lissu nani? Kwanini matukio yote tatokee Dodoma? Tena eneo lilelile? Ulinzi vipi ulienda wapi? Maswali Ni mengi kwa kweli.
  7. Superbug

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wabunge waliohama CHADEMA "ndugu yangu usisahau unapokwenda vilevile ukumbuke ulipotoka"

    Miaka ya 80 kulikuwa na huu wimbo maarufu Sana " ndugu yangu usisahau unapokweendaa VILEVILE UKUMBUKE ULIPOTOKA*" Sijui muimbaji alimaanisha Nini lakini naomba nitumie maneno ya wimbo huo kuwaasa wabunge waliokuwa chadema na kuhamia CCM eti wanaenda kuunga mkono juhudi. Hameni kwa heshima bila...
  8. J

    JamiiForums Tanzania DC Katambi: Wabunge wa upinzani wanaongoza kwa biashara ya kununua huduma za makahaba jijini Dodoma, orodha ya majina yao ninayo.

    Mkuu wa wilaya ya Dodoma mjini mh Patrobas Katambi amesema biashara ya ukahaba imeshamiri wilayani kwake na wanunuzi wakuu wa Huduma hiyo ni wabunge na zaidi wa upinzani. Katambi amesema kuanzia sasa hawatawakamata makahaba pekee bali pamoja na wateja wao. Amedai kuwa anazo namba za magari ya...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Sheria inasemaje kuhusu Wabunge walioaga Dunia?

    Zimepita siku karibu mwezi sijamsikia spika wa bunge letu kusema lolote kuhusu nafasi za wabunge wetu waliyochukuliwa kwa mapenzi ya mungu. Na sijasikia hata sisi wananchi ambao tunalipa kodi na kuwalipa wabunge kusikia chochote kuzungumzia kuhusu nafasi zilizo wazi kwa waliochukuliwa na muumba...
  10. Sunbae

    JamiiForums Tanzania Chama gani cha Siasa kitapata Wabunge wengi 2020 na kwanini?

    Nina mjadala ningependa kupata maoni yenu yenye back up ya sababu unayohisi/kuwa na yakini chama X kitapata Wabunge wengi kwenye uchaguzi wa mwaka 2020.
  11. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania GE2020 Vyama vya siasa msiteue wabunge waliokaa miaka kumi au zaidi bungeni kugombea ubunge

    Hakuna sheria inayotamka ukomo wa mbunge. Rais tu ndio ana ukomo wa miaka kumi. Kuingiza damu mpya ni muhimu kwa vyama vyenyewe vya siasa na nchi ili kuingiza mawazo mpya na msukumo mpya. Naomba vyama vyote vya siasa ikiwemo CCM, mbunge yeyote aliyekaa bungeni miaka kumi au zaidi awe wa...
  12. APA CHICAGO

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kuna haja ya kuchagua wabunge hamahama?

    October 2020 kuna uchaguzi mkuuu wa Rais, Wabunge na Madiwani. 2015-2020 baada ya uchaguzi kuisha baadaye tulishuhudia wabunge na madiwani wakihama vyama vyao na bahati mbaya sana wamelitia taifa hasara kwa faida zao binafisi. Tumeingia gharama za kurudia uchaguzi katika maeneo mengi fedha...
  13. Z

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ni ngangari, usipoielewa utadhani imedhoofika kwa hama hama ya wabunge na madiwani wake

    Usipoijua historia ya CHADEMA , utadhani au kuamini kuwa chama kimekwisha kama si kufa kabisa ukifuatilia hama hama. Kama wewe ni mmoja kati ya hao wanaoamini hivyo fahamu kuwa huijui historia ya kukuwa kwa chadema. Na ninaamini kuwa wanaoamini hivyo si tu wana- CCM, bali hata baadhi ya...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa CHADEMA kuhamia NCCR/ CUF ni sawa na mchezaji mahiri kuhama Simba kwenda Toto Africans badala ya Yanga!

    Niwapongeze sana Mwita Waitara na Dr Mollel wao hawakutaka kushangaa shangaa barabarani wametoka chama kikuu cha upinzani Chadema na kuhamia direct chama tawala CCM. Bado sijaelewa sababu za msingi kwa Lwakatare kuhamia Cuf hata kama ameahidiwa ukatibu mkuu lakini Ngangari bado ni chama kidogo...
  15. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa viti maalumu CHADEMA, Sabriana Sungura ahamia CUF

    Mbunge wa Viti maalumu Kigoma, Sabriana Sungura ameambatana sambamba na aliyekuwa Mbunge wa Bukoba Mjini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Wilfred Rwakatale kuhamia chama cha Wananchi CUF. Aidha, katika katika shamrashamra za Wabunge hao kupokelewa katika Chama cha CUF, Mh. Sabriana...
  16. Freddie Matuja

    JamiiForums Tanzania Tutawapata akina Musa au akina Joshua kwenye Uchaguzi Mkuu 2020; Rais sina shaka ila kwa Wabunge

    Tumebakiza muda mfupi sana bunge kuvunjwa na kwenda kwenye ungwe nyingine ya hiena hiena. Wengi tunajua Musa aliwavuja Israel bahari ya Shamu, na baadae Joshua akawavusha mto Jordan ili kuingia nchi ya ahadi. Sina shaka na ushindi wa Rais; ila kwa wabunge ambao baadhi yao ndiyo wanakuja kuwa...
  17. W

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hata mwaka huu 2020 CHADEMA, ACT et al hawana wagombea ubunge, udiwani nchi nzima watakuwa baadhi ya maeneo, kuambulia wabunge kiduchu

    Ndugu zangu, Pamoja na kelele nyingi mitandaoni bado vyama vya upinzani hususani CHADEMA, ACT et al hawana na hawataweza kuwa na wagombea ubunge na udiwani kila mahali kwenye Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Vyama vyote vya upinzani havitaweza kutoa wabunge wa kuchaguliwa zaidi ya arobaini...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Wabunge wa viti maalumu wa CCM kutakiwa kugombea majimboni, bunge lijalo viti hivyo ni kwa wanawake wasomi wenye maono

    Ndio taarifa zinazosikika jijini Dodoma kwamba wabunge wote wa viti maalumu na wale wa kuteuliwa sasa wameshapata uzoefu wa kibunge hivyo chama kitawataka wakatafute majimbo wagombee. Bunge lijalo linategemewa kuwa na wabunge wa viti maalumu wote wapya waliosheheni sifa za kisomi na ubobezi...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Usimtukane mamba kabla hujavuka mto. Mikopo yawanasisha wabunge wa CHADEMA kwenye mtego wa Spika Ndugai

    Wameanza Wakala wa Majengo ( TBA) kuwadai moja kwa moja wabunge kodi za pango bila kupitia ofisi ya Katibu wa bunge. Ulipoombwa mwongozo bungeni waziri wa ujenzi mh Kamwelwe alisema mikataba hiyo ni binafsi kati ya TBA na wabunge hivyo wabunge wapambane na hali zao. Kinachoendelea ni benk...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Anatropia Lwehikila awashukia wabunge waliodai kunyanyaswa kingono, asema wanajidhalilisha kutojua wapi pa kupeleka malalamiko yao

    Anaandika Anatropia Theonest Lwehikila (Mbunge wa Viti maalumu Segerea). _________________ Somo la bure kwa wanawake wenzangu hasa wanaokihama CHADEMA. Endeleeni na tuhuma bandia dhidi ya chama kinachojua kilipowatoa. Leo tumependeza, tunanukia, shukrani halisi zimekuwa mateke. Semeni yote...
Back
Top Bottom