Wabunge wa Chadema wanaweza kukosa " bahati" ya kukutana uso kwa uso na Rais Magufuli na kupiga picha ya pamoja hadi bunge linavunjwa!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,616
141,447
Ikumbukwe kwamba wakati Rais Magufuli anafungua bunge mwishoni mwa 2015 wabunge wa Chadema walisusia kikao na kutoka nje ya ukumbi.

Mwishoni mwa mwezi huu Rais Magufuli atalivunja bunge na kuna kila dalili huenda wabunge wa Chadema asilia hawatakuwepo ukumbini bali watakuwepo wale Chadema " masalia"
Ndio kusema wabunge wa Chadema asilia wanaweza kuikosa fursa adhimu ya kukutana na mkuu wa nchi katika kipindi chote cha ubunge.

Naelewa baadhi yao kama mchungaji Msigwa, Prof Jay, Sugu, Lema na hata Heche walishakutana na Rais katika majimbo yao wakati Dr Magufuli alipofanya ziara lakini sikumbuki kuwaona wakibahatika kupiga picha ya pamoja, Labda Sugu pekee ndio alibahatika kupanda gari ya Rais Magufuli pale Mbeya na kuwasalimia wapiga kura wake.

Maendeleo hayana vyama!
 
Labda kama hiyo picha itaenda kupigiwa quaranteen Chato vinginevyo Jiwe hawezi toka mafichoni...kwanza Wabunge wenyewe wanamuogopa...manake kule kukohoa kwa juzi si kwa kawaida
Nasikia anapumulia mashine muda huu, ile aliyoikwapua pale bugando.
 
Kama DJ na ushamba wake alishaenda ulaya na kupiga picha nje ya jengo la bunge la ulaya kisha akaituma kwenye mitandao sasa sipati picha angebahatika kupiga picha na JPM nadhani ange itupia kwenye mitandao yote ya kijamii kuonyesha alivyo karibu na JPM.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ikumbukwe kwamba wakati Rais Magufuli anafungua bunge mwishoni mwa 2015 wabunge wa Chadema walisusia kikao na kutoka nje ya ukumbi.

Mwishoni mwa mwezi huu Rais Magufuli atalivunja bunge na kuna kila dalili huenda wabunge wa Chadema asilia hawatakuwepo ukumbini bali watakuwepo wale Chadema " masalia"
Ndio kusema wabunge wa Chadema asilia wanaweza kuikosa fursa adhimu ya kukutana na mkuu wa nchi katika kipindi chote cha ubunge.

Naelewa baadhi yao kama mchungaji Msigwa, Prof Jay, Sugu, Lema na hata Heche walishakutana na Rais katika majimbo yao wakati Dr Magufuli alipofanya ziara lakini sikumbuki kuwaona wakibahatika kupiga picha ya pamoja, Labda Sugu pekee ndio alibahatika kupanda gari ya Rais Magufuli pale Mbeya na kuwasalimia wapiga kura wake.

Maendeleo hayana vyama!

Nime click hii thread,Im a part of a problem!

Next time,I will be a smarter nigga
 
Swali ni Je, tarehe hiyo kilichompeleka aliko kitakuwa kimeshaisha?

Usishangae kikao kikawa kwa video conference maana technologia imeshakuwa hasa kwa mazingira ya sasa inakuwa vema zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Njoja tusubiri manake kama yule bwana alikimbia ile mikutano ya sadaki na ile ya easti afrika ya njia ya video kweli hapo mjengoni atatokea kweli nafikiri atawakilishwa na Bia yetu
 
Ikumbukwe kwamba wakati Rais Magufuli anafungua bunge mwishoni mwa 2015 wabunge wa Chadema walisusia kikao na kutoka nje ya ukumbi.

Mwishoni mwa mwezi huu Rais Magufuli atalivunja bunge na kuna kila dalili huenda wabunge wa Chadema asilia hawatakuwepo ukumbini bali watakuwepo wale Chadema " masalia"
Ndio kusema wabunge wa Chadema asilia wanaweza kuikosa fursa adhimu ya kukutana na mkuu wa nchi katika kipindi chote cha ubunge.

Naelewa baadhi yao kama mchungaji Msigwa, Prof Jay, Sugu, Lema na hata Heche walishakutana na Rais katika majimbo yao wakati Dr Magufuli alipofanya ziara lakini sikumbuki kuwaona wakibahatika kupiga picha ya pamoja, Labda Sugu pekee ndio alibahatika kupanda gari ya Rais Magufuli pale Mbeya na kuwasalimia wapiga kura wake.

Maendeleo hayana vyama!
Ume address hili suala as if kupiga picha na magi ni tiketi ya kwenda Mbinguni kumbe ni ishara kwamba ulikubaliana na ukandamizaji uliotokea kwenye utawala wake
 
Ikumbukwe kwamba wakati Rais Magufuli anafungua bunge mwishoni mwa 2015 wabunge wa Chadema walisusia kikao na kutoka nje ya ukumbi.

Mwishoni mwa mwezi huu Rais Magufuli atalivunja bunge na kuna kila dalili huenda wabunge wa Chadema asilia hawatakuwepo ukumbini bali watakuwepo wale Chadema " masalia"
Ndio kusema wabunge wa Chadema asilia wanaweza kuikosa fursa adhimu ya kukutana na mkuu wa nchi katika kipindi chote cha ubunge.

Naelewa baadhi yao kama mchungaji Msigwa, Prof Jay, Sugu, Lema na hata Heche walishakutana na Rais katika majimbo yao wakati Dr Magufuli alipofanya ziara lakini sikumbuki kuwaona wakibahatika kupiga picha ya pamoja, Labda Sugu pekee ndio alibahatika kupanda gari ya Rais Magufuli pale Mbeya na kuwasalimia wapiga kura wake.

Maendeleo hayana vyama!

..una uhakika atatoka huko machimboni aliko na kwenda dodoma kulihutubia bunge na taifa?
 
Ikumbukwe kwamba wakati Rais Magufuli anafungua bunge mwishoni mwa 2015 wabunge wa Chadema walisusia kikao na kutoka nje ya ukumbi.

Mwishoni mwa mwezi huu Rais Magufuli atalivunja bunge na kuna kila dalili huenda wabunge wa Chadema asilia hawatakuwepo ukumbini bali watakuwepo wale Chadema " masalia"
Ndio kusema wabunge wa Chadema asilia wanaweza kuikosa fursa adhimu ya kukutana na mkuu wa nchi katika kipindi chote cha ubunge.

Naelewa baadhi yao kama mchungaji Msigwa, Prof Jay, Sugu, Lema na hata Heche walishakutana na Rais katika majimbo yao wakati Dr Magufuli alipofanya ziara lakini sikumbuki kuwaona wakibahatika kupiga picha ya pamoja, Labda Sugu pekee ndio alibahatika kupanda gari ya Rais Magufuli pale Mbeya na kuwasalimia wapiga kura wake.

Maendeleo hayana vyama!
Picha ni muhimu kuliko Afya????

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom