Leo nimemsikia Spika akiongea kuwa humo mjengoni hakuna siyejua shida wanazopitia wabunge wa viti maalum wa Chadema.
Imekuwa siri ya wazi na iliyokubalika kwa jamii kuwa ukitaka viti maalum Chadema, lazima Mwenyekiti na kambi yake waridhishwe na wewe.
Ila leo ndo mara ya kwanza kumsikia mkuu...
1. Unapoona pale Bunge linashindwa kuweka maridhiano kati ya Wabunge kwa jambo dogo, jua Spika ni tatizo!
2. Unapoona Spika anatoa maamuzi ya haraka na ya jazba ya jambo lililopaswa kupelekwa na kujadiliwa kwanza na kamati za bunge ujue ni vigumu sana kuleta umoja wa wabunge.
Bahati nzuri...
Ni kweli hata katika Biblia wameandika upendo uvumila yote, upendo haukosi kuwa na adabu, upendo uamini yote, upendo hauhesabu mabaya.
Hii ndiyo hali ambayo wabunge watiifu Kwa Freeman Mboe wanapitia na kusikiliza amri ya kamanda mkuu, mfalme wa anga akitoa amri katika hili gwaride.
Hebu...
Mkurugenzi mtendaji wa Shirika la Afya Duniani ‘WHO’ amesema #CoronaVirus wanaweza wakaendelea kuwepo na kujiunga na virusi vingine vinavyoendelea kuua watu duniani
Amesema hafananishi virusi hivyo ila ni vyema kujua uhalisia, kwa kuwa hakuna anayeweza kutabiri siku ambayo ugonjwa huo unaweza...
AINA YA WABUNGE AMBAO SI VYEMA WAKAPOTEZA FEDHA KUGOMBEA TENA..
Ni ukweli usiopingika kuwa Mbunge ana kazi kubwa 3 ( Kutunga sheria, kusimamia Serikali na kuwakilisha Jimbo) na pia anawajibika kwenye mambo yake binafsi, Chama chake cha siasa, Serikalini na kwa wapiga kura wake ( Jimbo)...
1. Uliishi nje ya jimbo haswa Dar. Aidha huna makazi ya kueleweka jimboni au hutumii ofisi ya mbunge jimboni. Unakuja "ziara" jimboni kama mtalii.
2. Uliongelea zao lisilolimwa jimboni mwako. Mfano jimboni wanalima michikichi wewe ukaongelea Korosho. Nchi yetu kilimo ndio mwajiri mkuu...
Kwa idadi ya wabunge wa CCM ambao ni zaidi ya 259 inashangaza kwanini wanashindwa kujaza nafasi zisizozidi 50 kwenye baraza la mawaziri.
Imefika wakati Rais Magufuli amelazimika kumteua Mwita Waitara aliyekuwa Chadema kabla ya kuhamia CCM na pia kuwarejesha barazani mh Simbachawene na Mwigullu...
Siku zote huwa naamini kwenye usemi ule wa kwamba ukiwa na hasira jaribu kujiepusha kufanya maamuzi, kwani unaweza ukaonekana kituko. Hakuna ubishi kuwa wiki hii yote au tokea wabunge wa Chadema waondoke bungeni kwa ajili ya kuji-quarantine kuna mtu mmoja pale bungeni na si mwingine bali Job...
Wakuu Dotto Bulendu, Pascal Mayalla na Jackton Manyerere wako mubashara Star tv wakijadili uhalali wa Spika Ndugai kumrejesha bungeni Cecil Mwambe na kuwabakiza bungeni Selasini, Silinde, Komu na Lwakatare.
Pascal anasisitiza kuwa Spika ana nguvu za " ziada" katika kufikia maamuzi fulani kama...
Wote ni mashahidi kwamba wabunge wanaotoka Chadema na kuhamia CCM huwa wanashindwa kujieleza kabisa japo bunge ni lile lile. Waangalie akina Dr Mollel, Ryoba, Ole millya, Gekue na hata Waitara uwezo wao wa kujenga hoja na kuuliza maswali ni mdogo sana tofauti na walivyokuwa Chadema.
Kuna wakati...
Ikumbukwe kwamba wakati Rais Magufuli anafungua bunge mwishoni mwa 2015 wabunge wa Chadema walisusia kikao na kutoka nje ya ukumbi.
Mwishoni mwa mwezi huu Rais Magufuli atalivunja bunge na kuna kila dalili huenda wabunge wa Chadema asilia hawatakuwepo ukumbini bali watakuwepo wale Chadema "...
Bila kuwataja kwa majina au chama, Spika Ndugai amesema wabunge wengi waliojitenga wana madeni makubwa hivyo hawaoni tija ya kuendelea kuhudhuria bungeni.
Spika anasema kwa uchunguzi mdogo alioufanya amegundua wabunge hao wana madeni ya ujanja ujanja na wanadhani wanaweza kuyakimbia hivyo...
Binafsi nilitegemea Katibu mkuu wa CHADEMA mh Mnyika kabla ya kutujuza timua timua ya wabunge chamani angetupa taarifa ya kile kilichomtokea meya wa Ubungo mh Jacob.
Kutolipa uzito suala la meya kutimuliwa kazini tena kwa kisingizio cha kufutwa uanachana kunaacha maswali mengi kuliko majibu...
Habari waungwana,
Huhitaji kuwa na Degree ya Political Science kuamini hili. Kwa hakika kabisa majimbo yote Tanzania bara yanakwenda kuchukuliwa na CCM kwa gharama yoyote. Ninaposema kwa gharama yoyote nadhani mmenielewa.
Labda tu Rais kwa sababu zake yeye mwenyewe aamue kuchagua baadhi ya...
CHADEMA imeazimia kuyapuuzia maagizo ya Spika Job Ndugai, aliyewataka Wabunge wote wa chama hicho wasiohudhuria vikao vya Bunge kwa sasa kurudisha posho walizolipwa, ambapo kwa umoja wao wanadaiwa zaidi ya Tsh. Milioni 110
Chama hicho kimesema madai ya Spika kuwa Wabunge wake waliopewa fedha za...
Kikao cha kamati kuu ya Chadema kilichoongozwa na mwenyekiti wake mh Mbowe kwa njia ya mtandao kimefanya maamuzi magumu mno.
Taarifa ya maamuzi hayo inategemewa kutolewa leo na Katibu Mkuu wa chama hicho Mh. John J. Mnyika.
—————
UPDATES
—————
Akitolea maamuzi hayo, Katibu Mkuu wa CHADEMA...
Wiki iliyopita Mwenyekiti wa Chadema, Mheshimiwa Freeman Mbowe, alilitangazia Taifa kuwa wabunge wa Chadema, hawataendelea tena na vikao vya Bunge na wameamua kujiweka karantini kwa siku 14, ili kuangalia afya zao kama wameambukizwa ugonjwa huu wa COVID 19 au laa
Ni uamuzi wa busara kabisa...
Jana mnamo majira ya saa 6 mchana, tulimsikia RC Makonda, akitoa amri kwa wabunge wa Chadema, ambao waliamua kutoendelea na vikao ya Bunge, kwa kile walichokiita kujiweka karantini kutokana na hofu ya ugonjwa wa COViD 19
Akawapa saa 24 wawe wamerejea kuendelea na vikao hivyo vya Bunge na kama...
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar, limesema baada ya RC Makonda kutoa saa 24 kwa Wabunge walioko jijini humo kurejea Bungeni, limewataka wale ambao bado hawajaondoka, kuripoti kwa hiyari yao katika ofisi ya Upelelezi, Kanda Maalum kwa mahojiano
Za mda huu wadau,
Nimekuwa nikijiuliza sana kuhusu wajibu wa wabunge wetu wa CCM, Pale wanapoamua kuwa upande wa Serikali asilimia mia moja hali wao ni fimbo ya Serikali.
Unakuta mbunge anasifia serikali kuliko hata anavyomsifia mwezi wake au mtoto wake anapofanya vizuri.
Ikumbukwe Tanzania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.