wabunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. masara

    JamiiForums Tanzania Hivi kazi ya wabunge wa CCM ni kumsifia Rais na Serikali na sio kukosoa na kuhoji?

    Za mda huu wadau, Nimekuwa nikijiuliza sana kuhusu wajibu wa wabunge wetu wa CCM, Pale wanapoamua kuwa upande wa Serikali asilimia mia moja hali wao ni fimbo ya Serikali. Unakuta mbunge anasifia serikali kuliko hata anavyomsifia mwezi wake au mtoto wake anapofanya vizuri. Ikumbukwe Tanzania...
  2. Konzo Ikweta

    JamiiForums Tanzania Michango ya wabunge wetu ipo chini sana, hawana HOW kwenye michango yao

    Na Thadei Ole Mushi. Nimekuwa nikifuatilia michango ya wabunge wetu bungeni naona tuna tatizo kubwa mahali. Mbunge anapewa dakika kumi kuchangia mfano wizara ya viwanda na Biashara. Dakika tano anatumia kuwashambulia Chadema. Dakika tatu anasifia Serikali ya awamu ya tano, dakika Moja anasema...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Spika Ndugai kati ya Wabunge wetu na Rais Magufuli nani Mtoro?

    Waheshimiwa Wabunge wetu. Nimemsikiliza Spika Ndugai akiweka msimamo wake kuhusu hatua yenu ya kuondoka Bungeni kwa muda. Spika Ndugai anastahili kujibiwa rasmi na hadharani, na napendekeza yafuatayo kuwa sehemu ya majibu yenu. 1. Je, Wabunge wa CHADEMA ni watoro? Kwa kadri ninavyofuatilia...
  4. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania RC Makonda atoa saa 24 kuwakamata Wabunge kama wazururaji endapo hawatarudi Bungeni. Wabunge wamjibu

    Mkuu wa Mkoa wa DSM, Paul Makonda ametoa saa 24 kwa Wabunge wote waliokimbia kushiriki vikao vya Bunge na kwenda Dar es Salaam kula bata, kuhakikisha wanarudi Bungeni tofauti na hapo, watakamatwa kwa kosa la uzururaji kama wanavyokamatwa machangudoa wanaozurura usiku. RC Makonda amesema kwa...
  5. chakii

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Wabunge watoro warejeshe fedha zote walizolipwa kuanzia Mei 1-17 jumla ya Tsh. Milioni 110

    Spika Job Ndugai amesema wabunge wa CHADEMA ambao hawashiriki vikao vya bunge kwa madai kuwa wapo karantini wanahesabika kama watoro na wanatakiwa kurejesha fedha zote walizolipwa kwa kipindi ambacho hawatakuwepo bungeni. Pia wamepaswa kufanya kipimo cha Covid19 kabla hawajaingia bungeni ==...
  6. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Ningekuwa Spika ningewacharaza bakora wabunge wa upinzani walioacha kuhudhuria Bunge, wana hoja za kitoto

    Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila, amesema angekuwa Spika wa Bunge, angewacharaza bakora wabunge wa vyama vya upinzani waliotoka Bungeni wakishinikiza vikao vya Bunge viahirishwe kutokana na tishio la ugonjwa wa Corona. "Simfundishi Spika kazi lakini ningekuwa mimi ndio Spika...
  7. BONGOLALA

    JamiiForums Tanzania Wakati RC Mtaka anapambana wanafunzi wasome kupitia mtandao, RC Makonda anapambana na Wabunge

    Ni jambo la kisikitisha sana RC wa Dar es Salaam kutoona umuhimu wa elimu kwa watoto katika kipindi hiki cha mlipuko wa Corona na kudakia mambo ya wabunge yasiyomhusu. RC Mtaka anapambana watoto wasome online kipindi hiki, huku RC DSM anapoteza muda mwingi katika media kwa mambo yasiyo ya...
  8. polokwane

    JamiiForums Tanzania Niwaombe wabunge na madiwani mnaohama vyama katikati ya safari fanyeni hivyo baada ya vipindi vyenu vya miaka mitano kuisha, mnaumiza wananchi sana

    Kifupi kwa kuhama katikati ya ubunge wenu au udiwani mnawaumiza sana wananchi nadhani muwe mnasubiri kwanza kipindi cha uwakilishi kwa vyama vyenu mlicho pewa na wananchi kikisha pita ndio muhame au mstaafu Mnaumiza sana wananchi wenu muwe na huruma ya ndani ya nafsi zenu , ni kwa sababu tu...
  9. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa CHADEMA waliohudhuria Bungeni, watakiwa kujiuzulu nafasi za uongozi Bungeni

    Wabunge wa Chadema kwa kauli moja wamependekeza kwamba Wabunge wasaliti walioamua kuhudhuria bunge la corona na kupuuza msimamo wa chama chao wa kujitenga na bunge hilo kwa wiki mbili kama mwongozo wa WHO unavyoelekeza ili kuzuia maambukizi ya Virus hatari vya corona , wametakiwa kuachia nafasi...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini wabunge wanaotoka Chadema na kuhamia CCM wanakuwa na " chuki binafsi" na chama chao cha zamani?

    Tofauti na wabunge wa vyama vingine wanaohamia chama tawala CCM, wabunge wanaotoka Chadema huwa na chuki sana na chama chao cha zamani kana kwamba walifukuzwa. Wabunge wote wa Chadema waliotoka CCM labda ukimtoa Ole millya wakisimama tu bungeni jambo la kwanza ni kuikejeli Chadema. Hata huyu...
  11. technically

    JamiiForums Tanzania Inadaiwa kuna Wabunge wa CHADEMA wataenda bungeni kesho

    Nashauri Chadema iwapuuze maana ni wale walio kwe list ya kuunga mkono juhudi na kwenda Ccm kabla ya uchaguzi october. Chadema wapuuzeni waacheni waende wakapambane na Corona.
  12. Jimbi

    JamiiForums Tanzania Rais anapata wapi mamlaka ya kuagiza Spika asilipe posho za Wabunge?

    Wakuu, ile dhana ya uwepo wa Mihimili Mitatu inayojitegemea ni DANGANYA TOTO TU. Magufuli amedhihirisha hilo leo kwa kuagiza Ndugai asilipe posho za Wabunge walioamua kujiweka "karantini". Kama Rais ana mamlaka ya kuliingilia Bunge, vipi kuhusu Mahakama? Atashindwaje kutoa maagizo yanayofanana...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Kumbe wabunge waliohamia CCM kutokea Chadema siyo " minesterial material" naona teuzi zinawapitia mbali hadi wengine wanarudia

    Nawaza tu kwamba hata yule Mwita Waitara ndio uwezo wake umeishia kwenye unaibu. Hawa akina Mollel PhD na yule Ole Milya wanafeli wapi mbona ni wasomi wazuri lakini hawaonekani? Anyway ya ngoswe mwachie ngoswe, naishia hapo. Maendeleo hayana vyama!
  14. N

    JamiiForums Tanzania video:huyu kavunja rekodi ya kujifukiza hapa corona haitii pua,wabunge ccm wasiojifukiza watoswe kura za maoni

    Week ya kujifukiza inaendelea vizuri sana,hekima za viongozi wetu zimetamalaki na wanatuongoza vyema sana kuelekea nchi ya ahadi Hlafu ma komredi wa ccm kama mbunge hatapost picha akiwa anajifukiza asipitishwe kura za maoni maana huo ni ukaidi wa amri halali ya mwenyekiti,tumeona miss paulina...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Mbunge Mwamoto: Hali ni tete ndani ya wiki mbili tumepoteza wabunge watatu na hatujui nani atakayefuatia, naomba serikali itupime Corona!

    Mbunge wa jimbo la Kilolo mkoani Iringa mh Mwamoto amesema hali bungeni ni tete na ya kutia wasiwasi kufuatia vifo mfululizo vya wabunge. Mwamoto amehofu kuwa ndani ya wiki mbili wabunge watatu wamefariki na hawajui anayefuatia ni nani hivyo ameiomba serikali ifike bungeni na kuwapima Corona...
  16. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Heri ya siku ya kuzaliwa Mh Sugu , Mbunge uliyechaguliwa kwa kura nyingi kuliko Wabunge wote Africa , Mbeya inakutegemea mno

    Wewe kijana Mungu akupe Maisha marefu mno , umeileta heshima kubwa sana Mbeya , umeiondoa kutoka kwenye utumwa wa wananchi kuabudu viongozi na sasa tunaona viongozi wakipiga magoti kuwaabudu wananchi . Wewe ni Rais wa Mbeya , tunakuahidi lundo la kura OCTOBER ili uendelee kuwanyuka ngumi za...
  17. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa CCCM waanza kuitikia wito wa kujifukiza

    Pichani ni Mbunge wa ccm kutoka Babati akijifukiza Nyungu ili kupambana na virusi vya Corona, katika kuitikia wito wa Mwenyekiti wa Taifa wa ccm aliyewataka wananchi kufanya hivyo
  18. denooJ

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa CHADEMA wakubaliana kutohudhuria tena vikao vya Bunge kutokana na janga la COVID-9, Kujiweka Karantini kwa wiki 2

    Mnadhimu wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni na Mbunge wa Bunda Mjini, Ester Bulaya amesema "Hali ya Corona ni mbaya sana, wabunge kupitia Chadema, leo tumefikia makubaliano ya kutoingia Bungeni na kila mbunge kubaki nyumbani kwake Dodoma, niwatake wananchi huko mlipo mchukue tahadhari kubwa."
  19. J

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa CCM mbona mnafeli sana kwa Mbowe?

    Kwa hali ilivyo ni dhahiri bunge hili la mwisho la Ndugai, bila kupenda litakuwa linajadili hotuba ya jana ya Mbowe kuhusu Corona hadi litakapovunjwa rasmi 30/6/2020 Wabunge wa CCM mara nyingi wamekuwa na udhaifu wa kutegeka kirahisi na mitego ya Mbowe na hili halina afya kwa bunge, chama wala...
  20. chiembe

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Wabunge wachangie hoja zao kwa maandishi na yatumwe kwa teknolojia, au laa, video wazirekodi zitumwe kwenye mfumo wa Bunge

    Hii inaweza kuwa mbadala kwa Bunge, michango yote iwe kwa maandishi kutoka wanakoishi na ihesabiwe kwamba yuko bungeni, au au watumie teknolojia ya video,ajirekodi huko aliko katika mazingira nadhifu anatuma video katika mtandao wa Bunge, Bunge linarusha laivu
Back
Top Bottom