wabunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Somalia: Wabunge wapiga kura kumfutia Rais nyongeza ya muda madarakani

    Wabunge Nchini humo wamepiga kura kufuta nyongeza ya miaka miwili madarakani kwa Rais Mohamed Abdullahi Mohamed iliyoidhinishwa mwezi uliopita baada ya jambo hilo kuibua mvutano mkubwa. Mgogoro wa kisiasa umeibua wasiwasi kuwa waasi wa Al Shabaab wanaweza kutumia nafasi hiyo kuhatarisha hali ya...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Viongozi wa Mahakama, wabunge na viongozi wakuu wa serikali awalipi Kodi?

    Nchi yetu inakautawala kaajabu kwelikweli, watu wanaopaswa kuwa mfano mzuri wa ulipaji Kodi ndio waliozuiliwa na sheria kulipa Kodi. Watu wanaolipwa vizuri awalipi Kodi. Watu wanaopaswa kuwatetea na kutunga sheria nzuri kuhusu Kodi awalipi Kodi. Watu wa aina hii wanawezaje kujua uchungu wa Kodi...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Bashiru na Polepole sasa ni wabunge wa kuteuliwa, David Silinde na Katambi ni Mawaziri

    Wakati mwingine ukifikiria sana siasa utagundua ni ubatili mtupu yaani ni bora umrejee muumba wako. Yaani leo hii ndio kusema maswali ya Dr Bashiru na komredi Polepole yanaenda kujibiwa na akina Gekui, Waitara, Silinde, Katambi na Dr Mollel kule bungeni? Kwamba, David Silinde ana mfuko wa...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa viti maalumu/wakuteuliwa wanatembelea V8?

    Mbunge akiteuliwa na Rais anapoingia Bungeni anakabidhiwa gari yakutembelea V8 au anajitaftia gari analiona litampendeza kulingana na shida au utajiri wake? Nauliza swali ili kulinganisha na kauli ya maisha Ni paredi, ukimbiwa nyuma geuka unakuwa wa mwisho na wa mwisho anakua wa Kwanza. Lakini...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Ukiondoa tabia ya kuwarubuni wabunge wa CHADEMA wahamie CCM, Dkt. Bashiru ni kiongozi makini na mjamaa

    Kiukweli chini ya uongozi wa katibu mkuu Dkt. Bashiru, CCM imepata mafanikio makubwa sana tangu mfumo wa vyama vingi uanze. Sasa mali za chama zinajulikana bayana na miradi yote ya CCM inajulikana tofauti kabisa na ilivyokuwa kwa watangulizi wake kuanzia Dkt. Gama hadi kanali Kinana. Tatizo...
  6. JamiiForums Tanzania Wabunge wa Mbeya hatujasikia kelele zenu juu ya barabara zetu mbovu Bungeni

    Wabunge wetu mlioko Bungeni, Dodoma mnaotoka Mbeya. Mtajionyesha umahiri wenu toka siku ya kwanza kabisa bungeni, lakini umahiri huo hatuuoni. Kero kubwa za Mbeya, kwanza ni barabara. Main road ya Tanzania kwenda Zambia ni mbaya sana, ukiingia Mbeya mjini malori ya mixigo mizito inapishana na...
  7. JamiiForums Tanzania Hali ya kisiasa nchini Somalia yapelekea Rais kutoa rai ya kufanyika Uchaguzi wiki kadhaa baada ya Wabunge kumuongezea miaka miwili madarakani

    Rais Mohamed Abdullahi Farmajo ametoa rai ya kufanyika Uchaguzi baada ya kitendo cha Wabunge kumuongezea miaka miwili madarakani kusababisha sintofahamu Nchini humo. Kumekuwa na shinikizo la Jumuiya za Kimataifa ambazo zilitishia vikwazo kufuatia uamuzi wa Rais kuongezewa muda. Wananchi...
  8. JamiiForums Tanzania CHADEMA ina mpango wa kupeleka wabunge wa Viti Maalumu kuchukua nafasi za Mdee na wenzake 18

    Kwa mujibu wa gazeti la RAIA MWEMA la leo 28 April, CHADEMA inataka Mdee na wenzie waondoke/waondolewe Bungeni mara moja ili chama kiweze kupeleka orodha ya wabunge wa viti maalumu kuchukua nafasi ya wale imposters Msimamo huu mpya wa CHADEMA ni wa kumtambua Rais aliyepatikana kutokana na...
  9. JamiiForums Tanzania Kuhusu Wabunge 19 wa Viti Maalum wakiongozwa na Halima Mdee: Mambo yako wazi ila wahusika wako kimya

    Mwanzo mwanzoni niweke wazi, kama ilivyo kawaida yangu, kuwa mimi si mwanachama wala mshabiki wa chama chochote cha kisiasa hapa nchini au nje ya nchi hii. Nikiongozwa na uzalendo na utanzania wangu, huwa naunga mkono hoja zozote za kuujenga utaifa wetu na kuleta maendeleo ya Tanzania yetu...
  10. JamiiForums Tanzania Askofu Mpemba amchana Spika Ndugai na wabunge 19 waliobatizwa jina la "COVID-19"; Wamevunja Katiba, warudishe fedha

    Mtazame na msikilize mwenyewe kisha tunaweza kusema na kujadiliana. Huu ukosoaji enzi za Mwendazake John Pombe, ilikuwa hatari na pengine angeweza kunyang'anywa uhai bila kupenda. Pengine pia, tunaweza kuamini zile tetesi za kuwa kuna zengwe linasukwa chini chini ili atemeshwe U-Spika kabla...
  11. JamiiForums Tanzania Samahani Kwa Wabunge wetu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Salaam kwenu wanabodi wa jukwaa hili kubwa na lenye heshima ndani na nje ya nchi yetu.Sio tu linaheshima lkn pia lina taarifa za kuaminika. Nimeanza na neno samahani kwa wabunge wetu kwa sababu kelele zimekuwa nyingi sana huko bungeni wengi wa wabunge wanaopata nafasi ya kuchangia wamekuwa...
  12. JamiiForums Tanzania CHADEMA mnachukua ruzuku ya nini wakati Wabunge 19 mmewafukuza?

    Wanabodi. Kwa mujibu wa Ofisi ya Msajili wa vyama vya siasa Chadema ‘inayohesabiwa’ kuwa na wabunge 20 imepata Sh109.68 milioni, ACT Wazalendo yenye wanne kimepata Sh14 milioni na CUF yenye mbunge mmoja ikipata Sh5.7 milioni za Ruzuku ambayo iliingizwa kwenye account za vyama Nov. 2020. Mbowe...
  13. JamiiForums Tanzania Nape Nnauye: Vigezo vilivyotumika kuwawekea pingamizi na kuwaengua Wagombea wa Upinzani ni vigezo vya kitoto havina msingi

    Salaam, Mbunge wa Mtama (CCM) Nape Nnauye amefunguka ya maoni. Kasema Kuna upungufu wa Sheria za Uchaguzi kwenye Local Government. Vigezo vinavyotumika kuwaweka watu Pingamizi na kuwaondoa, ni vigezo vya Kitoto. Ni vigezo ambavyo havina Msingi. Yaani mtu kakosea akaandika CDM badala ya...
  14. JamiiForums Tanzania Kuliko Aibu ya kufukuzwa bungeni wale Wabunge wasio na chama wanaojiita wa Viti Maalum ni vema Wakajiuzulu wenyewe

    Wakati mwingine inabidi kubadili mbinu za Usaliti ili kuendelea kutafuna hela za ccm na za umma , Mipango ya Mwendazake kwa Covid 19 ni kama imeondoka naye , Ule ulinzi waliokuwa wanapewa na Msigina Katiba aliyekwenda haupo tena , mipango ya kuwaengua kwa aibu imekamilika . Ili kuepuka jambo...
  15. JamiiForums Tanzania Wabunge Babutale na Mwana F A Kazi yao ipi bungeni?

    Hawa waheshimiwa mi naona kazi yao ni kugonga meza tu, hawajengi hoja, hawahoji chochote, labda juzi ndo nimemuona mwana FA kauliza swali rahisi sana na kujibiwa palepale. Hawa wabunge ni vijana wajaribu kuwa wabunifu kwa kuamsha amsha hiyo serikali katika kila jambo. Sio kukaa tu pale na...
  16. JamiiForums Tanzania Kwanini Bunge linawakumbatia Wabunge wasio na sifa?

    Wakuu pengine tujadili kidogo kua kwa nini Bunge kinawakumbatia wabunge wasio na sifa za ubunge. Naibu spika wa bunge Dr. Tulia Ackson naona anawakumbatia wabunge hao. Je, nini maoni yako? Tujadili hili.
  17. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Zito yupo kimya sakata la uvunjwaji Katiba lilifanywa na Spika kupitia wabunge 19 wasio na chama?

    Zitto ni mwepesi sana kutetea na kukosoa uvunjwaji wa Katiba. Ni mchambuzi wa siasa na hoja za maendeleo, Ni mchambuzi wa masuala ya uchumi. Suala la akina mdee linagusa engo zote ambazo Zitto ni mbobezi Kama ifuatavyo; Kwanza, linakosa usimamizi na utetezi wa kisiasa kwa sababu mfumo wa nchi...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini wabunge wa viti maalum Chadema wanaitwa ni wabunge kutoka Chachandu?

    Nakutana na hili neno sehemu nyingi leo hii kwamba hawa akina Halima Mdee na wenzake ni wabunge kutoka CHACHANDU. Ndio nauliza Chachandu ni chama kipya? Maana sijawahi kukisikia. Kazi Iendelee!
  19. JamiiForums Tanzania Naibu Spika Dkt. Tulia: Jesca Kishoa hii kauli yako either uifute, ofisi ya Spika haina taarifa ya wewe kuondolewa kwenye chama chako

    Mbunge Kishoa kupitia chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) amelalamikia kunyimwa nafasi ya kufanya mikutano ya kisiasa kabla hajaondolewa kwenye chama chake. Naibu spika akalazimika kuingilia kwa kusema haihitaji kuwa naye bungeni kama hana chama cha Siasa kwani ni takwa la kuwemo...
  20. JamiiForums Tanzania Mnyika: Tulipeleka barua za kufukuzwa uanachama Wabunge mara mbili

    Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amesema walieleka barua rasmi kulitaarifu bunge kuhusu kufukuzwa uanachama kwa wabunge 19 walioteuliwa kuwa wabunge wa viti maalum katika bunge la 12 Mnyika ametoa ushahidi huo leo, baada ya Naibu Spika wa bunge kusema kuwa hawana taarifa ya wabunge kufukuzwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…