wabunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mr worldwide

    JamiiForums Tanzania Easther Matiko katika mashindano ya riadha ya wabunge Afrika mashariki

    Mashindano ya riadha, mita 400
  2. J

    JamiiForums Tanzania Kamati kuu ya CCM yakutana Mwanza: Yampongeza Rais Magufuli, Walio hama vyama vya Upinzani waongeza Ruzuku ya chama hadi Bil 13

    Kamati kuu ya CCM imekutana jijini Mwanza na kuongozwa na Mwenyekiti wake Dr Magufuli. Kamati kuu imempongeza Rais Magufuli na serikali yake kwa ujenzi wa miradi mikubwa inayoendelea nchini. Katibu mkuu wa CCM Dr Bashiru amesema kwa sasa hakuna kikwazo chochote kinachoweza kupunguza kasi ya...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Chadema wafanye maridhiano na wabunge na madiwani wao waliomwandikia barua Dr. Bashiru kuomba kuhamia CCM

    Binafsi naona kuna tatizo kubwa la kuhamahama kwa viongozi wa Chadema pasi na sababu za kueleweka na kuaminika. Juzi kaondoka mzee Sumaye na kabla ya hapo Dr Bashiru akiwa Zanzibar City alisema ana barua nyingi tu za wabunge na madiwani wa Chadema wanaoomba kuhamia CCM. Ni vema basi Chadema...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wabunge wa CCM wanapenda sana Kumjaribu na ni kama vile Wanamdharau sana Katibu Mkuu wao Dkt. Bashiru?

    Nakumbuka ni mwaka huu huu na Rekodi zipo tena akiwa ‘ amefura ‘ kabisa Mithili ya Mbogo aliyejeruhiwa Katibu Mkuu wa CCM na Mwanazuoni Dkt. Bashiru Ally Kakurwa alipiga Marufuku Wabunge wote wa CCM Kuanzisha Mashindano ambayo yanabeba Majina yao ( kwa Mfano GENTAMYCINE CUP ) na badala yake...
  5. beth

    JamiiForums Tanzania Ukosefu wa fedha Liberia wakatisha likizo ya Wabunge

    Bunge la Liberia laitishwa kwa dharura Rais George Weah wa Liberia amewaomba Wabunge wa Bunge la nchi hiyo kukatisha likizo yao na kukutana kwa dharura kujadili mambo muhimu yanayolihusu Taifa hilo likiwemo lile linaloelezwa kuwa ni ukosefu wa fedha. Taarifa iliyotolewa na Bunge la Liberia...
  6. Cicero

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Wabunge Uganda wapinga nchi yao kutumia passport ya Afrika Mashariki, wahoji uhalali wake

    The move to have an East African Community (EAC) international passport has hit a snag in Uganda after MPs blocked it over its legality and the cost to users. In 2016, EAC leaders agreed to upgrade the EAC passport from a regional to an international document, with Kenya and Tanzania launching...
  7. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Pamoja na ufisadi wake wote, Chenge is one of the best brains kwenye Bunge full of ignorants

    Wanabodi, Natanguliza kwa kuomba msamaha kutumia maneno makali kwenye uzi huu, kwasababu kwa hapa nchi yetu ilipofika, labda kwa kutumia maneno makali kama haya, ndio yatasaidia tuweze kuelewana na kutubadilisha to change for the better!. Baadhi ya wananchi wa Tanzania ni ma ignorants, baadhi...
Back
Top Bottom