Wabunge Babutale na Mwana F A Kazi yao ipi bungeni?

babukijana

JF-Expert Member
Jul 21, 2009
13,091
15,983
Hawa waheshimiwa mi naona kazi yao ni kugonga meza tu, hawajengi hoja,
hawahoji chochote, labda juzi ndo nimemuona mwana FA kauliza swali rahisi sana na kujibiwa palepale.
Hawa wabunge ni vijana wajaribu kuwa wabunifu kwa kuamsha amsha hiyo serikali katika kila jambo.
Sio kukaa tu pale na kugonga meza tu.
Sugu alikuwemo mule na aliwapeleka haswa.
Professor Jay alikuwemo lakini kama hawa,
Hitimisho
Tafadhalini sana tuko mtaani huku mjenge hoja za msingi zifanyiwe kazi,
Sio kukaa tu huko mnakula posho, mshahara mil 11 na pensheni mil 200+ wakati kazi yenu kugonga meza tu.
Hiyo hata mtoto wangu anaweza fanya.
 
0063bc69-4ae8-414e-9685-b9bf111e6f0d.jpg
 
Ni vijana wenzetu lakini hawatakuwa na ushawishi wowote,Elimu yao ni ndogo sana kuweza kuchambua mambo ya msingi,itakuwa ajabu kama watashindwa hata kuisemea tasnia ya sanaa ambayo wanajishughurisha nayo,na kuisemea tu haitoshi,lazima upereke mswada na ushawishi wenzio wakuunge mkono.
Bado wanafikiri wapo studio wakitunga wimbo,pale ni bungeni.
Bungeni inabidi waaingie watu wenye Elimu kuanzia shahada ya Kwanza,na akiwa mwanasheria ni poa zaidi.
 
Fa ana Master's degree .... sema ndo hivo tena
Ni vijana wenzetu lakini hawatakuwa na ushawishi wowote,Elimu yao ni ndogo sana kuweza kuchambua mambo ya msingi,itakuwa ajabu kama watashindwa hata kuisemea tasnia ya sanaa ambayo wanajishughurisha nayo,na kuisemea tu haitoshi,lazima upereke mswada na ushawishi wenzio wakuunge mkono.
Bado wanafikiri wapo studio wakitunga wimbo,pale ni bungeni.
Bungeni inabidi waaingie watu wenye Elimu kuanzia shahada ya Kwanza,na akiwa mwanasheria ni poa zaidi.

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Ni vijana wenzetu lakini hawatakuwa na ushawishi wowote,Elimu yao ni ndogo sana kuweza kuchambua mambo ya msingi,itakuwa ajabu kama watashindwa hata kuisemea tasnia ya sanaa ambayo wanajishughurisha nayo,na kuisemea tu haitoshi,lazima upereke mswada na ushawishi wenzio wakuunge mkono.
Bado wanafikiri wapo studio wakitunga wimbo,pale ni bungeni.
Bungeni inabidi waaingie watu wenye Elimu kuanzia shahada ya Kwanza,na akiwa mwanasheria ni poa zaidi.
FA ana Masters Sugu na Jay wana certificates tu.
 
Ni vijana wenzetu lakini hawatakuwa na ushawishi wowote,Elimu yao ni ndogo sana kuweza kuchambua mambo ya msingi,itakuwa ajabu kama watashindwa hata kuisemea tasnia ya sanaa ambayo wanajishughurisha nayo,na kuisemea tu haitoshi,lazima upereke mswada na ushawishi wenzio wakuunge mkono.
Bado wanafikiri wapo studio wakitunga wimbo,pale ni bungeni.
Bungeni inabidi waaingie watu wenye Elimu kuanzia shahada ya Kwanza,na akiwa mwanasheria ni poa zaidi.
FA hana elimu ndogo,chuo kapiga Ifm pale
 
Hawa waheshimiwa mi naona kazi yao ni kugonga meza tu, hawajengi hoja,
hawahoji chochote, labda juzi ndo nimemuona mwana FA kauliza swali rahisi sana na kujibiwa palepale.
Hawa wabunge ni vijana wajaribu kuwa wabunifu kwa kuamsha amsha hiyo serikali katika kila jambo.
Sio kukaa tu pale na kugonga meza tu.
Sugu alikuwemo mule na aliwapeleka haswa.
Professor Jay alikuwemo lakini kama hawa,
Hitimisho
Tafadhalini sana tuko mtaani huku mjenge hoja za msingi zifanyiwe kazi,
Sio kukaa tu huko mnakula posho, mshahara mil 11 na pensheni mil 200+ wakati kazi yenu kugonga meza tu.
Hiyo hata mtoto wangu anaweza fanya.
Kazi yao ni kupokea mshahara wa milioni 11 kila mwezi, posho ya 360000 kila wanapokuwa bungeni, lita 1,000 za mafuta ya gari kila mwezi na kusubiri kiinua mgongo cha 240 mils ambazo hawakuwahi kuchangia kwenye mfuko wa hifadhi kama ilivyo kwa kada nyingine.
Pia pesa zao hazikatwi kodi.
Halafu wanakwambia wewe uwe mzalendo😂😂😂😂
 
Kubandeki,ndo mana bashite alikazana kuzama akafie huko na mukubwa alionya hakusikia akakatwa mazima
 
Ndiyo maana kila mtu anataka kuwa mbunge maana wanakula pesa ndefu sana. Bila kusahau mils 90 ya gari. Na hicho kiinua mgongo ambacho wanapewa bila kuchangia hakitumii kikokoteo na wala hawasubiri ufikishe miaka 60.
Yani wao wanavunja sheria zote walizotutungia. Hao ni wazalendo kweli yani sheria wanazotunga haziwahusu wao.
Sasa mwalimu, ambaye ni mnyonge wao wamemwongezea bodi ya kumkamua tena 50000 kila mwaka😂😂
 
Back
Top Bottom