Hii ndio Taarifa ya Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe au waweza kumuita Mtemi Isike aliyoitoa kwa waandishi wa habari, alipokuwa kanda ya Magharibi katika ziara yake ya Operesheni Haki.
Amesema baada ya vikao vya Baraza Kuu ratiba ya Mikutano ya hadhara nchi nzima itapangwa.
Mbunge Viti Maalum, Josephine Genzabuke: Naomba niishukuru serikali ya CCM inayoongozwa na Jemedari, Mheshimiwa Rais, mama yetu Samia Suluhu kwa kufanikisha mkopo wenye Masharti nafuu kutoka benki ya maendeleo ya Afrika tukaweza kuahidiwa pesa dola za Kimarekani 140 sawa na shilingi laki tatu...
Spika wa Bunge amemfukuza mbunge kwa kutokuvaa mavazi yenye maadili kwa Bunge .
Ili kuepusha hilo nashauri wabunge nao waamue kuvaa majoho kama wafanyavyo madiwani kwani uamuzi huo utakuwa ndio tiba sahihi la kuvaa mavazi yenye kukidhi maadili yetu.
Pia maadili isiwe kwenye mavazi tu bali...
Siku ya jana Spika Ndugai alimtoa nje Mbunge mmoja kwa kosa la kuvaa mavazi anayosema kuwa yapo kinyume na maadili ya Bunge , cha ajabu watanzania wengi wakashikilia hili jambo kama vile lina maslahi yoyote kwa taifa , ikifika mbele mpaka NGO moja ikaandika taarifa ya kulaumu kama vile...
Mbunge wa Momba, tena wa chama chetu cha CCM, amedhalilishwa Bungeni. Ametolewa nje ya Bunge kwa aibu kuu akiambiwa kuwa 'hajavaa vizuri'. Amri ya kutolewa nje kwa mwanamama huyo Mbunge wa Momba ilitolewa nawe Spika Job Ndugai. Ni baada ya kuombwa muongozo na Mbunge Ameir akidai kuwa mwanamama...
Sakata la kutolewa nje kwa mbunge wa Momba, Condester Sichwale (CCM) kuhusu mavazi, limeibuka tena leo jioni katika kikao cha Bunge baada ya wabunge wanawake kutaka aombwe radhi na aliyetoa hoja.
Hata hivyo mbunge Hussein Amar amesema hawezi kuomba radhi kwa sababu alichosema alikuwa sahihi...
Kama wananchi maskini na wasio uhakika wa maisha yao wanakamuliwa kodi zao kisha zinatumika kulipa wabunge wa namna hii basi ni maumivu makubwa kwao
Kwamba bunge ambalo ni sehemu ya wanannchi ambao lilituma wawawakilishi wao alafu hao wawakilishi wanaenda Bungeni kama wamevaa nguo za disko na...
Hizo posho walizolipana watumishi wa wizara ya fedha, hazina tofauti kabisa na posho wanazolpiwa wabunge(sitting allowance) wawapo Bungeni.
Tofauti iliyopo ni kuwa posho za wabunge zimehalalishwa kisheria ila yote haya ni matumizi mabovu ya fedha za umma.
Vile vile malipo hayo ya posho hayana...
Jamani niambieni ni nchi gani hapa duniani ina wabunge wa kuteuliwa na viti hapa duniani . Mimi nawaita mzigo wa walipa kodi tunataka katiba mpya ili tuwaengue kwenye nafasi zao
Tangu wiki hii ianze tumeshuhudia ushauri wa ajabu sana kutoka kwa Wabunge wa viti maalum. Kila wanachoongea ni pumba tupu hadi unajiuliza hawa watu walipatikana vipi.
Ushauri wangu kaeni kimya maadam mshahara wa milioni 11 unaingia kila mwezi. Biblia imeandika "HATA MPUMBAVU AKINYAMAZA...
Lipo zoezi lililoendeshwa na Dkt. Bashiru na Polepole kwa udhamini wa mwenyekiti lililopewa jina la kuunga juhudi mkono. Zoezi lile lilijaa uhalifu ikiwemo matumizi ya vitisho kwa waliokataa kuunga juhudi mkono.
Moja ya zawadi waliyopewa wale waliounga mkono juhudi ilikuwa ni kuakikishiwa...
Watanzania wapaswa kuwaogopa sana wanasiasa, tena ikiwezekana kuwasusia mikutano yao ya hadhara na kuwaweka kundi moja na walowezi wa kizungu kule Afrika Kusini.
jana spika Ndugai alisema kuwa Serikali iajiri kwa usawa wa kijiografia! Aibu kubwa kwa spika huyu asiyejua maana ya ajira.
Nchi...
Ukisikia Bunge halina mvuto ni Bunge hili lililosheni wabunge wengi wa CCM, wabunge wa upinzani kiduchu Sana, wabunge hewa kama wanavyojulikana covid-19.
Mvuto umekosekana hata kama Bunge ni live Wananchi hawafuatilii mijadala Bunge kama ilivyokuwa enzi Samwel Sitta au Anna Makinda.
Wabunge...
Bunge lililopita lilikuwa lenye Wabunge wa CCM na wa vyama mbadala. Hoja zinapotolewa na Wabunge wa CCM hata kama hazina uzito wowote zinashangiliwa lakini zikitolewa hoja zenye maslahi ya Wananchi kwa kiasi gani, kama mleta hoja hiyo siyo CCM basi atazomewa, ataombewa miongozo au tàarifa ya...
Wengi tulilia Bunge liwe live tukidhani tunahitaji Bunge bila wabunge walio live.
Leo tuna Bunge bila wabunge, tuna Bunge live bila wabunge live Jambo linalopelekea bunge la bajeti kukosa mvuto na kuonekana kama sehemu yakulipana posho.
Toka Bunge limeanza Hadi leo mtifuano wa hoja hakuna...
Spika Ndugai amewataka wabunge kutimiza wajibu wao wa kikatiba kama mhimili wa kuibana, kuihoji na kusimamia serikali wakati wote tena bila kuchoka.
Spika Ndugai amehoji kama wabunge wanashindwa kufanya kazi hiyo wanataka nani mwingine aifanye?
Chanzo: ITV habari
Jumatatu iliyopita Wabunge ambao waliripotiwa kuwa ni mashabiki was Yanga waliingia Bungeni wakiwa na bashsha
Bila kuficha furaha yao walinyoosh vidole vyo juu wakiashiria kufurahia kipigo ilichokipata Simba mbele ya Kaiser ya Afrika kussini.
Nilijiuliza maswali mengi kwa tukio like lissilo...
Awali ya yote nimshukuru mbunge wa Mbeya ambaye pia ni naibu Spika kwa kutufumbua macho kwamba kuna maeneo fulani ilani inasema tofauti na uhalisia unaosemwa na serikali.
Natoa rai kwa wananchi tulioichagua CCM kwa kishindo kikuu tuipitie kwa makini Ilani ya uchaguzi hasa katika maeneo...
Ndani ya miezi sita wabunge watatu wameshafariki lazima tuhoji kulikoni hata kama wengine tuliambiwa walipata ajali.
Kwani wabunge wakichukua tahadhari ya Corona watapungukiwa na nini?
Spika pale mbele anakaa peke yake (social distance) huku third class kwa akina Halima Mdee full kubanana na...
Ifike muda sasa Heshima ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iwepo kama enzi za Awamu ya Kwanza, ya Pili, ya Tatu na kidogo ya Nne. Bunge siyo sehemu ya kuingia Wahuni, Watu wakorofi, Vibaka na Watu wasiotaka kwa Makusudi kuhama eneo Hatarishi la Jangwani ambalo kila Siku tu Serikali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.