wabunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    JamiiForums Tanzania Halima Mdee na wenzake ingekuwa Kenya huenda wasingekuwa wabunge, Mahakama ya Kenya iko huru zaidi!

    Sina hakika kama mahakama ya Tanzania inaweza kusema Rais wa JMT amekosea katika jambo fulani au iseme Rais anapaswa kushtakiwa kwa kuvunja katiba Mahakama ya Kenya iko huru, inaweza. Ingekuwa ni Kenya swala la Halima Mdee na wenzake lingekuwa dogo sana na huenda wasingekuwa bungeni kabisa...
  2. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania kampeni za lala salama mhambwe wabunge wa CCM waweka kambi

    #MUHAMBWE KIGOMA Baadhi ya Wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wamewasili Jimboni Muhambwe Mkoani Kigoma kwa ajili ya kufanya kampeni kwa wagombea Chama Cha Mapinduzi katika majimbo yote mawili ya Muhambwe na Buhigwe Wabunge hao ni Mheshimiwa Asia Alamga pamoja na Ng'wasi Kamani...
  3. Etwege

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Lissu kwa miaka 10 ya Ubunge hakuna 'legacy' yoyote aliyoacha Jimboni kwake

    Leo kwenye mjadala wa kupitisha bajeti ya wizara ya maji, spika Ndugai amesema kwa masikitiko makubwa kuwa licha ya Tundu Lissu kuwa mbunge wa Ikungi kwa miaka 10 lakini hakuna alichofanya cha kukumbukwa na wananchi! Ndugai amesema hata kijiji anachotoka Lisu hakuweza kuwapelekea maji kwa miaka...
  4. Z

    JamiiForums Tanzania Michango ya Wabunge, maswali na majibu ya Mawaziri ubora wake uko chini kabisa

    Sielewi ni kwa sababu gani hali iko hivi, lakini ni wazi kwamba ubora wa walioko mjengoni uko chini. Watu wanashindwa hata kuunda maswali yanayostahili kuulizwa bungeni. Maswali mengi ni ya kuulizia miradi ya shule, urefu wa barabara, visima vya maji, n.k. vya kiwango cha wilaya na majimbo...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Mnyika: Ni miezi 5 sasa NEC hawajajibu barua yangu kuhusu walikopata majina ya Wabunge 19 na nani amesaini fomu zao

    Katibu mkuu wa Chadema J J Mnyika amesema ni miezi 5 imepita tangu amwandikie mkurugenzi wa uchaguzi NEC akitaka kujua ni nani alipeleka orodha ya majina ya akina Halima Mdee na wenzake na form zao zilisainiwa na nani pahala alipotakiwa kusaini Katibu mkuu. J J Mnyika anashangazwa sana na...
  6. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania Nini hofu ya Spika Ndugai kuchukua hatua dhidi ya Wabunge kina mama 19 wanaodaiwa kuwa ni wa CHADEMA?

    Hebu kila GT yeyote aitazame na kuisikiliza video clip hii ya Spika Ndugai Job mwanzo mwisho. Umeelewa na kujifunza nini baada ya kusikiliza? Kwanini unadhani Spika wa Bunge la JMT ndg Job Ndugai anapata wakati mgumu kuchukua maamuzi sahihi kwa hawa kina mama na badala yake anapiga siasa...
  7. Mkaruka

    JamiiForums Tanzania Kazi ya kuweka Vinasaba (Marking) kwenye mafuta, TBS hawajui, Wabunge na Waziri Kalemani hajui chochote kinachoendelea. Je, kodi stahiki italipwa?

    DISCLAIMER: Huu ni mtazamo wangu tu kuhusu hili suala kwa jinsi nilivyoliona na kulishuhudia. Sina maslahi yoyote na suala hili. ========= Ni maajabu juu ya maajabu. Nchi ina maajabu sana hii. Iko hivi: Hivi karibuni bungeni, Mb. Shabiby na Tabasamu waliibua hoja kwamba serikali imepigwa...
  8. P

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Wabunge 19 waliofukuzwa CHADEMA wapo kwenye mikono salama

    Leo Bungeni baada ya kipindi cha maswali na majibu, Spika wa Bunge Job Ndugai amesimama na kumkemea Nape Nauye, Mbunge wa Mtama ambaye hivi karibuni alitoa maoni yake binafsi kuwa wale wabunge 19 waliotimuliwa na CHADEMA sio wabunge halali. Ndugai, akonekana mwenge wasiwasi na aliyepoteza...
  9. J

    JamiiForums Tanzania BAWACHA kutinga Bungeni tarehe 10/05/2021 kuwatimua Wabunge 19 waliopora nafasi za CHADEMA

    Bawacha wamepanga kwenda Bungeni Dodoma tarehe 10/05/2021 kudai nafasi zao 19 za Ubunge zinazokaliwa kwa mabavu na akina Halima Mdee na wenzake . Mwenyekiti wa Bawacha wilaya ya Chato bi Husna amesema maandamano yao jijini Dodoma kuelekea Bungeni hayatakuwa na kikomo hadi suluhisho lipatikane...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Gender stigmatization: CHADEMA kushinikiza kufukuzwa Wabunge Viti Maalum

    GENDER STIGMATIZATION: CHADEMA KUSHINIKIZA KUFUKUZWA WABUNGE VITI MAALUM CHADEMA leo Mei 4, 2021 wanatarajia kuzungumza na vyombo vya habari kwa lengo la kumjibu Spika Job Ndugai ambaye jana amepinga ombi la CHADEMA linalomtaka awavue Ubunge wanawake 19 wanaokiwakilisha chama hicho kama wabunge...
  11. seedfarm

    JamiiForums Tanzania Je, Spika Ndugai asaidiwe kisaikolojia au aachwe?

    Dunia kuna vituko sana, Moja ya vituko vinapatikana Bungeni vikiongozwa na Job Ndugai. Huyu Ndugai anajulikana kama mheshimiwa Spika. Leo Ndugai ametumia dakika nyingi Bungeni akitaka kutetea legacy yake na kujifananisha na Spika Marehamu Samwel Sitta, Ndugai anaumia na kukwazika sana kwanini...
  12. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, kama uchumi umeyumba tangaza kupunguza mshahara wako pamoja na viongozi wako waandamizi na wabunge

    Habari! Kwakweli kama mtumishi ambaye sijapanda daraja tangu niajiriwe, siujui mshahara mpya nakaribia mwaka wa sita sasa hapa matumaini yanayeyuka. Naanza kufikiri nje ya duara. Hata hayo madaraja mapya sijui kama nami nitakuwa mmoja wapo. Maana idadi ya wanaostahili kupanda madaraja ni wengi...
  13. jogijo

    JamiiForums Tanzania Swali: hivi wabunge wanalipa kodi?

    Habari wadau, Nimekaa nikatafakari income gap ya wabunge na sisi makanjanja. Naomba kujua mbunge anakatwa kodi kwenye mshahara wake m 12 kwa mwezi? Kama hakatwi why? mfanyakazi wa mshahara wa 280000 iweje alipe kodi na anayepokea zaidi ya 10M asilipe kodi? Karibu mnijuze.
  14. kavulata

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa hisani ya serikali hawezi kuisimamia serikali

    Namna katiba yetu ilivyo inahitaji bunge lenye nguvu na meno kuisimamia serikali. Lakini kwa bahati mbaya bunge letu karibu lote limejaa wabunge ambao wameingizwa bungeni kwa msaada wa tume na serikali kwa kuwapitisha bila kupingwa na njia nyingine ambazo bila hizo huenda wasingeshinda ubunge...
  15. beth

    JamiiForums Tanzania Somalia: Wabunge wapiga kura kumfutia Rais nyongeza ya muda madarakani

    Wabunge Nchini humo wamepiga kura kufuta nyongeza ya miaka miwili madarakani kwa Rais Mohamed Abdullahi Mohamed iliyoidhinishwa mwezi uliopita baada ya jambo hilo kuibua mvutano mkubwa. Mgogoro wa kisiasa umeibua wasiwasi kuwa waasi wa Al Shabaab wanaweza kutumia nafasi hiyo kuhatarisha hali ya...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Viongozi wa Mahakama, wabunge na viongozi wakuu wa serikali awalipi Kodi?

    Nchi yetu inakautawala kaajabu kwelikweli, watu wanaopaswa kuwa mfano mzuri wa ulipaji Kodi ndio waliozuiliwa na sheria kulipa Kodi. Watu wanaolipwa vizuri awalipi Kodi. Watu wanaopaswa kuwatetea na kutunga sheria nzuri kuhusu Kodi awalipi Kodi. Watu wa aina hii wanawezaje kujua uchungu wa Kodi...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Bashiru na Polepole sasa ni wabunge wa kuteuliwa, David Silinde na Katambi ni Mawaziri

    Wakati mwingine ukifikiria sana siasa utagundua ni ubatili mtupu yaani ni bora umrejee muumba wako. Yaani leo hii ndio kusema maswali ya Dr Bashiru na komredi Polepole yanaenda kujibiwa na akina Gekui, Waitara, Silinde, Katambi na Dr Mollel kule bungeni? Kwamba, David Silinde ana mfuko wa...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa viti maalumu/wakuteuliwa wanatembelea V8?

    Mbunge akiteuliwa na Rais anapoingia Bungeni anakabidhiwa gari yakutembelea V8 au anajitaftia gari analiona litampendeza kulingana na shida au utajiri wake? Nauliza swali ili kulinganisha na kauli ya maisha Ni paredi, ukimbiwa nyuma geuka unakuwa wa mwisho na wa mwisho anakua wa Kwanza. Lakini...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Ukiondoa tabia ya kuwarubuni wabunge wa CHADEMA wahamie CCM, Dkt. Bashiru ni kiongozi makini na mjamaa

    Kiukweli chini ya uongozi wa katibu mkuu Dkt. Bashiru, CCM imepata mafanikio makubwa sana tangu mfumo wa vyama vingi uanze. Sasa mali za chama zinajulikana bayana na miradi yote ya CCM inajulikana tofauti kabisa na ilivyokuwa kwa watangulizi wake kuanzia Dkt. Gama hadi kanali Kinana. Tatizo...
  20. masopakyindi

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa Mbeya hatujasikia kelele zenu juu ya barabara zetu mbovu Bungeni

    Wabunge wetu mlioko Bungeni, Dodoma mnaotoka Mbeya. Mtajionyesha umahiri wenu toka siku ya kwanza kabisa bungeni, lakini umahiri huo hatuuoni. Kero kubwa za Mbeya, kwanza ni barabara. Main road ya Tanzania kwenda Zambia ni mbaya sana, ukiingia Mbeya mjini malori ya mixigo mizito inapishana na...
Back
Top Bottom