wabunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Replica

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu kuhutubia Bunge Alhamisi Aprili 22, 2021

    Spika wa Bunge, Job Ndugai amesema Rais Samia Suluhu Hassan atalihutubia Bunge Alhamisi Aprili 22 2021 jioni Hiyo itakuwa mara ya kwanza kwa Mama Samia kulihutubia Bunge tangu alipoapishwa kuwa Rais Machi 19 mwaka huu. === Rais Samia Suluhu Hassan atahutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa...
  2. I

    JamiiForums Tanzania BAWACHA: Rais Samia asiwatambue Wabunge 19 wa Viti Maalum waliofukuzwa uanachama CHADEMA

    Katika mkutano huo, Catherine Ruge amesema: Tumeona kwenye vyombo vingi vya habari kuwa Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassani anaenda kulihutubia Bunge tarehe 22 -04-2021 kwa mara ya kwanza tangu alipoapishwa kwa rais wa JMT kufuatia kifo cha mtangulizi wake, Dkt. John Magufuli. Kuelekea tukio...
  3. Lord OSAGYEFO

    JamiiForums Tanzania Kama Katiba inasema Mbunge akifukuzwa uanachama Ubunge wake unakoma, ni nani anawalinda Wabunge 19 waliofukuzwa CHADEMA?

    Hakika inashangaza sana kuona baadhi ya Viongozi wetu Walioapa Kuilinda Katiba lakini ndio Wanaikanyaga kwa Makusudi tena Hadharani.Kwa Mujibu wa Katiba tuna aina mbili za Wabunge Wakuchaguliwa na Wakuteuliwa. Na ili uwe Mbunge lazima uwe Mwanachama wa Chama cha Siasa. Moja ya Sababu za kukoma...
  4. ryan riz

    JamiiForums Tanzania Je, Tanzania wabunge wetu wanajua majukumu yao? Je, wana uwezo wa hayo majukumu?

    1. Hakuna wazo jipya lolote ambalo wamewahi kutoa lenye tija na manufaa kwa wananchi. 2. Kila kinacholetwa na serikali hupita bila kikwazo chochote hata kama hakina manufaa. 3. Kwenye suala la kuongeza makusanyo ya kodi hakuwa wazo lenye afya au mantiki walilowahi pendekeza zaidi kuiachia...
  5. Mwl Philemon

    JamiiForums Tanzania Wanaokula mnofu wa Tanzania

    WANAOFAIDI KEKI YA TAIFA Na Thadei Ole Mushi. Kwa Mwezi anapokea Milioni 11,000,000 Kwa mwaka atapokea 132,000,000 Kwa miaka mitano atapokea Jumla 660,0000 Huu ni mshahara tu hujaweka kiinua Mgongo, bado Sitting allowance, bado Posho mbalimbali nk. Tuachane na mawaziri na manaibu waziri...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Sasa ni dhahiri Bungeni kuna kundi la Rais Samia na kundi la Hayati Magufuli. Spika Ndugai awataka wabunge wa CCM kuitisha kikao cha usuluhishi

    Mbunge wa viti Maalum Lucy Mayenga amedai leo Bungeni kuwa kuna kundi la wabunge wengi ambao wanamepanga kuhujumu legacy ya Magufuli na kutaka kutenganisha Urais wa Samia na Urais wa Magufuli Amedai wabunge hao wanamsifia Samia Suluhu kwa lengo la kuonyesha kuwa Maguuli alikuwa akifanya vibaya...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Hela ya kuandalia futari Wabunge, haiwezi kutumia kununulia madawati ya watoto wetu wanaokaa chini mashuleni?

    Kumekwa na hii tabia ya viongozi wa nchi hii kuwaandalia wabunge futari jambo ambalo naamini linafanyika kwa gharama za serikali huku Serikali hii ikikemea matumizi mabaya ya fedha za Umma. Japo mini si muislamu, najiuliza kuna thawabu yoyote wanapata hawa viongozi kwa kutumia fedha ya umma...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Rais Samia ametuandalia futari Wabunge na Wafanyakazi wote wa Bunge siku ya Alhamisi 22/04/2021

    Spika wa bunge Mhe. Ndugai amewatangazia wabunge na wafanyakazi wote wa Bunge kwamba Rais Samia Suluhu Hassan amewaandalia futari siku ya Alhamisi mara baada ya Rais Samia kulihutubia Bunge. Zoezi la kufuturu litafanyika hapo hapo bungeni Chanzo: Eatv Habari Ramadhan Kareem!
  9. J

    JamiiForums Tanzania Leo wabunge wanakwenda moja kwa moja kwenye point hakuna kupongezana wala kupeana pole, Kilango alia na upendeleo!

    Mjadala wa ofisi ya Rais Tamisemi unakwenda vizuri ile mambo ya kusifia sifia kutoa pongezi na pole haipo leo. Mbunge wa kwanza kuchangia Anna Kilango ametaka majimbo yote yaangaliwe kiusawa kwenye swala la fedha za maendeleo badala ya fedha kupelekwa jimbo moja tu kwa upendeleo. Amesema...
  10. Kabulala

    JamiiForums Tanzania Swali Fikirishi: Hivi wabunge ni Viongozi au Wawakilishi wa Wananchi?

    Mara nyingi nimekuwa nikiwasikia wabunge walio wengi wakichangia hoja mbali mbali Bungeni na hata nje ya Bunge huku wakijitanabaisha kuwa wao ni viongozi waliopewa dhamana na kuaminiwa na wananchi. (most recently January Makamba alirudia kama mara 3 akijiita kiongozi yeye na wabunge wenzake)...
  11. MC44

    JamiiForums Tanzania Wabunge wanaodemka hawajui machungu ya kutafuta kura

    Tangu Bunge jipya kuanza kumekuwa na vihoja na viroja kutoka bungeni nadhani hii ni kwa sababu wabunge wengi wapo pale kwa hisani ya mtu. Wengine ndo hao viti maalum. Hawajui haso za kusaka kura mitaani. Hawajui wakiwa bungeni ni kujipigia kampeni ili akija mtaani asitumie nguvu nyingi sana...
  12. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Ibara ya 100 ya Katiba ya JMT imewapa wabunge Uhuru wa kujadili Hoja na Mijadala mbalimbali bila kuingiliwa na Mhimili wala Mtu yeyote. Tusiwaingilie

    Imetamkwa wazi kabisa wabunge wapo huru kujadili hoja na mijadala mbalimbali bila kuingiliwa na mtu au mhimili wa dola. Ipo wazi katika ibara ya 100 (1) kwa hiyo sioni haja ya kuwapangia nini cha kujadili. Ibara ya 100 (2) imepigia mstari kabisa kuwa wabunge hawatashitakiwa kwa chochote...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Haya ndio matatizo ya kumpa Kibajaji dakika 15 ili amshambulie Mbowe, yeye akawashambulia viongozi wakuu na wabunge wenzie

    Nilisema hapa kitendo cha kumteua Kibajaji kuwa mchangiaji mkuu wa hotuba ya Waziri Mkuu kwa kumpa dakika za upendeleo 15 hakikuwa cha busara. Matokeo yake Wabunge wote waliofuatia nao wakawa wanapita mlemle ama kuegemea kwa hayati Magufuli au kujipendekeza kwa Rais Samia badala ya kujadili...
  14. masopakyindi

    JamiiForums Tanzania Kuingiliwa kwa Sera na uendeshaji wa vyombo vya Ulinzi na Usalama, wabunge jadilini hili

    Siyo siri, katika Awamu ya Tano iliyopita Vyombo vyetu vya Ulinzi na Usalama viliingiliwa kiutendaji kiwazi wazi. Hii inaweza leta athari kubwa sana lisipokabiliwa mapema. Tunaona sasa hivi kwa mfano hao vijana wa JKT walioahidiwa ajira utafikiri wanaajiriwa kiwandani. Kucheza na hivi vyombo...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Wabunge wasomi endeleeni kuchutama. Msijibishane na wa darasa la saba

    Ni kawaida kwa mtu mwenye akili zake (muungwana) akianza kurushiwa maneno na kichaa huwa anakaa kimya. Vivyo hivyo muungwana akiporwa nguo zake na kichaa, huwa anachutama. Sasa wabunge darasa la saba kwasababu ya upeo wao finyu, hubwatuka tu dhidi ya wabunge wasomi wenye akili. Na wabunge...
  16. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Musukuma: Profesa Sospeter Muhongo usomi wake hauna faida kwa Tanzania

    Mbunge wa Geita Vijijini (CCM), Joseph Musukuma amemshukia mbunge wa Musoma Vijijini (CCM), Profesa Sospeter Muhongo kwamba usomi wake hauna faida kwa Tanzania. Musukuma amesema ni wakati kwa Serikali kuwaamini wasomi aliowaita wa darasa la saba akidai kuwa wanakulia kwenye kazi. Mbunge huyo...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Kama Wabunge wana Magari yao ya 'Kifahari' unadhani ni kwanini hupenda Kutumia 'Bodaboda' na 'Bajaji' tena Nyakati za Usiku tu wakiwa Dodoma?

    Hatimaye Spika Ndugai Uvumilivu umemshinda na kaamua Kuwaonya Wabunge wanaopenda Kupanda 'Bodaboda' na 'Bajaji' wakati wana Magari yao tena ya 'Kifahari' kabisa kuwa yakiwakuta ya kuwakuta Wasilaumu. Chanzo: Daily News Ukurasa wa Pili Na nyie Wabunge ifike muda mjitathmini hivi Magari yenu...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini wabunge wanaichambua hotuba ya Mbowe na hawaigusi kabisa ile ya Zitto kuhusu CAG?

    Ikumbukwe kuwa Zitto Kabwe na Freeman Mbowe walitoa hotuba zao siku moja ila walipishana masaa tu. Zitto Kabwe alijikita kwenye ripoti ya CAG na akaelezea ubadhirifu katika maeneo kadhaa ikiwemo ATCL. Freeman Mbowe yeye alijikita kuuelezea utawala wa awamu ya tano ulivyohitimika na kuanza kwa...
  19. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania Kwa Spika Job Ndugai: Busara na hekima inataka mambo mengine mzungumze na wabunge wenzako mkiwa ktk "off the media cameras"

    Moja ya sifa ya mtu kamili na hususani kwa kiongozi wa umma kama alivyo Spika wa Bunge la JMT ndugu Job Ndugai, ni kutumia busara na hekima katika kufanya maamuzi yake iwe ni kwa kutamka kwa maneno au kwa kutenda kwa vitendo. Leo asubuhi spika Job Ndugai ametamka pasipo umuhimu wala ulazima...
  20. Q

    JamiiForums Tanzania Wabunge wameacha kujadili mambo ya msingi wanajadili ‘legacy’, itatusaidia nini?

    Watu badala ya kupambana na maisha ili wapate ridhiki kutwa kuchwa wanapambania legacy ya marehemu itakusaidia kitu gani, Magufuli ameshakufa hawezi kurudi wala hawezi kusikia mnayosema, aliyotenda mabaya au mazuri hayawezi kuongezwa wala kupunguzwa na walio hai, matendo yake au legacy yake...
Back
Top Bottom