wabunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Lord OSAGYEFO

    JamiiForums Tanzania Mishahara mikubwa na matumizi ya gharama ya Viongozi na Wabunge ni sababu ya Wananchi kutolipa kodi

    Tanzania ni moja ya nchi masikini zilizojaliwa kuwa na utitiri wa viongozi kuanzia Wilaya mpaka Taifa viongozi hao waliligharimu taifa fedha nyingi sana kuliko hata za watumishi wote wa serikali tuna wakuu wa wilaya 140, Wakurugenzi 200 wakuu wa mikoa 26 makatibu tawala wa wilaya 140 makatibu...
  2. moyafricatz

    JamiiForums Tanzania Wabunge msiotosheka na 12M, achieni ngazi young graduates wachukue nafasi zenu

    Wanabodi, Nimesikitishwa sana na kitendo cha yule Mbunge juzi kutoa hoja ya wao wabunge waongezewe mishahara maana wana kazi nyingi sana. Kama hilo halitoshi Mbunge yule ameenda mbali akisema hata malipo ya mishahara yao yafanyike kwa malipo ya dola za kimarekani. Kwa jinsi hasira zilivyokaba...
  3. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Sakata la maslahi ya Wabunge na hekaya ya Hilda Newton

    Habari wanabodi, Kumekuwa na trend ya muda kuhusu sakata lililoibuliwa na Mh Nicodemas Henry Maganga mbunge wa Mbongwe kuwa maslahi yao ni madogo kuliko inavyodhaniwa. Katika kuutanabaisha huu mjadala ulioleta hasira toka kwa wapiga kura. Nimekutana na kasimulizi toka kwa Hilda Newton juu ya...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Malalamiko ya mbunge wa Mbogwe yasipuuzwe. Anadai wanalipwa mil 3.8. Hataki kufanya ujanja ujanja kama wabunge wengine. Ni ujanja gani?

    Mbunge wa Jimbo la Mbogwe ameendelea kukazia zege kauli yake aliyoitoa bungeni juu ya maslahi ya wabunge. Anadai yeye ni msema kweli daima, ameokoka na hataki kufanya yasiyopendeza Mungu. Amefunguka kwa kusema kuwa wabunge wanalipwa milioni 3.8 tu. Ambazo kimsingi hazitoshi kwa kazi...
  5. Zero IQ

    JamiiForums Tanzania Wabunge wanataka kodi za wanyonge ili wakajilipe Posho na Mishahara minono

    Nchi imekuwa ya kusadikika kweli, kila siku wanabuni mbinu mpya ya kuwakamua wasiojiweza, wenye uwezo mdogo wa kuendesha maisha yao ili matumbo yao yaneemeke. Baada ya kubuni mbinu za kuwainua wananchi ili wapate walipa kodi wengi wao ndio wanazidi kuwakamua na kuwatia umaskini Wawakilishi...
  6. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Kenani Kihongosi awa Katibu Mkuu UVCCM

    Ni Wazi sasa hawa Vijana wamechoka. Kenani Kihongosi DC wa Iramba ateuliwa kuwa Katibu Mkuu UVCCM. Yule Msanii aliyekua Arusha wananchi wakamlalamikia. ==== Chama cha Mapinduzi (CCM) kimemteua Mkuu wa Wilaya ya Iramba, Kenani Kihongosi kuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM)...
  7. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Katiba yetu inavyotisha Wabunge

    Spika Job Ndugai amesema kwa mujibu wa Ibara ya 90(2)(b) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais ana uwezo wa kuvunja Bunge endapo likikataa kupitisha Bajeti ya Serikali. Nimejiuliza maswali 1. Kuna ulazima wowote wa Spika Ndugai kutoa leads Kwa wabunge cha kufanya? Spika wa Bunge...
  8. P

    JamiiForums Tanzania Wabunge19 Viti Maalum wanaojitambulisha kwa jina la CHADEMA washitakiwe

    Uongozi wa CHADEMA. Ni miezi 8 sasa tangu Wabunge wa Viti Maalum 19 kuwa Wabunge kwa mwavuli wa CHADEMA. Lawama nyingi zimekuwa zikielekezwa CHADEMA. Naomba mtafute wanasheria wazuri wafungue mashitaka kwaniaba ya taasisi ya CHADEMA, sio tatizo wakishirikishwa Wananchi kuchangia kwa ajili ya...
  9. P

    JamiiForums Tanzania Kodi ya Uzalendo kwa Wabunge

    Tuna Wabunge 413 kwa taarifa za leo June 22/2021. Ili kuondoa utata wa kodi ya uzalendo kwenye simu na LUKU napendekeza Kodi ya Uzalendo kwa Wabunge Tsh. 1,000,000 kila mwezi wakatwe. Wananchi vyuma bado vimekaza
  10. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Nicodamus Maganga (Mbunge) adai Mishahara na Posho haiwatoshi Wabunge. Ashangiliwa...

    "Kuna manung'uniko maslahi ya Wabunge ni kidogo, wakati sijaingia humu nilikuwa nafikiria kuna posho za kutosha, nimeangalia Mabunge mengine wanalipa kwa dola, tusiwaogope Wananchi kwenye Ubunge hakuna kitu tunatukanwa tu mitandaoni”—-Mbunge wa Mbogwe, Maganga ==== Dodoma. Mbunge wa Mbogwe...
  11. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Job Ndugai: Wabunge mkiikataa bajeti mmejivua Ubunge wenyewe kwa mujibu wa Katiba

    Spika wa Bunge, Job Ndugai amewaambia Wabunge kuwa kwa mujibu wa Ibara ya 90(2)(b) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais wa Tanzania ana uwezo wa kuvunja Bunge endapo litakuwa limekataa kupitisha bajeti ya serikali iliyopendekezwa. Ameyasema hayo leo, Juni 22 ambayo ni siku ya...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Mishahara ya Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ikatwe PAYE

    Huu ni uzalendo. Uzalendo hauishii kwenye laini za simu tu. Naomba Spika afikishe huu ujumbe kwa Wabunge wake. La sivyo tutaandamana kushinikiza nao wakatwe kodi kwenye mishahara yao.
  13. The Khoisan

    JamiiForums Tanzania Nitamuita Shujaa wa Taifa Mbunge yeyote atakayependekeza kodi kwa Wabunge

    Kwa kweli wananchi wa Tanzania hasa wafanyakazi wa serikali wamesota sana kwa miaka 6 iliyopita. Kuiishi miaka yote hiyo bila kuongezewa mshahara wakati ghalama za maisha zikiendelea kupanda kwa kweli siyo mchezo. Hapa lazima tuwapongeze hawa wafanyakazi. ingekuwa nchi za wenzetu has kama za...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Sina chuki nao, ila mishahara ya wabunge ni 'too much'

    Huo ndio ukweli mishahara ya au mshahara wa mbunge na mapochopocho wanayokwapua au kulipwa ni mishahara hatarishi kwa Taifa letu ambalo linajikongoja. Ajira ya ubunge sasa imekuwa ni ya kufa na kupona. Hivi kazi hii kweli mmeifuatilia na kipimo cha mtu anachokwapua, wengi huwa wanachomekea tu...
  15. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Wabunge ndio maadui Wakwanza wa Maendeleo yetu na wanatunyonya

    Watanzania. Naomba kwa heshima na Taadhima. Leo hii tufahamu wanaotukwamisha katika maendeleo ni akina nani. Hatuwezi shinda vita vya Umaskini ikiwa Hatujafahamu Maadui zetu ni akina nani. Tunapaswa pia tufahamu wanaopigana wakiwa upande wetu bega kwa bega ni akina nani. Wanaweza kuwepo watu wa...
  16. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Huu ni wakati wa Wabunge kudhihirisha "umuhimu" wao kwa Wananchi wao

    Bajeti imesomwa, waliosikiliza wamesikia, waliosimuliwa wamesikia, waliiosoma wameisikia, na WALIOELEWA huenda wameelewa. Kinachofuata sasa ni mjadala kwa Wawakilishi wa Wananchi "waliochaguliwa" kwa 99% yaani Bunge zima ni CCM. Tunataka watudhihirishie kuwa wako "vizuri" kutetea maslahi ya...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Leo ni Bunge la Wanaume watupu, wabunge wanawake wanahudhuria mkutano wa Rais Samia

    Bunge la 12 Mkutano wa 3 Kikao cha 47 kinaendelea leo bila uwepo wa wabunge wanawake ambao wameelekea ukumbi wa Jakaya Kikwete kwenye mkutano wa Wanawake wote bila kujali itikadi na Rais wa JMT mh Samia. Hakuna kupigiana makofi waka mbwembwe zozote ni moja kwa moja kwenye mada. Pia soma > LIVE...
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kama aliyeharibu Uchaguzi Mkuu 2020 nae aliimiliki hii ' laana ' kwanini Wabunge aliowapitisha ' Kimabavu ' laana hii isiwaandame tu?

    Spika wa Bunge, Job Ndugai akizungumza bungeni alipokuwa akiwaonya wabunge kutoleta taarifa za kutambulishwa bungeni waume au wake za watu wakidai ni waume au wake zao, alipokuwa akiongoza kikao cha bunge la bajeti, jijini Dodoma leo. Ndugai amesema amepokea malalamiko kutoka kwa wananchi...
  19. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Tunahitaji kuwa na sheria itayowapa haki waliobambikiwa kesi kudai fidia

    Ukitaka kujua hapa Tanzania kubambikia watu kesi ni tatizo kubwa basi hudhuria mahakamani mara kwa mara. Unaweza kusikia mtuhumiwa wa miaka 40 hati yake ya mashitaka ikitaja kuwa ana miaka 21. George Banoba akatajwa kuwa anaitwa Mohamed John. Hii yote tu ni waendesha mashitaka kulazimisha watu...
  20. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kuitisha Baraza Kuu mwezi Julai, suala la Wabunge 19 wa Viti Maalum kumalizwa rasmi

    Hii ndio Taarifa ya Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe au waweza kumuita Mtemi Isike aliyoitoa kwa waandishi wa habari, alipokuwa kanda ya Magharibi katika ziara yake ya Operesheni Haki. Amesema baada ya vikao vya Baraza Kuu ratiba ya Mikutano ya hadhara nchi nzima itapangwa.
Back
Top Bottom