wabunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. P

    JamiiForums Tanzania WABUNGE: Kodi ya mshikamano ianzie kwenye malipo ya Wabunge yapitie kwenye simu

    Wenzetu Wabunge wawe wakwanza kutumia kodi ya mshikamano kwa kulipwa kwa njia ya simu. Kwa kuwa wabunge wana mishahara mikubwa na malupulupu kibao ipendeze kodi hii ya mshikamano kila malipo ya mbunge yapitie kwenye simu take. Hii itasaidia kuutunisha huu mfuko wa mshikamano kwa kasi nakufikia...
  2. Chaliifrancisco

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa Wabunge wa Upinzani Bungeni

    Ifikie mahali Watanzania wote tukubaliane kuwa hata kama chama tawala hampendi upinzani lakini kuna umuhimu wa wabunge wao kuwepo bungeni. Fikiri kuhusu hizi tozo zinazoumiza ambazo zimeongezwa katika bei za mafuta, voucher na katika huduma za pesa kwa njia ya simu. Tukubali kabisa kuwa...
  3. Q

    JamiiForums Tanzania Wabunge wanatuona ‘SISI’ wananchi ni wajinga sana

    Tunategemea Wabunge wawe watetezi wa wananchi kwenye masuala mbalimbali kurahisisha maisha yetu badala yake wao ndio wamekuwa wawakilishi wa serikali kutugandamiza. Wabunge wameridhia serikali kupunguza kodi kwenye bia na kuongeza kodi kwenye mafuta ya petrol, hawaoni kuwa ni mzigo kwa...
  4. Baraka Mina

    JamiiForums Tanzania Wabunge na watumishi wa umma isikieni sauti iliayo nyikani

    Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere alisema mwaka 1995 kuwa "Ukipewa kazi ya nchi, lazima ujiheshimu. Huwezi kupewa kazi ya nchi halafu ukaishi kihunihuni." Ni kweli kuwa dunia inaenda kasi na pia wakati ni ukuta; muda ni mchache na mambo ni mengi lakini kama umepewa kazi ya nchi ni...
  5. F

    JamiiForums Tanzania Kwanini baadhi ya Wabunge hawaonekani kwenye majimbo yao baada ya uchaguzi?

    Mara nyingi sana binadamu huwa ana tabia ya kusahau. Nyakati zote za uchaguzi mkuu wagombea huwa wanyeyekevu kupita kiasi, lakini mara baada ya kushinda uchaguzi ni nadra sana wabunge kuonekana. Kwenye Majimbo yao wakishiriki kufanya shughuli za kimaendeleo kwenye majimbo yao.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu CCM awataka Wabunge wote kuanza ziara majimboni

    Na Mwandishi wetu, Rukwa. KATIBU Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Daniel Godfrey Chongolo amewaagiza wabunge wote wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania wanaotokana na CCM kufanya ziara katika majimbo yao yote kueleza yaliyopitishwa na Bunge la bajeti na kupokea changamoto zingine...
  7. JERUSALEM 2006

    JamiiForums Tanzania Sekretarieti ya CCM mnafanya mikutano ya hadhara kama wabunge wa wapi?

    “Kwa sasa tunaruhusu mikutano ya ndani, isipokuwa kwa wabunge wenye majimbo” Samia Suluhu Hassan, Madam President. Sasa nyie Secretariat ya CCM mmeenda Zanzibar mkafanya mkutano huko mpaka watoto wadogo wakaanza vijembe kwa kina Mbowe. Sasa mko Mikoa ya Songwe na Rukwa, huyu katibu mwenezi...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Kibatala na Sintofahamu ya Wabunge 19 Wasiokuwa Wanachadema

    Alivyofunguka kisomi wakili Kibatala kuwahusu wabunge 19 waliokuwa wanachama wa CHADEMA: Sura tofauti katika kushughulikia tatizo la aina moja (double standards) katika rangi zake zaanikwa. Waheshimiwa Pascal Mayalla , Petro E. Mselewa na ndugu wajumbe hoja hupingwa kwa hoja. Au nasema...
  9. Q

    JamiiForums Tanzania Kuna Wabunge 37 ‘haramu’ bungeni ambao hawatambuliwi na Katiba

    Wabunge 19 wasio na chama na Wabunge 18 waliopita bila kupingwa. Ibara ya 66; Kutakuwa na aina zifuatazo za wabunge, 1. Wabunge wa kuchaguliwa majimboni. 2. Wabunge wanawake wa viti maalumu. 3. Wabunge wa kuteuliwa na rais. Hao wasio na vyama na waliopita bila kupingwa wameandikwa kwenye...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Askofu Shoo, Wabunge Timotheo Mzava wa Korogwe na Dkt. Pallangyo wa Arumeru wanalichafua kanisa au wanachafuliwa?

    Mbunge wa Korogwe Vijijini Timotheo Mzava anatarajiwa kufunga ndoa na Binti wa Mbunge wa Arumeru Mashariki Dr. Jonh Pallangyo. Ndoa hii inalalamikiwa na mtu anayetambulika kwa jina la Anna na wachungaji huko Arusha na Tanga wanafahamu upo mgogoro. Mgogoro huu nimeusoma kwenye gazeti kwamba Mzava...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Pascal Mayalla: CHADEMA watengeneze kwanza Katiba mpya ya chama chao kabla ya kukimbilia katiba ya nchi, wawatendee haki wabunge 19

    Mwandishi wa habari nguli nchini na mwanasheria Pascal Mayalla amesema Chadema wanapaswa kurekebisha kwanza katiba ya chama chao kabla ya kukimbilia kudai katiba mpya ya nchi. Pascal amesema Chadema hawana fedha za kuitisha kikao cha kujadili rufaa za wabunge wake wa viti maalumu sasa fedha za...
  12. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Tunamkumbusha Rais Samia hao wabunge na madiwani hawakuchaguliwa na wananchi

    "Mama anasema wabunge wafanye mikutano kwenye maeneo yao, mambo yaleyale aliyetueleza Mwendazake, tunakumbusha Mama Samia hao wabunge na madiwani hawakuchaguliwa na wananchi"-Freeman Mbowe
  13. M

    JamiiForums Tanzania Dhana ya mikutano ya hadhara kufanyika majimboni vipi wapinzani wasiokuwa na madiwani na wabunge

    Katiba ya jamuhuri ya muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 ambayo mh rais aliapa kuilinda inatoa nafasi ya vyama vyote kufanya mikutano ya hadhara kuzungumza na wanachama wao. Kauli ya mama ya kwamba mikutano ya hadhara kwa sasa hapana na inaruhusiwa kwa mbunge au diwani afanyie Jimboni kwake...
  14. P

    JamiiForums Tanzania CCM tumshauri Rais Samia kuhusu Wabunge 19

    Ndugu katibu mkuu CCM, Ndugu wanachama, Ni dhahiri chama kinasimamia Serikali, Wabunge 19 waliopo bungeni bila ridhaa ya Chadema ni mtaji kwa CCM kwa sasa. Madhara yake baadae ni makubwa. Nashauri serikali iwasimamishie mishahara yao mara moja hawa waliingia kwa jinai bungeni kupitia...
  15. MchunguZI

    JamiiForums Tanzania Wabunge walifanyiwa Presentation wakasema safi. Rais Samia sasa kaingia line

    Kwanza niulize; Wapi wabunge walikokwenda wasiombe rushwa? Hata kwenye taasisi za serikali ni hivyo hivyo! Mbumbumbu hawa ndo iwe kigezo cha kuwekeza Bagamoyo? NO! Bandari ya Bagamoyo ilibuniwa kuanzia ikulu ya Kikwete. Hakukuwa na faida yoyote ya nchi ila familia yake na baadhi ya wanasiasa...
  16. DeepPond

    JamiiForums Tanzania Tusifunge mjadala, Mshahara wa Mbunge kwa mwezi ni 12,892,000

    Na Thadei Ole Mushi Kuna Msaidizi mmoja wa Mbunge Kanitumia document hizi ili kufanya Clarification zaidi kwa jamii kuhusu Mishahara ya Mbunge. Twende sawa hapa. 1. Mbunge hulipwa mshahara kwenye scale ya LSS (P) 2 ambayo mshahara wake ni Shilingi 4,600,000. 2. Atalipwa posho ambazo kwa...
  17. Rwaz

    JamiiForums Tanzania Suala la Wabunge kukatwa kodi si la kupuuza

    Kuna mambo kama hatuwezi kuyakomalia basi hata mengine tuachane nayo. Maana yake hatujui tunataka kufika wapi! Suala la wabunge kukatwa kodi si la kupunguzia sauti. Si kwa mapato ya taifa tu bali pia kwa kuweka misingi bora ya elimu ya kulipa kodi. Hivi mbunge anaombaje miundombinu na huduma...
  18. Subira the princess

    JamiiForums Tanzania Hili la wabunge kutolipa kodi linatafakarisha na kuchefua

    Wasalaam, mfanyakazi wa kawaida analipwa kima cha chini 370,000 na anakatwa kodi asilimia 9 lakini Mbunge analipwa mamilioni na hakatwi kodi hii sio sawa Serikali ya CCM mnanyonya maiti damu.
  19. P

    JamiiForums Tanzania Hoja ilikuwa nini kwa Wabunge wa CHADEMA kuhojiwa na TAKUKURU?

    Mwaka 2020 TAKUKURU ilifanya kazi yakuwahoji wa bunge wote wa CHADEMA mmoja baada ya mwingine. Lengo lilikuwa ni mini? Wananchi na vyama vya upinzani tulijifunza nini? Je, mwaka huu hakuna wa Bunge wa CHADEMA wanaostahili kuhojiwa?
  20. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Wabunge wana haki ya kudai nyongeza ya mshahara, hoja yao isikilizwe wasipuuzwe

    Habari wadau, Naona kuna vugu vugu sasa wabunge kutaka kuongezewa mshahara maana hauwatoshi, binafsi nadhani wana hoja ya msingi ni vyema wakasikilizwa. Wengi tulikuwa tunajua wabunge wanalipwa pesa nyingi sana kutokana na kazi kubwa wanazozifanya lakini nilipofuatilia kiasi anacholipwa mbunge...
Back
Top Bottom