waandishi

  1. K

    JamiiForums Tanzania Waandishi wetu wa Habari wekeni Tanzania na haki mbele kuliko ushabiki

    Waandishi wa habari wa Tanzania wamekuwa vituko. Hawajui kuuliza maswali, hawajui kuhoji na wameweka ushabiki mbele kuliko Tanzania. Kumpenda Magufuli au kiongozi yeyote wa Upinzani haina maana kwamba una support kila kitu hata ubanaji wa haki na demokrasia ya wananchi. Huu uchaguzi ulivyoenda...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Kesho Jumamosi viongozi wakuu wa CHADEMA, ACT Wazalendo kuzungumza na Waandishi wa Habari-Makao Makuu ya CHADEMA

    Kesho majira ya saa nne asubuhi viongozi wakuu wa CHADEMA na ACT Wazalendo kuzungumza na Waandishi wa Habari. Yatafanyika Makao Makuu ya CHADEMA mtaa wa Ufipa Kinondoni. Stay tuned!
  3. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Umejifunza nini kwenye mkutano wa Membe na waandishi wa habari?

    Kama umefuatilia mkutano wa Membe na waandishi wa habari leo utagundua kuwa mheshimiwa Membe hayuko tayari kumuunga mkono mheshimiwa Lissu kwenye kiti cha urais. Ikumbukwe kwamba kiongozi wa chama cha ACT-Wazalendo mhe. Zitto Kabwe na mwenyekiti wake mhe. Maalim Seif S. Hamad wameshatangaza...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2020 Bernard Membe: Watanzania mkae macho na mkae chonjo. Nafunga bao la Ushindi dakika ya 89 kwenye Uchaguzi huu 2020

    Salaam Wakuu, Leo Mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Ndugu Bernard Membe anaongea na Wahariri wa Vyombo vya habari Jijini Dar. Nipo hapa City Lodge Mjini kati kusikiliza kile atakachoongea niwajuze. Taarifa zote zitapatikana kwenye hii thread. Stay tuned. =====...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Bernard Membe kuongea na Wahariri leo Oktoba 19, 2020

    Kuna taarifa za awali zinaonyesha kuwa ‘Kachero Mbobezi’ ndugu Bernard Membe ameamua kufanya ‘maamuzi magumu’ na hivyo asubuhi ya leo mida ya saa 4 anatarajiwa ‘kulipuka’ mbele ya Wahariri wa Vyombo vya Habari jijini Dar. Je, tutarajie yepi toka kwa hili ‘joka la mdimu’? A) Atafanya kama Dk...
  6. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mashindano ya waandishi wa habari SADC 2021

    MASHINDANO YA SADC KWA WAANDISHI WA HABARI KWA MWAKA 2021 Dodoma, 15 Oktoba 2020 Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki inapenda kuufahamisha umma kuwa Sekretariati ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) imetangaza kuanza rasmi kwa mashindano ya waandishi wa habari...
  7. DIUNATION

    JamiiForums Tanzania GE2020 Uwanja wa Mkapa umeharibika waandishi kimya

    Jana kulikuwa na tukio kubwa sana la kampeni la Chama cha Mapinduzi kwenye uwanja mkubwa wa Mkapa. Kilichotokea baada ya tukio hilo picha zinajieleza haina tofauti na kilichofanywa na WCB kule Sokoine, Mbeya. Tofauti ni kuwa kule Mbeya kelele za kulaani zilikuwa nyingi ila kwa Jana kimya kila...
  8. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yaitisha Mkutano na Waandishi wa Habari Makao Makuu ya Chama

    Wote mnakaribishwa . ======= Akizungumza na wanahabari Katibu Mkuu wa Chadema Mh John Mnyika , ameiomba Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuitaja Kampuni iliyoshinda zabuni ya kuchapisha karatasi za kupigia kura , na njia zilizotumika kuipata na labda na washindani iliyochuana nao
  9. U

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole Kuzungumza na Waandishi wa Habari kesho Oktoba 8, saa 8 Mchana

    Tuna Jambo Letu Kesho Saa 8 Mchana Uskose wakiweka uongo tunaweka ukweli wote
  10. Kabulala

    JamiiForums Tanzania Waandishi wa habari jifunzeni kuvaa mavazi yanayoendana na Matukio mnayoyafanyia Coverage

    Ndugu waandishi, Nimekua nikifuatilia KAZI zenu hasa za kwenye TV zenu za YouTube na kugundua wengi wenu mavazi yenu hayawatanabaishi kama wataaluma/ watu wenye Ku-command respect kutoka Kwa vyanzo vyenu mnavyochukua habari hasa zile za kisiasa au stream/wadau wenu mnakopereka habari...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA: Tunamuunga mkono Maalim Seif kwa Urais Zanzibar. Lissu hataendelea na kampeni, atapangiwa majukumu mengine

    Kwa mujibu wa Tumaini Makene: Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Mhe. Freeman A. Mbowe leo Jumapili, Septemba 4, 2020, saa 7 mchana atatoa tamko, kupitia Mkutano wa Waandishi wa Habari, kuhusu maazimio ya Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Chama kilichoketi jana na kumalizika usiku jijini Dar es Salaam...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Waandishi wa habari wanafanya kazi kwa uhuru Tanzania

    Serikali ya Tanzania inaendelea kuheshimu na kulinda tasnia ya habari na wanahabari kuweka misingi imara ya sheria inayofanya watendaji wake kufanya kazi kwa uhuru bila kuingiliwa na mhimili mwingine wa Nchi. Tasnia na wanatasnia wa Tanzania wapo huru na wanaendelea kulindwa na kuheshimiwa, ili...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Waandishi wa habari wa Zanzibar wako vizuri kuliko wa Bara kwenye mambo ya uchaguzi.

    Niwapongeze waandishi wa habari wa Zanzibar kwa namna wanavyofuatilia na kuripoti habari za uchaguzi. Mungu awabariki Maendeleo hayana vyama!
  14. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ameongea na waandishi wa habari, afafanua vitisho vya Amsterdam kwa Mkurugenzi wa Uchaguzi na suala la kuunga mkono Ushoga

    Hii ndio Taarifa mpya inayozunguka duniani kwa sasa . Endelea kutegea sikio === Mgombea wa Urais kupitia tiketi ya Chama cha Demakrasia na Maendeleo (Chadema) Ndugu Tundu Lissu leo amekutana na Waandishi wa habari ambao walipata fursa ya kumuuliza maswali mbalimbali ambapo Mgombea huyo...
  15. D

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu: Sijaletewa malalamiko yoyote kuhusu chochote " As far as I'm concerned" sina chochote cha kufanya nje ya ratiba yangu

    Yupo Arusha anaongea na waandishi muda huu na huo ndiyo ujumbe wake kwa tume. Malalamiko hayapelekwi CHADEMA wala Twitter bali anapelekewa yeye. Tundu Lissu amesema kuwa yeye ndiye aliyesaini hati ya maadili ya tume na lolote linalomhusu yeye kuhusu maadili ya uchaguzi ni lazima apelekewe yeye...
  16. U

    JamiiForums Tanzania Taarifa kwa Umma: Humphrey Polepole Kufanya Mkutano na Waandishi wa Habari Leo Jumapili Kuanzia Saa 8 Mchana

    Ndugu Mtanzania Mzalendo tafadhali mkumbushe & Mtaarifu Mwenzako Tuna Jambo Letu Leo Iko faida ya kuuishi na kuusema ukweli, Na leo nitausema na kuudhihirisha ukweli. Kura zote kwa Mkweli Namba1, Dkt. Magufuli
  17. Q

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu afanya mdahalo na Waandishi wa habari atoa ufafanuzi kuhusu masuala mbalimbali. Apangua hoja ya kutumika na mabeberu

    "Tofauti ya Mrema, Slaa na Lowassa ni 'organization' wakati wa nyuma hakukuwa na 'organization' ila sasa tunayo, tunaweza kuweka mawakala nchi nzima"- @TunduALissu #“Kutakua na Uhuru kamili wa vyombo vya Habari, katiba yetu haina neno ISIPOKUA, kutakua na Uhuru wa maoni, kutakua na Uhuru wa...
  18. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania UNESCO: Waandishi wananyanyasika ku'cover' stori za migomo na maandamano

    UNESCO: UHURU WA VYOMBO VYA HABARI NA HAKI YA KUPATA TAARIFA WAZIDI KUFINYWA DUNIANI UNESCO imeripoti kuwa waandishi wa habari wanatendewa maovu wanapokuwa kazini hasa kufuatilia matukio ya migomo na maandamano. Ripoti imeonyesha polisi wamekuwa wakivunja uhuru wa vyo vya habari kwa nusu ya...
  19. W

    JamiiForums Tanzania GE2020 Polepole: Kuna mgombea mmoja amekimbia yupo nje ya nchi, ameona maji yamemfika shingoni. CCM tunafanya kampeni za kisayansi

    Kampeni za CCM 2020 tunazifanya kisayansi, tumegawanya viongozi waandamizi wa chama kwenye maeneo tofauti. Msafara mkuu unaongozwa na Dkt. Magufuli, msafara mwingine wa Mhe. Samia Suluhu, na mwingine unaongozwa na Kassim Majaliwa, sisi hatutumii chopa." - Humphrey Polepole. Mzee Jakaya Kikwete...
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Waandishi wa Habari wa Tanzania jifunzeni Kuuliza 'Critical Questions' Wanasiasa wa Tanzania na 'Mjiamini' pia

    Laiti ningepata nafasi kwa Mtu ambaye namvizia sana Kumpata na Kufanya nae 'Mahojiano' kwakuwa naikubali mno 'IQ' yake ningeanza na haya.... 1. Ni Kitu gani cha Kimaendeleo unadhani Serikali ya CCM chini ya Rais Magufuli haijafanya na Yeye akishinda atakifanya? 2. Ni kwanini anahusisha Tukio...
Back
Top Bottom