CoronaVirus: Katika kujikinga na COVID19 mikusanyiko ya Waandishi wa Habari yazuiwa Zanzibar

Influenza

JF-Expert Member
Jul 1, 2018
1,445
3,402
Katika kujikinga na maambukizi ya virusi vya ugonjwa wa #COVID19, Serikali imesema kuanzia leo mikutano ya Waandishi wa Habari na shughuli nyingine zitakazowafanya waandishi wa habari kukusanyika zinasitishwa

Hivyo, taarifa za Waziri wa Afya kuhusiana na ugonjwa huo zitatolewa kwa njia ya ‘Press Releases’, kurushwa moja kwa moja kupitia Shirika la Utangazaji Zanzibar (ZBC) au kurekodiwa na kisha kusambazwa

Aidha, Taasisi zote zitakazokuwa na shughuli zinazowajumuisha Waandishi wa Habari wameombwa kutumia njia zilizoelezwa na kwa namna yoyote ile kuepusha kuwaita Waandishi wa Habari kwenye shughuli zao

DCA6B2A1-4EA7-4A4F-AB8E-DE6EE795B455.jpeg
 
View attachment 1418281
Wanaotegemea bahasha za kaki Hali itakuwa ngumu saana kwao😜😜😜
 
Back
Top Bottom